muda

MuDA was the acronym of the Museum of Digital Art, an art space dedicated to digital arts. The institute was opened in February 2016 in Zurich by the non-profit Digital Arts Association. It closed by the end of June 2020.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Huu ni muda wa mabadiliko

    Nataka niwaambie viongozi kwamba huu ni muda wa mabadiko, watu wanaona nchi ina rasilimali nyingi lakini masikini. Pia kuna, Rushwa, ufisadi, matumizi mabaya ya madaraka n.k, atakayetaka zuia mabadiliko hakika ataishia pabaya kama ambavyo yalivyo mabadiliko duniani kote.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kuna anguko litatokea, ni suala la Muda

    Hakuna atakaye amini Ukanda wa azania
  3. JamiiForums Tanzania GE2025 Unasema unadai haki halafu muda huohuo unasema tar 29 utaifuta CCM. Je, utakuwa umewatendea Haki wanaccm?

    Mpo salama! 1. Sisi watibeli tunachozingatia ni Haki, Haki kwa Kila mmoja. Bila kujali chama chake, itikadi yake, kabila lake au dini yake. 2. Mara nyingi nawasikia wanaharakati wanaosema wanapigania Haki, kama kina Mange Kimambi na wengineo. Hata humu JF wakisema wanapigania Haki lakini muda...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi limkamate pia mwenye nyumba inayodaiwa alikuwa anaishi Humphrey Polepole ili aeleze ni lini alimpokea na amekaa kwa muda gani?

    Ndugu zangu Watanzania, Nafikiri polisi wangemkamata pia mwenye nyumba inayodaiwa alikuwa akiishi Humphrey Polepole ili aweze kulisaidia jeshi la polisi katika uchunguzi wake. Aeleze ni lini alimpokea na mkataba wake ulianza lini na amekaa kwa muda gani na walionana lini na kama walikuwa na...
  5. JamiiForums Tanzania Joel Nanauka anaenda kuibomoa heshima na hadhi aliyoijenga kwa muda mrefu

    Asipojitafakari atageuka kuwa kama akina Msukuma, Kibajaji na wasomi wengine wa CCM.
  6. JamiiForums Tanzania Lissu amelalamikia watu wake kuzuiliwa kesi imesimamishwa kwa muda

    Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),. Tundu Lissu, inaendelea leo, Jumatatu Oktoba 06.2025 katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam ambapo kwa mara ya kwanza Mahakama inatarajiwa kuanza kusikiliza ushahidi kutoka upande wa...
  7. JamiiForums Tanzania Winston sigara wamewezaje kukamata soko la bongo ndani ya muda mfupi namna hii?

    Hii kampuni Haina hata miaka SITA sokoni lakini imefanikiwa kuwapoteza wakongwe kama kina sport na embassy na kina safari chap kwa haraka..sawa inawezekana bei ikawa rafiki kwa wengi lakini hata marafiki zangu maboss TU wame switch kutoka sport OG mpaka Winston.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Chaji simu yako, weka bando na usilale. Magari mengi yanaelekea kwenye makazi ya CDF muda huu. Tesha's effect is really

    Kuna magari mengi sana yanaelekea kwenye makazi ya CDF muda huu. Haijafahamika mara moja kama ni viongozi wa kiserikali ama ni wanajeshi. Sasa wewe lala upitwe!
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 Mwenyekiti wa TAS Mollel: Tunaomba Rais Samia aongezewe muda

    Mwenyekiti wa Chama cha Watu wenye Ualbino Tanzania (TAS), Godson Mollel, amemsifu mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa namna alivyowajali watu wenye ulemavu katika kipindi cha karibu miaka mitano akiwa madarakani...
  10. JamiiForums Tanzania Mwambieni Heche, Lema ,Golugwa, Mnyika na Top Officias, Watakamatwa muda wowote Kwa lengo la kuwaachia Kuanzia November !!

