muda

MuDA was the acronym of the Museum of Digital Art, an art space dedicated to digital arts. The institute was opened in February 2016 in Zurich by the non-profit Digital Arts Association. It closed by the end of June 2020.

View More On Wikipedia.org
  1. Mjanja M1

    Sababu ya Single mother kutengwa na wanaume

    Habari zenu wakuu, Nimekuwa naona nyuzi nyingi sana zikiwasema wanawake waliozaa nje ya ndoa kuwa hawafai na sio wa kuwaoa abadani. Kiukweli hili suala ni nyeti na linahitaji mjadala mkubwa ila mimi nitaongelea sababu zinazofanya wanaume wenzangu wengi wawe wagumu kuoa au kuanzia mahusiano ya...
  2. Comrade Ally Maftah

    Vitu hivi pambana uvipate, ukivikosa usilazimishe jipe muda- pesa, mapenzi na madaraka

    Na Comrade Ally Maftah KING OF ALL SOCIAL MEDIA Katika hii dunia inayokwenda kasi na isiyohitaji kubembelezana, unatakiwa kupata hivi vitu vitatu kwa namna ambayo hutoutweza utu wako. 1. PESA/ MALI Katika hii dunia hakuna mbadala wa pesa, ili uishi kwa furaha ni lazima uwe na pesa, hivyo basi...
  3. Madamboss

    SoC04 Wahitimu wa kidato cha sita wanapojiunga JKT watengewe muda wa kuishi kwenye jamii halisi za Kitanzania

    Jeshi la kujenga taifa (JKT) ni moja ya chombo kilichoundwa tarehe 10 Jul, 1963 baada ya nchi yetu kupata uhuru. Lengo kuu ni kuelimisha, kudumisha uzalendo, maadili na nidhamu ya vijana na kuwafanya wawe raia wanaopenda kutumikia na kuiilinda nchi yao. Mara baada ya kumaliza kidato cha sita...
  4. Paspii0

    SoC04 Tanzania tuitakayo ambayo wananchi wake hawapotezi muda barabarani hasa katika majiji makubwa kutokana na foleni

    UTANGULIZI. NB: picha kwa hisani ya mtandao Tatizo la foleni ni changamoto kubwa katika maeneo mengi ya mijini...
  5. A

    Nimekosea muamala kutoka CRDB bank kwenda muda wa maongezi

    Wakuu habari za usiku huu? Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza, nimekosea kufanya muamala kutoka crdb nikatuma kama muda wa maongezi na sijaunga kifurushi. Nimewapigia crdb bank wameniambia hawawezi kurudisha, msaada tafadhali mwenye kuweza kubadilisha muda wa maongezi kuwa pesa...
  6. Determinantor

    Jeshi la Polisi wameongeza muda wa kuomba kazi hadi 26.05.2024

    Vijana endeleeni kuomba KAZI, nawaombea Mungu wangu awape kibali wote wenye uhitaji mfanikiwe. Pia soam: Tangazo la ajira kutoka Jeshi la Polisi Tanzania Aprili, 2024
  7. adakiss23

    Traffic Lights za Kimara Bucha hazifanyi kazi kwa muda sasa. Wahusika kulikoni?

    Takribani wiki na zaidi traffic lights zilizopo Kimara Bucha hazifanyi kazi na wahusika wako kimya. Ni eneo hatari mno kwa watumiaji wa barabara, kutofanya kazi kwa taa hizi ni sawa na kuliandaa taifa kuelekea msiba mzito maana hakuna anayejali si Tanroads ambao ndo wahusika wa kuu wala askari...
  8. OC-CID

    Wale tulioomba ajira za muda za Tume Huru ya Uchaguzi tukutane hapa

    Wale wote tulioomba ajira za muda katika Tume Huru ya Uchaguzi kwajili ya uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura huu ni uzi wetu. Tupeane updates ya majina yatatoka lini?
  9. M

    Kushindwa kubeba ujauzito na kukosa hedhi kwa muda mrefu

    Habari zenu wadau, Naomba kushea hii kitu, kuna mtu nimekutana naye ana shida ya uzazi lakini mwanzo aliweza kubeba ujauzito na kujifungua mtoto mmoja. Baada ya hapo hakuweza tena kubeba ujauzito wala kupata hedhi kwa muda wa miaka 4 hadi sasa. Mwenza wake alijuzwa na madaktari kuwa mkewe...
  10. Stephano Mgendanyi

    Mkuu wa Mkoa Queen Sendiga: RUWASA Hakikisheni Wananchi Wanapata Maji Safi na Salama Muda Wote

    Mkuu wa Mkoa Manyara, Mhe. Queen Sendiga amewataka Wakala wa Maji na USAFI wa Mazingira Vijijini (RUWASA) kuhakikisha wananchi Mkoani humo wanapata huduma Bora ya maji safi na Salama muda wote. Ameyasema hayo katika kikao cha watumishi wa RUWASA Mkoani humo kolicholenga kuwajengea uwezo...
  11. Balqior

