mjadala

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mbeya yapata Joto la Siasa: Wasafwa na Wanyakyusa watajwa katika Mjadala wa Ukabila kuelekea Uchaguzi wa CCM 2027

    MBEYA, joto la kisiasa linaanza kupanda kuelekea uchaguzi wa ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa mwaka 2027, huku mjadala kuhusu ukabila kati ya Wasafwa na Wanyakyusa ukizidi kujitokeza katika mazungumzo ya kisiasa. Vikao na vijembe vya chini kwa chini vinaendelea, hali inayofanya suala la...
  2. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania 'Becoming A Wife' Ya Yazua Mjadala; Janet Mbugua Ahoji Wajibu wa Kanisa

    Mwimbaji wa nyimbo za injili Mercy Masika amejikuta katikati ya mjadala mkali mitandaoni baada ya kutangaza programu ya Becoming a Wife, inayolenga kuwapa wanawake mwongozo kuhusu ndoa kwa misingi ya mafundisho ya Kikristo. Programu hiyo imepangwa kufanyika kuanzia Novemba 21 hadi Desemba 12...
  3. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vumbi na upepo vyatawala Nairobi Alhamisi Jioni, kulikoni?

    Wakazi wa Nairobi wamebaki na maswali baada ya vumbi na upepo kuonekana katika maeneo mbalimbali ya jiji Alhamisi jioni, huku video zinazosambaa mitandaoni zikionyesha hali iliyowashangaza wengi. Baadhi ya video hizo zinaonyesha vumbi likipeperushwa na upepo, hali iliyowafanya watumiaji wa...
  4. JamiiForums Tanzania UTV:Mjadala Makonda kukagua miradi ya wizara zisizo za wizara yake

    Ni kimuhemuhe kuona waziri wa michezo na utamaduni kukagua vituo ya polisi huko mwanza kukagua barabara za wizara ujenzi huko mwanza je ni kijiinua au kujali maisha ya wananchi USSR
  5. JamiiForums Tanzania Fursa Uchumi wa Bluu Yadiliwa COP12 Dar

    Naibu Waziri,Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Reuben Kwagilwa akizungumza na wanahabari mara baada ya kufungua mjadala wa Jukwaa la Biashara ulioiadili fursa za uwekezaji na biashara kwa ajili ya uchumi endelevu wa buluu katika Bahari ya Hindi ya Magharibi, ikiwa ni siku ya pili ya...
  6. JamiiForums Tanzania Leo nimeona tuanzishe thread ambayo haina mjadala, haina mabishano ni shukrani tu.

    Kila mmoja wetu amepitia jambo fulani ambalo kwa wakati ule aliona kabisa, “hapa sijui nitavukaje.” Kuna waliopitia magumu ya kifedha, afya, familia, kazi, mahusiano, misiba, madeni, au changamoto ambazo hawakuwahi hata kuwaambia wengine. Lakini cha ajabu ni kwamba tulipenya na kuvuka...
  7. JamiiForums Tanzania MJADALA: Kwa Nini Fally Ipupa Anashindana Na Yeye Mwenyewe Na Si Wasanii Wengine?

    Poleni na majukumu ya kujenga taifa. Kwa muda sasa nimekuwa nikifuatilia kwa karibu sana mwenendo wa kimuziki wa Fally Ipupa "El Maravilloso". Tangu alipotoa "Maria PM"—wimbo uliokuwa hit kubwa sana barani Afrika na duniani kote—na baadaye kuja na mradi mwingine mkubwa wa "Mayday", kumekuwa na...
  8. JamiiForums Tanzania Vyombo vya Dola kuwa mali ya CCM: Kauli zinazofungua mjadala wa chama na dola

    Kauli ya Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) anayeshughulikia Oganaizesheni, Paul Chacha, kwamba vyombo vya ulinzi na usalama ni “mali ya CCM”, imeibua mjadala mpana kuhusu uhusiano kati ya chama tawala, Serikali na vyombo vinavyotakiwa kulinda Jamhuri na wananchi wote...
  9. JamiiForums Tanzania VIDEO: Mjadala wa Uwepo wa Mungu.

    Cc Kiranga
  10. JamiiForums Tanzania tumalize mjadala leo...mafanikio ni kumiliki gari na nyumba?😊😊

    kwamba nina miaka 40 sina gari wala nyumba lakini leo chuo kikuu cha mzumbe nimehitimu shahada yangu ya tatu na kutunukiwa PHD....je haya sio mafanikio?.... nina umri wa miaka 40 nimeowa na nina watoto watatu wa kwanza kamaliza shahada ya udaktari kcmc...
  11. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Ni hatua gani zinapaswa kutumika kurejesha usalama Wilayani Tunduru ambapo Wafugaji na Wakulima wanapingana?

