.
Wakuu nilikuwa naishi na huyu mke wangu, ilikuwa imetimia miaka 4 tayari, kwao walikuwa wananijua na kwetu wanamjua vizuri, alivyo maliza kulea mtoto mwaka juzi tukashauriana ajifunze masuala ya saluni Ili badaye nije nimfungulie duka la vipodozi na saluni hapo hapo Kwa maana Mimi ni fundi...