pete

Polyethylene terephthalate (sometimes written poly(ethylene terephthalate)), commonly abbreviated PET, PETE, or the obsolete PETP or PET-P, is the most common thermoplastic polymer resin of the polyester family and is used in fibres for clothing, containers for liquids and foods, and thermoforming for manufacturing, and in combination with glass fibre for engineering resins.
It may also be referred to by the brand names Terylene in the UK, Lavsan in Russia and the former Soviet Union, and Dacron in the US.
Bio-PET is the bio-based counterpart of PET.The majority of the world's PET production is for synthetic fibres (in excess of 60%), with bottle production accounting for about 30% of global demand. In the context of textile applications, PET is referred to by its common name, polyester, whereas the acronym PET is generally used in relation to packaging. Polyester makes up about 18% of world polymer production and is the fourth-most-produced polymer after polyethylene (PE), polypropylene (PP) and polyvinyl chloride (PVC).
PET consists of polymerized units of the monomer ethylene terephthalate, with repeating (C10H8O4) units. PET is commonly recycled, and has the number "1" as its resin identification code (RIC).
Depending on its processing and thermal history, polyethylene terephthalate may exist both as an amorphous (transparent) and as a semi-crystalline polymer. The semicrystalline material might appear transparent (particle size less than 500 nm) or opaque and white (particle size up to a few micrometers) depending on its crystal structure and particle size.
The monomer bis(2-hydroxyethyl) terephthalate can be synthesized by the esterification reaction between terephthalic acid and ethylene glycol with water as a byproduct (this is also known as a condensation reaction), or by transesterification reaction between ethylene glycol and dimethyl terephthalate (DMT) with methanol as a byproduct. Polymerization is through a polycondensation reaction of the monomers (done immediately after esterification/transesterification) with water as the byproduct.

View More On Wikipedia.org
  1. Sio kwenye Pete tu hata kwenye saa

    Wakuu niliona mjadala humu kuhusu watu kuvaa mapete na kila aliyechangia alikuwa na maoni yake. Kwa habari nilizozisikia na kuziona kwenye vyombo vya habari hata kuzisoma sehemu mbalimbali. Pete zinazovaliwa na watu mbalimbali wakiwemo Mashehe, Wachungaji, Maaskofu na watu mbalimbali. Huwa...
  2. Hizi pete ambazo baadhi ya watu huvika vidoleni huwa ni za asili na kazi gani? Karibuni tujuzane

  3. Hegseth, waziri wa Ulinz mtarajiwa U.S: “Nilijitolea kulinda uapisho wa Biden na nikakataliwa kwa sababu ya kuwa na tattoo ya msalaba wa kikristu"

    Jana Pete Hegseth alipokuwa anahojiwa na kamati ya bunge, alisema alitambulika kama mwenye "msimamo mkali" hivyo kukataliwa nafasi hio ya kulinda sherehe ya uapisho wa Rais Biden. Lakini cha kushangaza jeshi la Marekani linaluhusu ushoga wa kupindukia katika uongozi wake.
  4. Kilichoanguka Kenya ni "Rocket Separation Ring" au Pete ya Kutenganisha Roketi

    Separation Ring ni kitu gani? Roketi kwa kawaida huundwa kwa stages au vipande, ambavyo hutumika kwa wakati tofauti wa kuirusha kwenye obiti. Sehemu kubwa ya uzito wa roketi ni mafuta na injini, kwa kawaida asilimia 95 ya chombo chote ni sehemu hizo. Kwa kuwa roketi hutumia mafuta kwa haraka...
  5. Shilole avishwa pete ya uchumba, ndoa ya tatu yanukia

    Msanii na mfanyabiashara maarufu, Zuwena Mohammed, anayefahamika kwa jina la kisanii Shilole, amevishwa pete ya uchumba na mpenzi wake mpya usiku wa kuamkia leo, Desemba 23,2024 Tukio hilo lilifanyika katika hafla ya kifahari ya kusherehekea siku yake ya kuzaliwa katika eneo la Kijitonyama, Dar...
  6. Hivi hizi Pete za Ndoa, hazivuliwagi?

