nchi

  1. Sio Tanzania tu, hakuna nchi yoyote Afrika yenye uwezo wa kupambana na Magharibi

    Niweke ukweli ili hata wenye tuakili tudogo wajue sio tu Tanzania hapa Africa nzima hakuna nchi yenye uchumi stable wa kuweza kupambana na kutingishana na magharibi. Bila hata vita za silaha hakuna nchi Africa ya kuweza kupambana na ulimwengu wa magharibi. Ulimwengu wa magharibi ukiamua nchi...
  2. Raisi kutoa jina la tume badala ya kutoa tume huru ni kuuwa demokrasia ya nchi

    ,
  3. Watu wa Mungu kulingana na hili linalo endelea ndani ya nchi yetu. Naomba tujifariji kwa neno la Mungu. Maana ukombozi umekaribia.

    Kutoka 14:14. Mithali 24:24. Zaburi 98:9. Mithari 14:34. Kutoka 14 : 14 Bwana atawapigania ninyi, nanyi mtanyamaza kimya. Mithali 24 : 24 Amwambiaye mtu mwovu, Wewe una haki; Kabila za watu watamlaani, taifa watamchukia. Zaburi 98 : 9 Mbele za Bwana; Kwa maana anakuja aihukumu nchi...
  4. F

    Padre Titus Amigu anasema muda huu kupitia Radio Maria kuwa viongozi wakuu wa nchi wanajua wauaji ni akina nani

    Sikiliza Radio Maria muda huu Padre Titus Amigu anaponda viongozi wetu kwa kutowajibika ipasavyo katika kuwalinda wananchi. Anasema viongozi wetu wanawafahamu watekaji na wauaji hao.
  5. Sauti yenye mamlaka walifikiri nchi haina kiongozi!

    Niseme ukweli tu Rais wangu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jemedari mkuu wa vikosi vya ulinzi na usalama tangu aingie madarakani ile hotuba ya jana ndio hotuba bora zaidi kupata kuitoa ikizidi ile ya siku ya kuapishwa kwake. Amenifurahisha kwa kuudhirishia umma kuwa nchi ina raisi mmoja tu...
  6. Rais Samia Watalii na Uwekezaji unaojivunia hautakuwepo kama Usalama wa nchi ni wa kusuasua. Vijembe havisadii unazidi kubomoa

    Wakuu, Katika Mkutano leo Rais Samia amejitapa kuwa nchi ipo salama, lakini pia utalii na uwekezaji unaongezeka. Kwa matukio yanayoendelea ni kweli kuna usalama? Wewe jibu unalo lakini pia watanzania majibu wanayo. Mnapoingia chaka ni kudhani matukio haya yanaathiri tu wananchi wa wachache...
  7. F

    Wenye mawazo bunifu mazuri mnakaribishwa kuyaendeleza mawazo yenu na kupata washirika kutoka ndani na nje ya nchi na uwezekano wa kupata ufadhili

    Watu wote mnaofikiri mna mawazo bunifu manakaribishwa kuyaendeleza mawazo yenu kupitia usaidizi wa shirika lisilo la kiserikali la ResearchLink International. Tafandhali jaza fomu iliyopo katika link hapo juu, submit na fuatilia e-mail kwa maelezo zaidi. Wazo lako linapaswa kuwa la kipekee sana...
  8. Bajeti kubwa migao midogo Kwa sekta/wizara muhimu kwa maendeleo ya nchi

    Habari za mapumziko! Inasikitisha sana kuona sekta muhimu za kuleta maendeleo hazipewi kipaumbele Kwa maana ya kupewa rasilimali pesa kulingana na bajeti zilizopitishwa na Bunge, sekta muhimu kwenye nchi kama Ardhi, kilimo, Mifugo, uvuvi zina hali mbaya kifedha kutokana na kupelekewa bajeti...
  9. Maskofu wa KKKT tuiheshimu Katiba yetu kwanza kabla ya kujadili Katiba ya Nchi

    Hivi majuzi, tulishuhudia upatikanaji wa kiongozi bila kupingwa. Hii haikutosha, kwani kuna mmoja pale kaskazini ambaye katiba iko wazi akimaliza misimu miwili anaachia wenzake, lakini ghafla kaongezewa miaka kadhaa. Hii inafanya baadhi ya watu kujiuliza Je, wale Wachaga ni wajinga kweli, au...
  10. Simba ndiyo timu ya Tanzania iliyofanyiwa vurugu na magumashi mara nyingi katika mashindano ya CAF

