ndo

NDO Limited was an Internet service provider (ISP) in the United Kingdom. Originally established in 1995, originating from NetDirect which was one of the first ISPs in the UK.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Katafuu imekarishwa na alizeti 2026

    Kwenye alizeti wamepata mtu aisee ! Mpaka karafuu imekarishwa na alizeti tarehe 06/11/2026 analalia shuka saafii siyo lile la kule kwa kunguni Britanicca
  2. JamiiForums Tanzania Lema anasema njia ya chuki haitasaidia CHADEMA, kuing'oa ccm huyu jamaa ni kichaa, CHADEMA wasipende ccm ndo watatoboa? "Stupid"

    Hivi kuna chama kimepoteza wanachama kama CHADEMA?walio waua ni akina nani?leo hio lema unawambia CHADEMA watumie njia gani ili watibiwe? Umemsaau mke wa alifonsi mawazo? Mwanae unadhania wanaweza wapenda wana ccm? Mke wa Lissu na wanawe wanaweza kupenda ccm realy? Wewe umechangia njia ya kigese...
  3. JamiiForums Tanzania Eti anasema hapendi kutembea uchi, alafu yuko uchi. Haya ndo maadili kweli?

    Watoto wa mjini wanausemi wao siku hizi wanasema, "aibu utaona wewe" Vipi maoni yenu, tukubali hii ni kawaida tu ama joto la El Nino?
  4. JamiiForums Tanzania Wafuasi CHADEMA na wanaharakati wa CHADEMA, Heshimuni Viongozi kwasababu serikali ni madhabahu ya Mungu hapa Duniani

    Serikali ni chombo chenye mamlaka ya kusimamia, kuongoza na kuendesha shughuli za eneo Fulani kama vile shule, kijiji, chuo au nchi kwa mujibu wa Katiba na sheria za sehemu husika au nchi husika. Ikumbukwe kuwa serikali zote Duniani ni madhabahu ya Mungu, yapaswa kuheshimiwa. Na hakuna mtu...
  5. JamiiForums Tanzania Memories and attachments to pain ndo msingi wa suffering.

    Sometimes kinacho tu umiza sio, watu, ni kumbukumbu. Imagine, mtu wako wa karibu, anaondoka maishani mwako. Means that hauta mwona tena maisha yako yote. Then flashbacks za mambo mliyo experience, the way alikumake feel, alafu ndo hivyo tena. Kuna film moja nilicheki juzi kati, inaelezea how...
  6. JamiiForums Tanzania Watanzania na waafrika kwa ujumla tumerasimisha bullying kama kitu cha kawaida tu

    Binafsi, nimekuja kuona watanzania wengi na waafrika kwa ujumla tumerasimisha bullying kama kitu cha kawaida tu. Mfano mzuri ni katika hili jukwaa, Kuna watu wanaishi na trauma na hawajui watu wako broken to the point hawawezi mpa pongezi mtu, au mtu akija na shida akaelezea kwa uchungu...
  7. JamiiForums Tanzania Huu ndo ukweli Mchungu kuhusu Watanzania

    Watanzania hawajafunzwa namna bora ya ku reason na kuja na judgements zao wenyewe.. Yaani ndo maana hata kwenye siasa ni rahisi sana kuwashika, maana hawafanyi logic, wanafata nani anasema sana. Wabongo wengi ni kama kondoo, all it takes ni atokee kondoo mmoja mjanja aanzishe safari na wote...
  8. JamiiForums Tanzania GSM ni muda sana sisi Wananchi hujatukumbuka. Ndo chanzo cha Team kulega lega

    please Moderator hii imejirudi delete
  9. JamiiForums Tanzania GSM ni muda sana sisi Wananchi hujatukumbuka. Ndo chanzo cha Team kulega lega

    GSM mara ya mwisho umetupa supu chapati ni lini? Huoni kama hili linasababisha wanayanga tukose morali wa kushangilia team na kujaa uwanjani? Nadhani unapaswa kujiangalia katika hilo. Andaa shughuli watu tupige supu na chapati angalau mbilimbili roho zetu zitulie. Tuwe na morali na mapenzi kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Hakuna watu Wana akili sana kama wanasiasa, kupitia Elnino ndo nimeamini.

    Issue ya Elnino imeonesha kuwa wanasiasa ni Genius
  11. JamiiForums Tanzania Chief Mangungu wa Simba ndo muda wake huu sasa

    Sasa hivi mmesahau. Match ya pili tukija wachapa mtaanza kutoa milio chief Mangungu andoke. Je kwa sasa aendelee au bado yupo yupo kwanza? Tuambiane mapema nyie mikia. Maana yeye ndo huwa mnamwangushia Jumba bovu. Maana kwa sasa tumewapumzisha naye baada ya kuwaachia mpate ushindi hii match moja.
  12. JamiiForums Tanzania Unaweza usinielewe, kila kumbukizi ya tarehe yakifo cha Nyerere watumishi wengi,wanaambukizwa ukimwi, ndo siku condom nyingi hugaiwa.

