mpaka

Mpaka is a town in eastern central Eswatini in western Lubombo District. It lies about 22 kilometres (14 mi) northwest of Siteki on the MR3 highway.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Huu ujinga mpaka lini tujiandaeni kwenda road

    Tuachane na mambo ya Lema Tuachane na kifo Cha kaka yake Lissu Twendeni road tukamkomboe Lissu Endapo watamuukumu kumfunga tuingie barabarani Huu utakuwa ni ujuwa Kama atahukumiwa halafu tubaki ndani na wahuni waendelee kula mvinyo Leo kwake kesho kwako twendeni tukahesabiwe.
  2. JamiiForums Tanzania Baada ya utabiri kwa Samia kutimia napumzika siasa mpaka 2030 Inshaalah

    Wakuu; Baada ya kutabiri sawia kabisa Samia kuwa Rais 2025. Naona nipumzike siasa kwa muda mpaka 2030 tukijaliwa. Wish you all mijadala yenye tija. Mpaka tukikutana tena.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Leo kuna nini, Mbona Barabara ya Morogoro Road hasa maeneo ya kimara mpaka ubungo kuna magari makubwa ya Polisi pamoja na polisi wengi wenye silaha?

    Toka majira ya asubuhi ,nimeshuhudia uwepo wa askari polisi wengi wenye silaha kwenye hii barabara! Je kuna shida yoyote?
  4. JamiiForums Tanzania Hawamalizi matanga mpaka tarehe 6....

    Wandugu hapa kuna maana kubwa sana kiroho. Ndugu wa Lissu wasema hawamalizi matanga ya kaka yake Lissu aliyefariki . wanapoamua kuhusisha msiba na kesi ya Lissu ni laana . Kifupi roho ya marehemu itawasumbua viongozi wa Tanzania wasipokuwa makini.....
  5. JamiiForums Tanzania Staki kuamini yakuwa Tume ya Chande haikumshauri, rais awatibu marejeruhi wa risasi za 29/10/2025 mpaka wajitokeze leo na kulia lia hadharani.

    Ile ripoti kama haikumshauri mh rais na serikali yake, iwatibu wa majeruhi waliojeuliwa tarehe 25/10/2025, basi ile haikuwa tume ulikuwa ni "ushuzi" tu ulioundwa kupoteza muda wa watanzania. Nimemwaga machozi baada ya kukutana na clip ya mtoto Anger kule the chanzo mtoto akilalamika kuanza...
  6. JamiiForums Tanzania Natafuta Watu Wanao Hamisha Kigamboni Mpaka Riverside

    Habari wakuu, Kuna ndugu yangu anahitaji kuhama Kigamboni kwenda Riverside Ubungo. Nitawapata wapi watu wanaofanya kazi ya kuhamisha watu kwa Kigamboni.
  7. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Je, mpaka sasa Serikali imewajibika kwa kilichotokea Oktoba 29, 2025?

    Tarehe 14 Novemba 2025, Rais Samia alitangaza kuundwa kwa Tume ya Uchunguzi kuhusu mauaji yaliyotokea wakati na baada ya uchaguzi. Tume hiyo iliyoongozwa na Jaji Mkuu mstaafu Mohamed Chande Othman ilibaini kuwa watu 518 walipoteza maisha, wengi wao kwa majeraha ya risasi. Mwenyekiti wa Tume hio...
  8. JamiiForums Tanzania Kuunga Mkono Mgomo Kula wa Lissu, Nimeaamua Kufunga kwa masaa 18 mpaka 21 kwa siku mpaka siku Lissu atakapoaanza tena kula.

    Leo ni siku ya pili ....
  9. JamiiForums Tanzania Una biashara lakini jina lake halijasajiliwa? Usisubiri mpaka ukumbane na changamoto!

    Wafanyabiashara wengi wanajitahidi kutafuta wateja na kukuza mitaji yao, lakini wanasahau hatua muhimu ya kuirasimisha biashara yao, ambayo ni kusajili jina la biashara kupitia BRELA. ZIFAHAMU SABABU 5 MUHIMU ZA KUSAJILI JINA LA BIASHARA YAKO. 1. KUJENGA UAMINIFU KWA WATEJA Biashara yenye...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Kutekwa Kwa Twaha Mwaipaya: Mpaka sasa hakuna taarifa yoyote ya polisi Wala Serikali wakati ni mtanzania mwenzetu

    Kuna baadhi ya watu wanaona kama vile CCM au Serikali yao inaonewa Kwa kutumiwa kuhusika na utekaji mfano mzuri suala lile la mabinti waliomaliza form iv walivyorecord na kutoa maneno ambavyo hayana maadili Serikali ilireact haraka kupitia waziri Gwajima na Sio tu hili mambo mengi ambavyo...
  11. JamiiForums Tanzania CHADEMA yangu, ni lazima Kila Mwaka tuwe na Wiki ya Kumbukumbu Mauaji Oktoba 29 2025 Kuanzia Tawi mpaka Taifa .Tuna siku 4, Chama kitangaze rasimi hil