    Kuna timu inajitapa eti imehusika kuleta uhuru wa Tanzania ila haijawahi kuvuja jasho na kucheza katika mazingira magumu ambayo unaweza hata kuwaza kama baada ya mechi utabaki na uhai wako. Simba ndiyo timu pekee Tanzania ambayo imepitia mazingira hayo mara nyingi kuliko timu yoyote ile...
  11. Nchi za Magharibi zapotosha ukweli wa ushirikiano wa China na Afrika katika sekta ya maliasili

    Bibi Jacquie anaishi katika kijiji cha Mayeba kilichoko misituni kusini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Ingawa kijiji hicho kiko karibu na migodi maarufu ya KFM na TFM, ambayo ina madini ya Shaba na Cobalti yenye thamani kubwa, lakini wanakijiji walikuwa wanaishi maisha magumu...
  12. Siasa ilileta uhuru na amani kwa Tanzania na Siasa itaondoa uhuru na amani kwa nchi ya Tanzania

    Salamu, Napata wakati mgumu sana nikiwaza juu ya kuuawa kwa Rtd Officer, Ally Mohammed Kibao, natafakari sana na sijaweza kuwa sawa kuhusu kifo cha huyu mtu muhimu sana kwa Taifa. Nawaza ya kwamba waliomuua Ally Kibao wana leseni ya kumuua awaye yeyote yule. Mti wenye damu huzaa matunda...
  13. Mwanasiasa: Nchi hii hakuna maendeleo bila CCM kuamua

    Tanzania nchi yangu
  14. Mimi ni mtoto mdogo ila pesa imejaa

    Huwa nashangaa mtu anaumri mkubwa halafu ni fukara wakati nipo Mimi mtoto mdogo tu miaka 28 ila pesa nyingi. Hivi mnafikiri kuwa na umri mkubwa ni sifa wakati mfukoni hamna kitu tafuteni hela nyie wazee. Huwa najiuliza hivi binadamu unakosaje kuwa na pesa yaani pesa nayo ni kitu Cha kukosa...
  15. R

    Wazee wanaongoza kuingia nchi kwenye machafuko Duniani na kupelekea vijana na watoto kupoteza maisha

    Nchi nyingi Duniani zimeingia kwenye machafuko kutokana na wazee kukosa uzalendo na kuendekeza tamaa. Wazee wengi wenye miaka zaidi ya 50 wamekuwa mstari wa mbele kukandamiza haki huku wakitumia dola kuendelea kujinufaisha. Wazee wanapokosa maono mbele upelekea wao kuamini kwamba hakuna mwenye...
  16. Vitu vinavyotafuna nchi yetu

    Kutokuwa na utawala bora hii ni changamoto sana maana viongozi hawawajibiki na yale wayatendayo. Mipango mibovu kwa mfano sasa ivi CNG ingekuwa nishati ya kutukomboa na kupunguza mzigo kwa nchi kutumia fedha nyingi kuagiza mafuta nje lakini ukiangalia huku na huko haoni mpango wa dharura kwa...
  17. SSH ni hazina ya nchi - MTU asilete mzaha na chokochoko juu yake - aendae tofauti tutamlaani kwa maneno na matendo

    Wana Jf, Salaàm! Nawaambia kuwa CCM tuko tayari kufanya kusikiliza wenzetu wanataka nn lkn siyo suala la Samia Must Go. Rais wetu yupo kikatiba - hatutaacha atoke kabla ya muda wake kuisha - yeyote mwenye fikra hizo aache mara moja. * Mchango wa SSH ktk elimu, afya, madini, siasa, Kilimo...
  18. Meli kupeperusha bendera ya nchi nyingine

    Naombeni kujuzwa hili jambo kuhusu meli kupeperusha bendeea ya nchi nyingine kwa mfano meli inafanya safari bahari ya hindi lakini unakuta ina peperusha bendera ya venezuela.hii imekaaje je ile bendera ni nchi iliyotengenezwa au mmiliki ni wa huko..na hata ikiwa tuseme imesajiliwa huko inakuaje...
  19. THBUB: Tanzania nchi inayopaswa kuzingatia Utawala wa Sheria

    Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB ), Mathew Mwaimu amesema kuwa Tanzania Nchi inayopaswa kuzingatia Utawala wa Sheria na kwamba Mtu anapoona hatari anatakiwa kutoa taarifa kwenye mamlaka stahiki. "Tunazungumzia Tanzania Nchi inayopaswa kufuata Utawala wa Sheria...
  20. F

    Tanzania kuwa moja ya nchi 10 zenye watu wengi zaidi duniani ifikapo 2100, kuizidi Mexico, Japan na Brazil!

    Ifikapo mwaka 2100 Tanzania itakuwa kati ya nchi 10 kubwa zaidi duniani kwa idadi ya watu. Pia Tanzania itakuwa moja ya nchi zenye uchumi mkubwa zaidi duniani.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…