    Ndugu zangu, Tumepokea taarifa nzito kutoka Kijiji cha Chikomo, ambapo mtu mmoja ameripotiwa kupoteza maisha, watu wanane wako katika hali mbaya kiafya, huku nyumba saba zikiripotiwa kuteketea kwa moto. Kwa mujibu wa taarifa zilizopo, hali katika Kijiji cha Chikomo ni ya wasiwasi baada ya...
  12. O

    JamiiForums Kenya HABARI: “NI NINI KINAWASUMBUA WAUMINI KANISANI?” — UJUMBE WA SADAKA WAIBUA MJADALA

    Video yaibua mjadala kuhusu namna baadhi ya waumini wanavyotoa sadaka kanisani, huku kikapu cha sadaka kikionekana kuwa na kiasi kidogo cha fedha. Mhubiri anaonekana kuzungumzia changamoto zinazowakabili waumini na mtazamo wao kuhusu utoaji, jambo linalogusa maisha ya mwananchi wa kawaida ambaye...
  13. JamiiForums Tanzania Suala la Mabasi bado linahitaji mjadala tusipelekeshane kama misukule, kuna hoja zinahitaji majibu.

    Kwakuwa ni mambo ambayo yako wazi sina sababu ya kutumia energy nyingi kuelezea vitu ambavyo havihitaji rocket science kuvielewa. Kwanza nitaanza na kero mbili za mabasi wamiliki wa mabasi wafanyiekazi. 1. Huduma zinazotangazwa za mabasi ya luxury coach hazipatikani kwa ukamilifu hasa Wi-Fi...
  14. JamiiForums Tanzania Post ya Lionel Messi instagram yazua gumzo akidai kuwa mjadala wa GOAT umetamatika

    Ni siku moja baada ya kutangaza kustaafu kuitumikia timu yake ya Taifa katika soka la kimataifa. Look what humble Messi posted on his IG page. Now imagine kama hii ingepostiwa na Ronaldo.
  15. JamiiForums Tanzania Niffer Aibua Mjadala Mitandaoni: Asema Hawezi Kuwa na Urafiki wa Karibu na Wanawake Wenzake

    Mfanyabiashara na mwanamitandao maarufu nchini, Jennifer Bilikwija ‘Niffer’, amewasha moto wa mjadala kwenye mitandao ya kijamii baada ya kuweka wazi mtazamo wake kuhusu ushikaji na wanawake wenzake. Niffer amebainisha kuwa ingawa anawapenda na kuwaheshimu wanawake, hana mpango wala uwezo wa...
  16. JamiiForums Tanzania Vipimo vya DNA vyazua mjadala nchini Malawi.

    Matokeo kutoka kliniki binafsi na za umma nchini Malawi yanaonesha kuwa takribani 80% ya wanaume wanaofanya vipimo vya DNA kutokana na mashaka kuhusu uaminifu wa wenzi wao hubainika kuwa si baba wa kibiolojia wa watoto wanaowapima. Hata hivyo, wataalamu wa afya na sheria wameonya kuwa takwimu...
  17. JamiiForums Tanzania Watu Wazima, Mnaowalaumu Vijana Kwa (UTOTO)

    Kwenu watu Wazima, Mnaowalaumu vijana Kwa Utoto Kuna (baadhi) ya watu wazima wale ambao umri umeenda, wamekuwa na tabia ya kuzodoa vijana wadogo au watu ambao bado hawajafikia umri wao Utasikia:👇 Yaani huyu utoto unamsumbua Huyu ana utoto mwingi Hajitambui Na maneno mengine mengi sana Lakini...
  18. JamiiForums Tanzania Barua ya Mahakama Kuu Yazua Mjadala: Je, Katazo kwa Mawakili Linakiuka Uhuru wa Kujieleza Chini ya Ibara ya 18 na Kuvunja Ibara nyinginezo za Katiba?

    Mahakama Kuu ya Tanzania, kupitia barua iliyotolewa na Msajili wake C.M. Tengwa tarehe 12 Agosti 2026, imewaelekeza mawakili nchini kuepuka kuzungumza na vyombo vya habari katika maeneo ya mahakama mara baada ya mashauri kuahirishwa. Maelekezo hayo, yanayotegemea Kanuni ya 137 ya Kanuni za...
  19. JamiiForums Tanzania Takwimu za CIA zinavyopotosha: Mjadala Chuo Kikuu Cha Lowa na Northwestern University

    https://youtu.be/SIhAolibf1c?si=Y2Pk2yO1KCUm7j31
  20. JamiiForums Tanzania Mjadala wa Muungano: Mahojiano na Victor Madaha

    https://youtu.be/TDuIF6VnOCc?si=bJ__xA2Yi34yKSBv
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…