oktoba 29

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Makonda: Oktoba 28, 29 na 30 ni siku ya kumshukuru Mungu kwa kuitunza amani ya Tanzania

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, akizungumza Bungeni leo Oktoba 27, 2026, amesema kuwa kufanyika kwa Mkutano wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) jijini Arusha ambao ulianza Oktoba 5 hadi 9, 2026, ni ushahidi thabiti wa amani, utulivu, na mshikamano uliopo nchini...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Shtuka, Kuachiwa kwa picha za Nchimbi ni Kiki ya kuzima vuguvugu la Oktoba 29 pamoja na Kutekwa Twaha Mwaipaya

    Kuna picha za Nchimbi zimeachiwa kuwa ameonekana Dubai mapumzikoni, tambueni kuwa picha hizo haziko kwa bahati mbaya ila zinatumika kuhamisha upepo mbaki kubishana juu ya uhalisia wa wapi alipo Nchimbi na msahau kutekwa kwa Twaha Mwaipaya pamoja na Vuguvugu la Maandano. CCM wana kila mbinu ya...
  3. Idugunde

    JamiiForums Tanzania CCM na serikali yake inataka kutuaminisha walioratibu maandamano ya Oktoba 29 ni wanaharakati wa CHADEMA waliokuwa Nairobi?

    Inasemekana Pambalu alikamatwa akitokea Nairobi Kenya. Alipoingia nchini mkoani Arusha akakamatwa na sasa ameshitakiwa kwa uhaini. Mwenzake nasikia ametekwa jana. Waliomteka inasadikiwa ni Wanausalama wa kitanzania. Je, hawa wanaharakati waliokuwa wameweka kambi hapo Nairobi ndio walipanga huo...
  4. C

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 THRDC Yapendekeza Oktoba 29 kuwa siku ya kitaifa ya kumbukizi

    Kituo cha Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) kimependekeza Oktoba 29 ya kila mwaka iwe Siku ya Kitaifa ya Kumbukizi ya matukio ya Oktoba 2025, ili kuwakumbuka wahanga na kuweka mikakati ya kuzuia kujirudia kwa vifo, majeruhi na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu. Katika taarifa yake...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Mdau: Tusikubali baadhi ya viongozi wa dini kuamsha hisia zetu za Oktoba 29

    Wakuu naona bado wadau mbalimbali wanendelea kutoa maoni yao kuhusu kuwepo kwa kumbukizi au maombolezo ya vifo vya Oktoba 29. Huyu ameeleza zaidi kwa upande wa viongozi wa dini akigusia Catholic Church, anasema kuwa viongozi wa dini wanatakiwa kuwa faraja ya mioyo yetu na sio kuhamasisha...
  6. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yangu, ni lazima Kila Mwaka tuwe na Wiki ya Kumbukumbu Mauaji Oktoba 29 2025 Kuanzia Tawi mpaka Taifa .Tuna siku 4, Chama kitangaze rasimi hil

    Kama Kuna jambo CCM watatumia Kila namna ili TU hii kumbukumbu isiwepo ni Haya Mauaji ya Kimbali ya Oktoba 29 2025. Kama Chama tusikubali Kamwe kuingia kwenye Mtego unaodogosha Mauaji haya . Mauaji yale hayakuwa ya Ajali ya Moto, Wala Meli kuzama Baharini, ni MAUAJI YA VYOMBO VYA DOLA KUTUMIA...
  7. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Hongereni sana Kanisa KATOLIKI kwa kuanzisha Rasimi safari ya Kumbukumbu ya Mauaji ya Oktoba 29 2025, Japo Serikali na CCM wanatamani Hilo lisiwepo !!

    Kanisa linapobeba jukumu kama hili zito ,linaonyesha kwa namna gani Kanisa linajali Watu !!. Moja ya kumbukumbu ambazo CCM watataman maisha yake yote isahaulike ni haya Mauaji ya Oktoba 29 2025. CCM wako tayari kUfanya namna yoyote ile wanayoweza ili mradi tu KUDOGOSHA Mauaji haya ,ionekane...
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wale tuliokuwepo tuliokuwepo kwenye tukio la Oktoba 29 tujitokeze kutoa ushahidi

    "Nilikuwa naomba kwa wale wote ambao wanaamini kwamba walikuwepo kwenye tukio la Oktoba 29 wale wenye ushahidi tutokee kwa wingi tutoe ushahidi kwa hii tume ambayo ipo kwa ajili ya kufanya upelelezi. Kama mnavyojua Oktoba 29 wale ambao tulikuwepo tulishuhudia mauaji yalitokea..." "Hii ni kwa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Yameanza Mbeya Leo. Kufikia Oktoba 29 watakimbia Ikulu.

    Kwa ujumla hii serikali imejaa uovu na wananchi hawaitaki. oktoba 29 wananchi wanareknew upya. Sina mengi.
  10. B

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Oktoba 29: Je, Umeshasahau Ulipokuwa na Ulichokuwa Unawaza Muda Kama Huu Mwaka Jana? (Uzi Maalumu wa Kumbukumbu)

    Ni ngumu kuamini kuwa tayari tunakaribia kutimiza mwaka mmoja tangu nchi yetu ipitie moja ya vipindi vyake vigumu na vyenye taharuki kubwa katika historia ya hivi karibuni—matukio ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025. Muda kama huu, wiki moja kabla ya tarehe 29 mwaka jana, anga la kisiasa na...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Dokezo:Yanayoendelea Ufaransa kuenea dunia nzima. Hapa Tanzania itakuwa zaidi ya Oktoba 29 ya 2025.

