nbc premier league

The Premier League on NBC and Premier League on NBCSN is the blanket title for broadcasts of the Premier League by the networks of NBC Sports. NBC acquired rights to the Premier League in 2013, and reached a six-year extension in 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. Ligi ya NBC premier league haina tena imepoteza mvuto haina thamani yake sababu ya wapuuzi wachache

    Nani anaifuatilia ligi ya bongo nani anajali matokeo nani anajali mechi zinazochezwa ni wapuuzi wachache waliounga mkono upuuzi uliofanywa na Yanga na wapuuzi waliounga mkono Simba na bodi ya ligi. Unaweza ita washamba...bongo mpira wake ni wa matokeo ya mfukoni na uchawi iko wapi ligi yenye...
  2. Full Time: Simba SC 6-0 Dodoma Jiji FC | NBC Premier League | KMC Complex | 14.03.2025

    NBC Premier League leo Ijumaa Saa 10:00 jioni, Simba SC watakuwa dimba la KMC Complex wakiwakaribisha Dodoma Jiji. Hii ni mechi ya kiporo je ni Mnyama Simba ama Walima Zabibu nani kukitafuna kiporo hiki? Vikosi vya timu zote Mechi imeanza (KickOff) 09' Milango bado haijafunguka pande...
  3. FT | Coastal Union 0-3 Simba SC | NBC Premier League | Sheikh Amri Abeid Arusha | 01 March, 2025

    Coastal Union VS Simba SC | NBC Premier League | Sheikh Amri Abeid Arusha | March 1, 2025 Soma Pia: FT: Simba SC 2-2 Costal Union | NBC Premier League | KMC Complex | 4 Octoba, 2024 Updates.... Mpira umeanza Dakika, 19 milango yote ni mingumu si Coastal wala Simba Dakika, 21 mashambulizi...
  4. Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    Simba SC is a Tanzanian football club based in Dar es Salaam. Their home games are played at two stadiums Uhuru Stadium and National Stadium. Simba SC is one of two biggest football clubs in Tanzania, their archrivals being the Young Africans. The club had several names during its history, when...
  5. Leo namalizia rasmi Unujumu / utabiri wangu wa uhakika juu ya Simba SC na Ubingwa wa NBC Premier League

    Namshukuru sana Mwenyezi Mungu kuwa NUJUMU / TABIRI zangu kwa 95% huwa zinaenda vyema na kwa za hivi karibuni Mbili za Simba SC na Singida Fountain Gate FC na Simba SC na Azam FC zimeenda vile vile nikimaamisha kufanikiwa kwa 100% Hivyo basi GENTAMYCINE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game...
  6. FT | Yanga 2-1 Singida Black Stars | NBC Premier League | KMC Complex | 17.02.2025

    Mabingwa watetezi wa taji la ligi kuu ya NBC wanashuka dimbani kuwaalika Singida Black Stars. Ni mchezo wa kukata na shoka, huku kuna Dube kule kuna Sowah. Huku kuna Keyekeh kule Aucho. Nani kuibuka mshindi? Mechi itakuwa live saa 10:15 jioni na updates zote utazipata hapaa Vikosi vinavyoanza...
  7. Full Time: KMC FC 1 -6 Yanga SC | NBC Premier League | KMC Complex | Februari 14, 2025

    KMC FC Vs Yanga SC | NBC Premier League | KMC Complex | Februari 14, 2025 πŸ•– 10:15 Jioni Updates.. Dakika, 27 Bado Yanga wanaongoza goli 2 Dakika, 29 Yanga wanapata freekick Dakika, 31 wamepata freekick lakini wanakosa kutumia nafasi Dakika, 38 KMC wanapata freekick Dakika, 39 KMC...
  8. T

    Goli Bora la Msimu NBC Premier League

    Mpaka sasa ligi kuu TANZANIA BARA ilipofikia unadhani ni goli gani linapaswa kuwa goli bora la msimu huu wa 2024/2025 Kwa upande wangu goli alilofungwa dijgui diara na SELE BWENZI wa kengold(FULL TIME YANGA 6-1KENGOLD) Yapi maoni yenu wanamichezo
  9. Full Time: Simba SC 3-0 Tanzania Prisons | NBC Premier League | KMC Complex | 11 Februari, 2025

    Simba SC VS Tanzania Prisons | NBC Premier League | KMC Complex | 11 Februari, 2025 Saa 10:00 Jioni VIKOSI VYA TIMU ZOTE Mechi imeanza 1' Simba SC 0-0 Tanzania Prisons 2' Simba wanapata Kona na inapigwa na Mpanzu 3' Simba wanapiga Kona ya pili 4' Sabiyanka anaoneshwa kadi ya Njano 7' Simba...
  10. Full Time: Fountain Gates FC 1-1 Simba SC | NBC Premier League | Kwaraa Stadium, Babati | 06-02-2025

