Jina langu ni Clearmind. Natambulika hivyo hapa JF, japo kwa muda sasa nahangaika kutimiza ndoto zangu mbali na nyumbani. Natamani kukiri kwamba najivunia kuwa Mtanganyika.
Katika siku hizi za kisasa, ambapo mipaka ya nchi na majimbo inatambulika na kutambulishwa kupitia bendera, wimbo wa...