    Morning, Natumai tuko salama wote wanajamvi. Nina kitu naomba kueleweshwa hivi, hizi pete za uchumba na ndoa ukishavalishwa ndio unatakiwa kuvaa kila siku? Yaani unalala nazo? Unaenda nazo kuoga? Unaenda nazo kupika, kufua, kuosha vyombo? Mpaka chooni? Mfano mtu unajisikia wiki hii kupumzika...
  7. J

    INAUZWA Nauza pete ya Tanzanite

    Habarini, wapendwa nilipata shida kidogo nilikuwa nataka kujua wapi naweza uza pete ya Tanzanite kwa Dar es salaam?
  8. Pete ya Nasrallah kuuzwa kwa Mnada kwa yeyete Bei ya kuanzia mnada ni USD 113,000$ = na TZS Milion 300 na ushee

    Iranian network announces auction of Nasrallah's ring to aid Lebanese people, starting bid at $113,000 Lebanon News 2024-10-23 | 17:28 Mtandao wa "Ofogh" wa Iran ulitangaza kwenye akaunti yake ya X kwamba unapanga kupiga mnada pete ya Gaidi katibu mkuu wa zamani wa Hezbollah, Hassan Nasrallah...
  9. D

    Pete za Maulamaa

    Zina kinga kubwa sana hizi
  10. Kuwa makini sana unapomvalisha mwenzio pete kanisani ama kokote ikadondoka usidharau

    Mkutoka hapo mkafunge mkaombee sio jambo la kawaida nawashauri Na ishahidi wengi yaliyowatokea wamelia kwenye ndoaa nami nataka wewe unaejiandaa kwa ndoa usiogope Ikikutokea hiili nendeni mkakemeee mkaombe tobacco na rehema kuna rohoo mmetupiwaa Msisahauu kutoa sadaka kwa ajili yahayo maombi...
  11. Usimpigie magoti mwanamke unapomvalisha pete

    Ni upumbavu kwa mwanaume kumpigia goti mwanamke kwa sababu yoyote ile ikiwemo kumvalisha pete ya uchumba. Ukishajiwekea akili kwamba mwanamke anakufanyia favour kukubali kuolewa na wewe basi wewe ni mjinga. Ndoa inamgharimu mwanaume kuliko mwanamke, ndoa ni mafanikio kwa mwanamke kuliko...
  12. T

    Mtoto wa mchungaji Christina shusho avishwa Pete ya uchumba

    Mtoto wa mchungaji Christina shusho avishwa Pete ya uchumba
  13. T

    Mtoto wa mchungaji Christina shusho avishwa Pete ya uchumba

    Mpenzi nilienae Kila siku ana matatizo jamani Kila siku yeye hasara yeye , kikosa ajira yeye ...Kila siku ananipa hbr mbaya nahisi ana mikosi
  14. A

    Pete na uaminifu😂😂😂😂

    Kwa nini watu fulani wanaamini kwamba kuvaa pete kwenye kidole cha pete itawafanya wapenzi wao wasiwe waaminifu?
  15. T

    Mtoto wa mchungaji Christina Shusho, Odesia Shusho avishwa Pete ya uchumba

    Mtoto wa mchungaji Christina shusho 'Odesia Shusho' avishwa Pete ya uchumba.
  16. T

    Binti mkubwa wa mchungaji shusho"odesia shusho avishwa pete ya uchumba

  17. Njia za kutoa pete iliyokwama kwenye kidole kilichovimba

    Kwa wale wanaovaa Pete iwe dhahabu au silver au shaba ukijiskia kuitoa halafu ikagoma unaanza kuchanganyikiwa relax usipanic ni hatari lakini ni salama kama iliingia lazima kuna namna ya kuitoa. Na Mara nyingi Pete kugoma husababishwa nakuilazimisha Pete ndogo, au kuivaa Kwa muda mrefu Hatimaye...
  18. Mwaliko wa Vatican: Je, Mama kumsujudia Papa kwa kuibusu pete yake?

    Mwaliko uliombwa na Hayati Rais John Magufuli ulikubaliwa mwaka 2019 wakati wa COVID 19 ikashindikana Papa kuja Tanzania wala Rais Magufuli kwenda Vatican. Nani aende Vatican baada ya kuondoka kwa Rais Magufuli!? jibu ni Mama. Je, atakwenda kujifunza injili ya Bwana wetu Yesu Kristo!? Je...
  19. Video: Manara akimvisha pete Mchumba wake Zailyssa, amtoa machozi

    Jana ilikuwa siku kubwa kwenye safari ya penzi la Haji Manara na Zailyssa. Manara alimvisha Pete ya uchumba mpenzi wake Zailyssa mbele ya umati wa watu walio hudhuria engagement party yao. ANGALIA VIDEO HAPA Written by Mjanja M1 Video from WasafiTv
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…