    Ili niliwai liandika sana na kuandika sana, lakini nikaonekanika ni kibwengo tu nisiyejielewa, nilidhiakiwa sana na kubezwa Kitendo cha kuunganisha siku ya kumbukizi ya kifo cha Hayati mwalimu Julias Kabarage Nyerere na siku ya kilele cha mbio za mwenge kitaifa ni kumzalilsh Mwalimu. Hii ina...
  13. JamiiForums Tanzania wewe na mpenzi wako mna muda gani kwenye mahusiano? nini kinawazuia kufunga Ndoa? je kukaa muda mrefu kwenye mahusiano ndo msingi wa ndoa imara?

    nmekuja kugundua mahusiano ni magumu sana huku kwa ground aisee. pamoja na kuwa ni magumu ila kuna couples huku kwa ground zipo kwenye mahusiano kwa zaidi ya miaka 7 wengine mpaka 10. nina rafiki yangu mmoja yupo kwenye mahusiano na mpenzi wake mwaka wa 7 huu kila nikimuuliza mahari tunapeleka...
  14. JamiiForums Tanzania John magufuri na Benjamin netanyahu ndo watu pekee wanaojua lugha ya kuzungumza na wapumbafu

    Aman iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Kuna watu wawili pekee ambao nimewahi kuwashudia wakiwa smart sana wanapozungumza na wajinga Watu hao ni mwendazake John Joseph magufuri pamoja Benjamin netanyahu Magufuri alijua fika kabisa taifa hili Lina wahujumu maendeleo wengi...
  15. JamiiForums Tanzania Wapare huenda ndo wapo imara sioni wakisemwa.

    Kuna muda unajikuta unafanya kitu, halafu baadae unaanza kujishangaa mwenyewe. 😂 Leo nimepika chapati na kakipande ka kuku, wakati nakula gafla nikaskia mtu anagonga nikajikuta nakimbiza chakula chumbani. Baadae nikajiuliza, Kwanini nimeficha chakula maana ilikua ni kitendo kilifanyika bila...
  16. JamiiForums Tanzania Kizazi kilichopoteza chimbuko ndo chanzo cha matatizo mengi

    Kumekuwa na wimbi kubwa sana la atheist nyakati hizi za kukuwa kwa technogy. Yaani wanaishi kwa Mitongozo ya screens and mashines Ila wa nasahau kuwa wazee wa zamani walijua kuwa mwanadamu hawezi ku replicate nature, nature ina rhythm maridhawa na inajua kuishi kama wewe unavyo pumua nayo...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Kanda ya Kaskazini ndio yenye Mabilionea wengi Watanzania wenye utajiri zaidi ya bilioni 100+

    Wafanyabiashara wenye utajiri mkubwa Kanda ya Kaskazini Familia ya Mengi IPP Group Utajiri: Zaidi ya USD milioni 200 Ridhuan Mringo Derm Group Mwanga Hakika Bank Utajiri: Zaidi ya USD milioni 100 Silvestery Koka SF Group Utajiri: Zaidi ya USD milioni 80 Ernest Massawe Erncon Holding Tol...
  18. C

    JamiiForums Tanzania kufuta stendi binafsi jijini. je faida au hasara ndo nyingi?

    salamu wana bodi leo pia nimetafakari maamuzi ya mkuu wa mkoa kuhusu stendi. kama ilivyo ada tunatarajia kuona idadi ya mapato endelevu imeongezeka stendi,waharifu na wahamiaji halamu wanaokamatiwa magufuli na kushtakiwa mahakamani na mapato ya kodi au ushuru kwa serikali yameongezeka na...
  19. JamiiForums Tanzania Brazil ina watu Milioni 125, Kura za Urais zimetangazwa kwa siku Moja. Ila Tanzania Watu Milioni 60, hadi watu Wauawe kwanza ndo Matokeo yatangazwe

    Kwanini Matokeo ya Urais wa Tanzania hayawekwi mtandaoni? Ni kwa sababu ya wizi. Hata samia hajui kura zake. Isipokuwa asilimia tu. Brazil imefanya uchaguzi jana. Baada ya Vituo kufungwa muda mfupi matokeo ya Urais yakaanza kutangazwa. Tanzania Uchaguzi wake, baadhi ya Sehemu inafika saa nne...
  20. JamiiForums Tanzania WANAUME LINDENI MALI ZENU.HAPA DUNIANI MALI NDO UTAMBULISHO WA MWANAUME.

    Baada ya tukio la kupigwa shaba huko Daslam.Kuna wanaume dhaifu wengi kwenye comment katika mitandao ya kijamii mbalimbali wanashauri ujinga ujinga. Guys tuache upumbavu.Kama wewe unauwezo wa kila ukianzisha familia mwanamke akidai mali wewe unamuachia unaanza upya.Hapa duniani wewe utakuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…