    Wanaume ushawahi tongoza mdada, baada ya muda ukajishangaa na kujiuliza kwanini ulimtongoza

    Habarini, Unakutana na mdada unamuona mzuri, na personality yake inaridhisha kiasi, unaanza kumtongoza (anakubali) mnakua kwenye courtship phase, jinsi mnavokaa na kuongea nae miezi kadhaa inapita, jinsi muda unavoenda, interest yako kwake inashuka (hapo hujala mzigo) mwishowe mtu unaanza...
  12. U

    Tani 47,000 za mafuta ya kupikia yaliyokwisha muda wake na yenye sumu yamesambazwa nchini Iran

    Wadau hamjamboni nyote? Inadaiwa kuwa jumla ya tani 47,000 za mafuta ya kupikia yasiyokwisha muda wake na yenye sumu toxic yamesambazwa kwa walaji nchini Iran Inadaiwa mafuta hayo ni sehemu ya Tani 91,000 za mafuta zilizoagizwa na nchi hiyo kutokea nchini Argentina na uturuki mwaka 2021. Hadi...
  13. V

    Muda sio rafiki yako na hauhitaji mbwembwe

    Wakati nasoma sekondari pale Iyunga tech, Mbeya kuna mambo mengi niliyashuhudia ila leo nimekumbuka moja. Kama mnavyojua Mbeya ni baridi la kwenda hivyo kuoga ni mtiti. Kwa hiyo kuoga masela ilikuwa Kwa nadra kishenzi yaani ukiona mwanafunzi mwenzako anaoga unashangaa. Ila yote tupa kule Kuna...
  14. M

    Kutoa Pesa Payoneer Kwenda Local Bank Inatumia Muda Gani?

    Niaje pande hizi wakuu? Bana me mgeni kidogo kwenye haya maswala na nilitaka kufahamu jambo kuhusu Payoneer, Ni kiasi cha muda gani inatumia mpaka pesa kukufikia ukiwithdraw direct kutoka payoneer kwenda Local Bank? Nimetumia CRDB, Nimewithdraw Jumanne ila hadi leo Jumatano bado haijafika
  15. K

    Ndege ya Air Tanzania kukaa muda mrefu kwenye Matengenezo huko Malaysia

    Nchi ya Tanzania ilinunua ndege mpya aina ya dreamliner natumaini ni mwaka 2021 lakin ndege hii haina zaidi ya miaka mitatu tayari iko gereji. Ndege mpya aingii akilini mwangu. Wakati ndege hiyo inapelekwa kwenye matengenezo wananchi hatukutaarifiwa na baadaye raia mwema ndo katoa taarifa...
  16. Technophilic Pool

    Ni mbinu gani nitumie za kuniwezesha kudumu na mwanamke?

    Jamani wanawake wa saizi imekua pasua kichwa ! yaan suala la kufunga vilago ni dakika sifuri Uvumilivu -0 Utulivu-0 Tamaa -100% Nipeni mbinu madhubuti ya kudumu na mwanamke?
  17. ndege JOHN

    Madhara yanayotupata kwa sababu ya kutumia simu muda mwingi

    Unaweza kujikuta unakuwa sio mfanya mazoezi Tena sababu kuu ikiwa ni simu kuniletea Dunia karibu vitu kama vyote live sasa muda wa kujiweka fit umechukuliwa. Unaweza kujikuta wengi wa vijana tunaishia kujichua wengine hata Mara nne Kwa siku Kwa sababu una access ya porno all the time hivyo...
  18. Mag3

    Kumekucha, ni suala la muda tu. Taratibu sote tutaelewana na kuongea lugha moja!

    Nimemsikiliza kwa makini sana Mbunge Joseph Kasheku (Musukuma) akizungumza bungeni alipopewa nafasi. Japo mimi si mpenzi wa mbunge huyu lakini hata saa mbovu ukutani, kuna wakati unaweza kuitizama na kukiri inasema kweli. Najua hata mimi si mpenzi wa wana JF wengi lakini nawaombeni mumsikilize...
  19. CCM MKAMBARANI

    Tetesi: Tundu Lissu kufutwa uanachama muda wowote

    Wanajukwaa habari zenu? Sasa inaenda kuwa rasmi, nguli wa sheria na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu anafutwa uanachama. Wana-CHADEMA kindakindaki wamepania kukipasua chama kabisa ili Freeman Mbowe ashike adabu yake. Hakika kila lenye mwanzo halikosi mwisho, Bowel anaendelea...
  20. ndege JOHN

    Kuna mtu anaomba ushauri amepata content

    Kuna Jamaa ana kipaji ila anauliza ata create account Kwa njia gani ili zikalink zote akawa anapata hela Kwa views anachotaka kujua account ili ulipwe hela Kwa views lazima atengenezewe na watalaam wa IT au hata yeye anaweza kukamilisha mchakato wote. Iwe fb iwe Instagram iwe Twitter iwe...
Back
Top Bottom