    SIKU YA MECHI KALI. VIKOSI VINAVYOANZA LEO. p UPDATES..... 4:15pm Kandanda imeanza tayari, Game inapigwa zazuri kabisa. DK 2 Simba wanafanya move nzuri hapa, inababatizwa na Mchezaji wa FG inakuwa warusha. Unarushwa hauleti madhara yoyote 0-0 DK 4 Mpira unaendelea vizuri kabisa hapa. Simba...
  11. FT| Tabora United FC 0-3 Simba SC | NBC Premier League | Ali Hassan Mwinyi Stadium | 02-02-2025

    SIKU YA MECHI KALI. MCHEZO: Ligi Kuu Tz Bara NBC Premier League Mwenyeji : Tabora United Mgeni : Simba Sc Uwanja : Ali Hassan Mwinyi, Tabora Muda : Saa 10 Jioni. VIKOSI VYA LEO Game On 3' Tabora 0-0 Simba 6' Simba wanapata kona, inapigwa kona na Kibu, haileti madhara yoyote kwa nyuki 12'...
  12. Full Time: Yanga SC 5-0 Fountain Gates FC | NBC Premier League | KMC Complex | 29 Disemba, 2024

    πŸ”° πŒπ€π“π‚π‡ DayπŸ”° πŸ† #NBCPremierLeague ⚽️ Young Africans SCπŸ†šFountain Gate πŸ“† 29.12.2024 🏟 KMC Complex πŸ•– 10:00 Jioni #Daimambelenyumamwiko# Gusa achia, twende kwao, tukawafunge nyingi. KIKOSI CHETU CHA LEO Updates Mechi imeanza DK 1 Mpira unaanza kwa kasi. Yanga wanaumiliki mpira, 0-0 DK 12 Game...
  13. Wazee wa kustream NBC Premier League hatimae tumefikiwa

    ..
  14. FULL TIME: Singida Black Stars FC 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Liti Stadium | 28.12.2024

    Mtanange mkali Leo. Kinyanganyiro: Ligi Kuu Tanzania Bara - NBC Mwenyeji: Singida Black Stars ya Singida Vs Mgeni : Simba SC ya Dar es salaam Uwanja: CCM Liti Singida. Muda : Saa 10Jioni. Tukutane saa 10 Jioni kwa Maelezo ya mchezo huu. VIKOSI VYA LEO. Updates... 00' Mpira umeanza...
  15. Full Time: Dodoma Jiji 0-4 Yanga SC | NBC Premier League | Jamuhri Dodoma | Disemba 25, 2024

    Dodoma Jiji VS Yanga SC | NBC Premier League | Jamuhri Dodoma | Disemba 25, 2024 Saa kumi jioni Dakika 19, Mzize anawapatia goli Yanga Dakika 29, Aziz Ki anatupia goli la pili. Dakika 38, Mzize anawapa goli 3 Yanga. Dakika 62, Dube anafunga goli la nne
  16. Full Time: Young Africans 4 - 0 Tanzania Prisons | NBC premier league | KMC Complex| Disemba 22, 2024

    Katika siku nyingine, siku ya Jumapili ya tarehe 22/12/2024 timu ya Young Africans almarufu wananchi watakuwa dimbani KMC complex kuzitafuta alama tatu dhidi ya Tanzania prisons almarufu kama wajela jela. Timu ya Young Africans inajitafuta kurudi kwenye makali yake baada ya kupata vipigo...
  17. FT: Kagera Sugar FC 2-5 Simba SC | NBC Premier League | Kaitaba Stadium | 21 Dec 2024

    Mtanange mkali sana leo. 21/12/2024. MCHEZO WA LIGI KUU TANZANIA BARA. Uwanja : Kaitaba Stadium Kagera. Mwenyeji : Kagera Sugar FC Mgeni : Simba SC ya Dar Es Salaam Muda : 10 jioni. KIKOSI. KIKOSI CHA SIMBA
  18. FT: NBC Premier League | Yanga SC 3 - 2 Mashujaa FC | KMC Complex | 19.12.2024

    πŸ”°πŒπ€π“π‚π‡πƒπ€π˜πŸ”° πŸ† #NBCPremierLeague ⚽️ Young Africans SCπŸ†šMashujaa FC πŸ“† 19.12.2024 🏟 KMC Complex πŸ•– 10:00 Jioni #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko KIKOSI CHA YANGA KINACHOANZA LEO.
  19. FT: NBC Premier League | Tabora United 2-1 Azam FC | Ali Hassan Mwinyi Stadium | 13.12.2024

    HT Tabora 1 - 0 Azam. Mlioko hewani leteni updates!! FT Tabora United 2 - 1 Azam
  20. FT: Namungo FC 0-2 Young African SC | NBC Premier League | Majaliwa Stadium | 30.11.2024

    πŸ”°πŒπ€π“π‚π‡πƒπ€π˜πŸ”° πŸ† #NBC Premier League ⚽️ Namungo FC πŸ†š Young Africans SC πŸ“† 30.11.2024 🏟 Majaliwa Stadium, Ruangwa Lindi πŸ•– 6:30PM(EAT) KIKOSI CHA NAMUNGO KINACHOANZA KIKOSI CHA YANGA KINACHOANZA. Tukutane hapa kwa Updates... Updates... 18:31 Mpira umeanza kwa kasi ya Wastani hapa . Umiliki ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…