    Inasemekana G z wameanza kazi upya. Wamechoshwa na rushwa na ugumu wa maisha huku familia za wanasiasa zikijilimbikizia mali na utajili. Inasemekana yaliyotokea Oktoba 29 itakuwa ni cha mtoto. Safari hii itakuwa mara mbili ya kinachotokea ufaransa. Mwenye kusikia na asikie.
  12. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Vurugu zinazofanyika Ufaransa ni kubwa zaidi ya zile za Oktoba 29 mwaka jana lakini sijaona Polisi wakipiga watu risasi. Hapa nchini kwetu kuna tatizo

    Huko Ufaransa kunafanyika vurugu kubwa sana. Watu wanavunja maduka na kuchoma moto hovyo. Hapa kwetu watu walipigwa risasi kwa kupora simu na chokoleti. Au tatizo ni nini? Watu kuimba wanataka mapinduzi kama ya Madagascar!
  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Kweka arudishwa rumande, kesi kutajwa Oktoba 29

    Mfanyabiashara na mkazi wa Bunju A, Laurence Kweka (48), amerejeshwa rumande baada ya kufikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni, akikabiliwa na shtaka la kumuua mkewe, Jane Urassa. Kweka amefikishwa mahakamani hapo leo Alhamisi, Oktoba 15, 2026, na kusomewa shtaka moja la mauaji katika...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Kufuatia mauaji ya Oktoba 29, 2025, unamkumbukaje Nyerere?

    Kichwa cha habari kitoshe kuwasilisha ujumbe. Leo, ni kumbukizi la 27 la Mwalimu Julius Nyerere. Tukiwakumbuka mashujaa wetu waliouawa na tawala zandiki mwaka jana mwezi kama huu, tukiwa tunamkumbuka Nyerere nao tusiwasahau. Je, wewe umewakumbukaje katika kumbukizi hili la Mwalimu? Hanikiza...
  15. kavulata

    JamiiForums Tanzania Oktoba 29 imetuonyesha namna Uraia pacha unavyohitaji mjadala zaidi

    Kuna watanzania wenzetu wakifanikiwa kwenda kuishi ulaya na marekani wanajifanya kuusahau utanzania wao. Wanawaona watanzania walioko Tanzania kama washamba, wajinga, wasiojua kutukana na kubeza viongozi kama wazungu wanavyofanya. Ghafla wanatamani Tanzania iwe na utamaduni, siasa na uhuru kama...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Chondechonde: Watanzania ninajua mnahasira kali juu yaliyotokea Oktoba 29. Punguzeni makali ya vibuyu dhidi ya polisi

    Elekezeni mashambulizi na kwingineko👇
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania James Mbatia: Kwa kiasi kikubwa CCM ndio iliratibu Vurugu za Oktoba 29

    Mwanasiasa mkongwe nchini, James Mbatia, amesema kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinabeba laana na uwajibikaji mkubwa kutokana na kuratibu matukio ya vurugu na maafa yaliyotokea tarehe 29 Oktoba. Akizungumza katika mahojiano cha Chief Odemba, Mbatia ametumia mfano wa maandiko ya kidini kueleza...
  18. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Alphonce Muyinga: Lazima tujue nani alihusika, nani alipinga mpango, nani alifadhiliwa na nani alifadhili matukio ya Oktoba 29, 2026

    Mzalendo Alphonce Patrick Muyinga amewataka Watanzania kuwa makini na kile alichokiita pishi jipya la propaganda za hisia kuhusu Tume ya Uchaguzi na matukio yaliyotokea Oktoba 29. Muyinga amesema kuwa, kwa kuwa vurugu zilizotokea tayari zimetokea, kinachohitajika sasa ni kujikita katika...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Sina shaka Samia ameonja waliyopitia wale wa Oktoba 29

    Duniani kila kumbe kiishicho kitakufa. Kila auawe ima atauawa au atakufa tu. Kila afurahiaye maumivu ya wenzake ataumia Kila asababishaye au kushabikia mateso ya wenzake atateseka Namuonea huruma Samia Anatia huruma Sina shaka, kama kiongozi ameonja kile ambacho ndugu za wahanga wa Oktoba 29...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Raisi wa TLS Mwabukusi: Kwa kilichofanyika Oktoba 29, ukisema ulikuwa uchaguzi lazima uwe mwenda wazimu

    Raisi wa Chama cha Mawakili wa Tanganyika (TLS) Boniface Mwabukusi amesema katika Uchaguzi uliopita tusisahau kuangalia ndani ya vyama. Vyama vya siasa vimefanya nini? Ukweli ni kwamba mambo yanaanzia kwenye vile mchakato ambapo unapokuwa vikiumba vipaji na kupata fursa badala ya kuanzia kule...
Back
Top Bottom