    Kama Kuna jambo CCM watatumia Kila namna ili TU hii kumbukumbu isiwepo ni Haya Mauaji ya Kimbali ya Oktoba 29 2025. Kama Chama tusikubali Kamwe kuingia kwenye Mtego unaodogosha Mauaji haya . Mauaji yale hayakuwa ya Ajali ya Moto, Wala Meli kuzama Baharini, ni MAUAJI YA VYOMBO VYA DOLA KUTUMIA...
  12. JamiiForums Tanzania Ni taifa la kutekana tu. Wafuasi wa CHADEMA walitekwa na mpaka sasa wapo Magerezani

    Tumefikia pabaya sana. Watu wanatekwa kama tupo Syria au Yemeni kwa Wahouthi👇
  13. JamiiForums Tanzania Kujengwe barabara ya njia sita kuanzia chalinze mpaka kibiti na kisarawe

    Ukitaka kwenda kibiti na au mikoa ya kusini na unatokea morogoro au mikoa ya kaskazini na unataka kwenda lindi au mtwara au rufiji basi itakulazimu kwenda mpaka dsm ndo uende mikoa ya kusini rufiji, lindi na mtwara Hii inconvinience ni kwa sababu kuanzia chalinze mpaka kibiti hakuna barabara ya...
  14. JamiiForums Tanzania Inaonekana kama ubinafsi mpaka pale utakapoona kiasi cha amani ambacho ushauri huu utakurudishia

    Huu ni ushauri murua wa kiroho utakaokuzindua hisia 1. Kuwa mbinafsi na nguvu/nishati yako. Mimi Ilinichukua miaka mingi kujifunza hili: Acha kuwa entatain watu wanaokupa makombo tu. Kilichokusudiwa kwa ajili yako hakitahitaji kutumia ili kije kwako, kwa hiyo ikiwa hakiendi vyema...
  15. JamiiForums Tanzania Upuuzi wa kuchanganya R na L sasa umefika mpaka kwenye Kingereza!

    Ilianza kidogo kidogo tofaLi watu wenye uvivu wa ubongo wanasema tofaRi, Ligi wanasema Rigi, kengeLe wanasema kengeRe sasa wamefika mpaka kwenye "r"ugha ya civilization Reaction wanasema Leaction! What next? Look kusemwa Rook, River kusemwa Liver na Rock kusemwa Rock?!
  16. JamiiForums Tanzania Kipi kimesababisha watu wa Mikoani Dar kutoka kuwa 'dream city ' yao mpaka kuiponda ovyo?

    Moja kwa moja.. Zamani watu wa mikoani Kuja na kuwa na maisha Dar ilikuwa ndoto yao kubwa sana , Dar walikuwa wanaona kama 'New York City' 🌆 , mtu wa Dar ilikuwa ukipangiwa shule za mikaoni basi ukijulikana wa Dar wanakuona bonge la mtu na kuulizwa maswali mengi ya kuhusu Dar kutokana na shauku...
  17. JamiiForums Tanzania Kikwete: CCM ipo pale pale mpaka Yesu atakaporudi(Kumbukizi)

    Ni maneno ya Rais Mstaafu awamu ya nne Mh Jakaya Kikwete.
  18. JamiiForums Tanzania sitosahau nilivyokolea kwa 'mwanamama' mpaka kumpeleke kwa wazee

    habarini... maisha hayaaa... ninachokumbuka mzee alituangaliaaaa, akaniangalia na mimi pale sebuleni kisha akaingia chumbani,, hakutoka tena siku ile. bimkubwa ameinama chini anafuta machozi. sababu kubwa ni kuwa yule demu alikuwa ana mwili, thick, mrefu halafu alikuwa na umri mkubwa kuliko...
  19. JamiiForums Tanzania Dr. Bashiru Kakulwa peleka vijana wote baharini waachane na bodaboda. Mpaka muambiwe na nani?

    Kula samaki Tanzania ni anasa, samaki hawapo na wakiwepo ni ghali hata kama tuna mwambao mrefu sana wa bahari, maziwa na mito. Tunaonekana wote kama vile hatuna akili timamu kwenye kuweka vipaumbe vya taifa na hasa kwa vijana. Bahari, maziwa na mito ni rasilimali kubwa tayari inayohitaji akili...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Njombe: Ajinyonga hadi kufa kwa kunyimwa unyumba na mkewe ambaye alidai mume hajaokoka

    Damas Mgaya (38), mkazi wa Mtaa wa Kambarage, Halmashauri ya Mji wa Njombe, amefariki dunia baada ya kukutwa amejinyonga ndani ya chumba chake kwa kutumia kamba ya kiatu, kufuatia madai ya mgogoro wa kifamilia. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, ACP Mahamoud Banga, amethibitisha kutokea kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…