neema

Neema Namadamu is an advocate for peace and a women's rights and disability rights activist in the Democratic Republic of the Congo (DRC). She founded the Maman Shujaa Media Center to empower women and give them voices to tell their stories.

View More On Wikipedia.org
  1. Kwa Wakazi wa Dar hivi hapo chumbani kwako mbu wapo au ni hapa kwangu ni Neema imenishukia.!!!

    Aisee huwezi amini kwa mara ya kwanza ndani ya kipindi cha miaka 13 tokea niingie hapa mjini nalala bila kufunga chandarau maana mbu wametoweka kabisaa, hata sauti siisikii kabisaa. Vipi huko kwenu?? Sijui ni nn kimewasibu hawa watesi wangu (mbu) hapa nyumbani.
  2. Dkt. Neema Rusibamayila Kimambo: Huyu ndiye anafaa kugombea nafasi iliyoachwa wazi na Dkt. Ndugulile

    Kwa sasa ni WHO Representative huko Malawi. Aliwahi kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Kinga Wizara ya Afya hadi 2016. Moja kati ya achievements zake kubwa ni kuiwezesha Tanzania kufikia Millenium Development Goal #4 inayohusu kupunguza vifo vya akinamama na watoto. Malengo ilikuwa yafikiwe mwaka...
  3. Bwana ni jumapili mpya ya tarehe 1/12/2024 asante Bwana kwa neema ya kuuona mwezi mpya

    Bwana ni jumapili mpya ya tarehe 1/12/2024 asante Bwana kwa neema ya kuuona mwezi mpya. Bwana naomba mwezi huu ukawe ni mwezi uliobeba baraka na mashangilio tele ukawe mwezi wa kurejeshewa, kupata, kuinuka Bwana hakika sisi na wanadamu ndani mwetu hatuishiwa mahitaji Bwana. Tunazo ndoto za...
  4. LGE2024 Kagera: Mbunge Neema Lugangira apiga Kura Shule ya Sekondari Kahororo

    Mbunge wa Viti Maalum (CCM) anaewakilisha Asasi za Kiraia Tanzania Bara Mheshimiwa Neema Lugangira amepiga kura kuamua Fyucha ya Kitaa kwenye kituo cha kupigia kura shule ya sekondari Kahororo Mtaa wa Rwome, Kata ya Kashai Bukoba Mjini.
  5. Hii ni hadithi ya Neema na Daudi, wawili waliokutana katika hali zisizotarajiwa na wakapitia changamoto nyingi katika safari yao ya mapenzi.

    Katika kijiji kidogo kilicho katikati ya milima yenye uoto wa kijani kibichi, aliishi msichana mdogo mwenye tabasamu la kuvutia aitwaye Neema. Alikuwa maarufu kijijini kwa ukarimu wake na moyo wake wa upendo. Neema alikuwa akifanya kazi kama mwalimu katika shule ya msingi ya kijiji, ambapo...
  6. G

    Kipimo cha uhuru wa kiimani ni namna dini yenye waumini wengi inavyoweza kuishi na wanaoamini dini tofauti, ni neema tumezaliwa nchi iliyojaa wakristo

    Kipimo cha ubora wa dini ni namna unavyoweza kuishi na wanaoamini dini tofauti na yako. Kama jirani yako anaabudu ng'ombe na hakubagui wala kukunyanyasa wewe unayemuabudu Jehova au Allah hakika huyo ni jirani mwema na bora zaidi ya wale wanaohubiri amani na upendo huku wanalazimisha sheria za...
  7. N

    Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman: Mtanzania yeyote mwenye akili hakuna atakayelalamika namna Muungano unavyoendeshwa

    Akizindua maonesho ya biashara ya Miaka 60 ya Muungano, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman amesema wananchi wanatakiwa kuendelea kutambua umuhimu na tija za Muungano, ambapo amewahasa wanaofahamu vyema manufuaa yaliyopo kuendelea kuwaelimisha wengine hususani vijana ili waweze...
  8. Rais kapata Uongozi kwa neema na rehema za Mungu, ajiepushe na Kiburi!

    Kinyume na Watangulizi wake,Raisi wetu, hakuchaguliwa Kwa nafasi anayoishikilia,Alipata baada ya Boss wake kitwaliwa. Mtangulizi wake alikuwa jeuri, mjuaji, katili na mwenye kiburi. Alipenda atawale muda mrefu, Mungu hakumpa hiyo nafasi. RAIS husikilizi vilio vya wananchi katika maeneo...
  9. Neema yawashukia wakulima

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amesema serikali inatambua umuhimu wa wakulima nchini katika kuisaidia nchi kuwa na chakula cha kutosha. Rais Samia ameeleza hayo Jijini Dodoma wakati wa Kilele cha Maonesho ya NaneNane. Amesema ndio maana serikali imeamua kujenga Viwanda ikiwamo cha...
  10. SoC04 Tanzania yenye neema