    Hawa wahuni na Genge lao , Suala la Maandamano limewatikisa sana . Wamekaa kikao na kukubaliana kua, Wawakamate Top Officials wote wa CHADEMA wawekwe Ndani ,wake nao mpaka Huu Uchaguzi wao waloupanga Oktoba 29 upite, Kisha wawaachie . Hofu ya Wapuuzi Hawa ni kudhani kwamba Viongozi Hawa wa...
  11. JamiiForums Tanzania Kozi ya uaskari ni muda gani wakuu isije ikawa napangwa

    Habari za muda hope mko poa Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza ,nauliza kozi ya uaskari ni muda gani wakuu msaada isije ikawa napangwa maana kuna raia (ke) tulipanga kuoana this year ila ananiambia anataka akapige kozi ya uaskari miezi 6 ila swala la kuoana tutasogeza mbele vipi wakuu hapo
  12. JamiiForums Tanzania GE2025 Kijana amwambia Zitto 'Uliwapigania wazazi wetu ni muda wa sisi kukupambania'

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amekutana na vijana wa jimbo hilo na kujadili nao changamoto mbalimbali zinazowakabili. Katika mkutano huo, vijana wengi waliotoka katika timu tofauti za mpira wa miguu wamesema kwa mara ya kwanza watashiriki...
  13. JamiiForums Tanzania Wizara ya ardhi hili mkalitazame limekua kero kwa muda mrefu sana

    Habari wakuu wote nawasalimu Kumekua na changamoto kwenye swala upatikanaji wa hati miliki kutoka wizarani, Kwa utaratibu uliopo ni hivi Mtu anapotaka kumilikishwa ardhi inabidi awe na 1) Mkataba wa mauziano + Mkataba wa asili Hii mfano kama umenunua kiwanja kutoka kwa kampuni ama mtu...
  14. JamiiForums Tanzania Akiondoka Fadlu David sasa Mgunda apewe Timu na muda wa kutosha

    1. Atawatumia wachezaji waliopo bila shida. Kama alimtumia chasambi na balua hawa atawapeleka 2. Takwimu zinambeba kuwa na matokeo makubwa mno kila akiachiwa timu kuliko kocha yeyote wa nje. 3. Anaijua vizuri Simba kwa sasa. 4. Try Again hayupo. Ambaye kila Ajira ni dili kwake simba. Naomba...
  15. JamiiForums Tanzania Life lessons: Kwa muda uliokuwepo hapa duniani umejifunza nini Katika mapito yako!?

    Iwe mahusiano, uchumi utawala, sayansi na teknolojia nk. Funzo bora katika maisha ni lile linalokupata ukahangaika nalo mwisho wa siku ukavuka "tunajifunza Kutokana na makosa etc." sasa je wewe umepata funzo gani hapa duniani? Tizama hii video na karibu utushirikishe kwa chochote kile
  16. JamiiForums Tanzania Mnaopoteza muda wenu kutwa Kuniuliza nipo Single, haya hapa majibu yenu

  17. JamiiForums Tanzania Kuna muda kwenye mapenzi Tafuta mtu mwenye unafuu wa tabia zinazoweza kuvumilika ngumu kupata mkamilifu

    Kwenye mahusiano ni ngumu kumpata mtu aliyenyooka kila mtu anavipengele vyake , utajikuta kila siku unabadilisha mtu , inatakiwa upime, kuna tabia zinazoweza kuvumilika na zisizoweza kuvumilika unaangalia ni nani ana unafuu
  18. JamiiForums Tanzania Kuna muda unatamani wanaume wangekua na maziwa, wakanyonyesha mtoto

    Mtoto anapokua mchanga ananyonya sana na kukesha usiku, inafikia hatua mama anaumwa hadi kiuno. Kama wanaume wangekua na maziwa, wangesaidiana katika kulea na kunyonyesha mtoto. Mambo yangekua mepesi kidodo. Sikosoi mpango wa Bwana, am just thinking.
  19. JamiiForums Tanzania GE2025 Asanteni Simba yangu kwa kuturejeshea furaha japo ya muda

    Kuna kitu kilichokuwa kimekosekana nchini.. Furaha ya kweli, Furaha ya asili Furaha halisi Furaha at free will..! Furaha ya hiari Watu Leo wamerindima na kufefea vibe kama lote toka moyoni Makusanyiko ya hivi karibuni pamoja na kuwa na rangi yenye kumaanisha uhai.. Lakini yalikuwa...
  20. JamiiForums Tanzania Pesa, Uhuru, Muda, Furaha, na Maana ya Maisha Ndio Utajiri wa Kweli.

    Je, unakubaliana naye?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…