    TANZANIA YENYE NEEMA Introduction: Tanzania is beautiful country in world wide that contain beautiful and wonderful national Parks such Mount Kilimanjaro, Mikumi park, Ngorongoro, Serengeti, Sadani, Ruaha, Selous, mount Meru , Also beautiful water bodies such as lake Victoria, lake Nyasa and...
  11. U

    Suzan Peter Kunambi ateuliwa Katibu Mkuu UWT Taifa

    Wadau hamjambo nyote? ======= Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), imemteua Suzan Peter Kunambi kuwa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT). Kamati hiyo imeketi chini ya Makamu Mwenyekiti wake ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la...
  12. Kama hali ya hewa itaendelea hivi, itakua ni neema kwa wakulima wakati wa mavuno

    katika maeneo mengi humu nchini hususani mashambani, hali ya hewa ni mwanana na inatia moyo sana kwa wakulima, huenda hii ikawa ni ishara ya matumaini kwa wakulima wa mazao mbalimbali humu nchini.. karibu jumuaya nzima ya Africa inafahamu, Malawi wana uhaba wa chakula, Burindi na Sudani Kusini...
  13. Hongera sana Mkuu mpya wa shule ya sekondari Nyiendo halmashauri ya mji wa Bunda kwa uchapakazi uliotukuka

    Ukweli ni lazima usemwe tu hata kama watu wengi hawataupenda. Shule ilikuwa imepoteza mwelekeo kabisa.Kila siku ilipokuwa inapita unatamani heri ya Jana. Makundi baina ya walimu, morali ndogo kwa walimu wasio wanamtandao, kiwango kidogo cha nidhamu kwa wanafunzi yalikuwa baadhi ya mambo...
  14. Kwa juhudi zote omba kataa roho ya madeni. Ibilisi kamwaga mapepo ya kushinikiza watu kuwa na madeni yenye uchungu

    Mtu mwenye madeni hawezi kuwa na furaha (amani). Hiyo amani ndio uzima wenyewe. Shetani anafanya juhudi kuwapiga watu na mapepo ya madeni bila wenyewe kujua. Madeni ni maumivu makali. Epuka madeni kwa namna yoyote, omba sana. Ukipigwa na roho hii ya madeni ushamalizwa kiroho. Mungu...
  15. AFRICON 2027 inakuja na neema ya ujenzi wa barabara 4 ,kuanzia mbagala - chamazi- chanika

    Ni neema juu ya neema Kwa Sisi wakazi wa maeneo haya ya mbagala,chamazi,msongola,kitonga Hadi chanika baada serikali kutaka kuanza ujenzi ramsi wa barabara 4 ( 2 lanes).. Toka mwezi uliopita TANROAD wamepigwa alama ya X nyumba zote zilizopo kwenye hifadhi ya barabara pamoja na notes ya siku 14...
  16. Nawaombea baraka na neema za Mungu waandamanaji wote kesho Jan, 24

    Mwenyezi Mungu Abariki Mawazo, Maneno na Matendo ya waandamanahi wote, daima yawe ya ustaarabu, utulivu, ungwana, upendo na amani tangu mwanzo hadi mwisho wa maandamano yenyewe. Wasiohusika wasibughudhiwe, wasiguswe, wasilazimishwe kushiriki maandamano, wasizomewe wala kudhulumiwa chochote...
  17. Waziri Bashe kemea uhuni unaotaka kufanywa na TCJE, kuwanyima neema wakulima wanaolima kupitia vyama vya msingi mbolea ya ruzuku

    Habari wakuu Moja kwa moja kwenye mada Bashe kupitia wizara yako ulituhaidi wakulima tunaolima kupitia vyama vya msingi kunufaika na mboleo ya ruzuku Kweli mwaka huu tumepokea mbolea zilizo na vifungashio vyenye nembo ya ruzuku, tukakubali kwamba ahadi ya kumuinua mkulima kunufaika na ruzuku...
  18. Neema: Umasikini wa Tanzania wapungua kwa 19%

    Taarifa hii njema imetolewa na serikali ya Tanzania --- Mtendaji wa Tume ya Mipango Bw. Lawrence Mafuru amesema kuwa; "Uchumi wetu umekuwa ukikua kwa wastani wa asilimi 6% kwa miaka 20 iliyopita, hiki kiwango cha ukuaji ukikiangalia ni kiwango kikubwa sana ukilinganisha na mataifa mengine hata...
  19. Milioni 13 za Mbunge wa Ulanga/Mahenge Neema kwa Wachimbaji Wadogo

    MILIONI 13 ZA MBUNGE ULANGA NEEMA KWA WACHIMBAJI WADOGO Mbunge wa jimbo la Ulanga Salim Alaudin Hasham ametoa kiasi cha shilingi milioni kumi na tatu (13,000,000) kwaajili ya malipo ya leseni za wachimbaji wadogo wanaofanya kazi zao za uchimbaji wa madini katika kata ya Lukande wilayani humo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…