raia

The Australian Institute of Architects (officially as the Royal Australian Institute of Architects, abbreviated as RAIA) is a professional body for architects in Australia. The post-nominals of FRAIA (Fellow) and RAIA (Members and organisation abbreviation) continue to be used.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    Wanasiasa wanavyotumia dini kuwanyonya/kuwakandamiza raia

    1. Eti msichanganye dini na siasa wakati kwenye misaafu tunasoma dini na siasa haviwezi kutenganishwa. Na ndiyo maana viongozi wetu huapa kwa misaafu hiyo. 2. Eti viongozi wa dini wanapaswa kuwafundisha waamini wao Unyenyekevu na utii kwa mamlaka (serikali) hata kama inawanyanyasa! Hii siyo...
  2. Gabon: Jeshi limechukua madaraka baada ya Ali Bongo kutangazwa mshindi wa Urais

    Kikundi cha Wanajeshi 12 kimechukua uamuzi huo ikiwa ni siku chache tangu Tume ya Uchaguzi kutangaza kuwa Rais Ali Bongo ameshinda tena Kiti cha Urais Wanajeshi hao wametangaza kupitia Televisheni ya Taifa kuwa wanafuta matokeo yaliyoyangazwa na kuzifuta Taasisi zote za Umma pamoja na kulinda...
  3. A

    DOKEZO Bosi wa kiwanda cha A to Z Arusha anawadhalilisha na kuwakandamiza Watanzania

    Merchandising executive kwa jina la Perumal aliyepo kiwanda cha A to Z katika kampuni ya Red Earth amekuwa na tabia endelevu ya kuwatukana, kuwabagua, kuwadhalilisha na kuwaonea watanzania wanaofanya kazi katika ofisi ya merchandising kiwandani hapo. Malalamiko hayo yalipelekwa kwa uongozi wa...
  4. Ungepata nafasi ya kuoa/kuolewa na mtu wa nchi nyingine ungachagua raia wa nchi gani?

    Mimi ningachagua kuoa Rwanda. Kila mtu anajua maua yaliyopo kule. Wewe ungechagua wapi?
  5. M

    Serikali ya Tanzania imebariki raia wake kuibiwa kupitia Makampuni ya Michezo ya Kubahatisha

    Makampuni ya michezo ya kubahatisha yameendelea kuongezeka kwa kasi sana nchini Tanzania kuliko nchi nyingine za ukanda wa Afrika Mashariki. Ongezeko hili linachagizwa na ukweli usiopingika kuwa kumiliki kampuni ya michezo ya kubahatisha ndio njia rahisi zaidi ya kuvuna pesa kutoka kwa watu wa...
  6. Hivi naomba kuuliza hivi kuwa kiongozi wa dini kunaondoa sifa ya kuwa raia na kukosoa serikali?

    Habari wanajf, naomba kuuliza watu hasa Watanzania wanalalamika kwamba kwa nn TEC wanakosoa kuhusu bandari kuwekezwa na DP word. Sasa maana ya kuwa kuwa kiongozi wa dini maana yake Ni kukubali kila kitu hata Kama Ni kibaya unapaswa kufunga akili????????? Lakini je kuwa kiongozi wa dini...
  7. A

    DOKEZO (Video) Raia wa Uturuki wanaojenga Reli ya SGR waendeleza mgomo, wakidai mishahara, waomba msaada kwa Rais Samia

    Baadhi ya Wafanyakazi hao katika Mradi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR), leo Agosti 17, 2023 wameendeleza mgomo wao wakishinikiza malipo yao kutoka kwa Mkandarasi Kampuni ya Yapi Merkezi. Sehemu ya hotuba yao inaeleza “Sisi ni Wafanyakazi tuliopo katika Mrati Awamu ya Pili (Lot 2), Kambi ya...
  8. Rais Samia kuna Rais mwenzangu aliniambia nimbadilishe Balozi, aliyepo kazini haendi na Mikutano hashiriki

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Mabalozi Wateule Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma tarehe 16 Agosti, 2023. https://www.youtube.com/watch?v=3hgz9HYOiR8 RAIS SAMIA: MAFUNZO YA UBALOZI YASIWE YA JUMLAJUMLA Rais Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Mabalozi...
  9. Mkandarasi Yapı Merkezi anayejenga Reli ya SGR atoa ufafanuzi taarifa za kushindwa kuwalipa wafanyakazi wake raia wa Uturuki

    TAARIFA KWA UMMA UFAFANUZI WA TAARIFA ZINAZOSAMBAA ZIKIHUSISHWA NA SERIKALI YA TANZANIA KUSHINDWA KUMLIPA MKANDARASI YAPI MERKEZI NA KUPELEKEA KUSHINDWA KULIPA MISHAHARA WAFANYAKAZI WA KITURUKI Dar es Salaam, Tarehe 15 Agosti 2023 Kampuni ya YAPI MERKEZI inayofanya ujenzi wa reli ya yenye...
  10. Raia wa Malawi aliyetibiwa Magonjwa ya Moyo, asimulia JKCI ilivyorejesha furaha yake

    Jane Chimuyaka, raia wa Nchini Malawi aliyekuwa akisumbuliwa na Magonjwa ya Moyo ameipongeza Serikali ya Jamhuri ya Tanzania kwa kuanzisha matibabu ya moyo nchini kusaidia wagonjwa wa moyo waliopo Tanzania na nchi za jirani. Jane aligundulika kuwa na matatizo ya moyo kupitia kambi maalum ya...
  11. Kiwango cha ujinga cha viongozi wa CCM, mashabiki wao, na raia kwa ujumla, kinatisha!

    Kichwa cha mada kinajielezea. Ni zaidi ya ujinga [ignorance]. Ni upumbavu [stupidity]. Rais Samia karuhusu mikutano ya vyama vya siasa. Rais Samia kavipa vyama vya siasa ruzuku. Rais Samia kamlipa Tundu Lissu stahiki zake za kibunge. Rais Samia katoa mabilioni huku na kule. Watu ambao mtu...
  12. Kinana kuongea na mamlaka bodaboda wabebe abiria zaidi ya 1 (mshikaki)

    Nimeshangaa kuona na kusikia Kinana akiwaambia bodaboda kuwa ataiambia mamlaka ya usimamizi usalama barabarani waondie zuio la mishkaki yaani kubeba hadi abiria 3. Sababu kuu anasema hii itaongeza kipato kwa waendesha boda boda. Kibaya zaidi akasema kuwa...kuna shida gani kama abiria wenyewe...
  13. DOKEZO Mamlaka za Uhamiaji tusaidieni Bukoba Mjini, kuna raia wa kigeni anatishia maisha ya watu

    Jeshi la Uhamiaji Tanzania tunawashukuru kwa kazi nzuri, tunaomba msaada huku Bukoba Mjini, kuna jamaa mmoja raia wa Uganda anaishi Mtaa wa Kagondo, aliua mtu kwa kumchoma na moto, jamaa huyo ni Mwalimu wa chekechea anaitwa Karangwa Pascal. Alikamatwa yuko Polisi Bukoba sasa hivi ni wiki mbili...
  14. Ni rahisi kutengenezea raia hasira dhidi ya Rais wao

    Baada ya ahadi ya nyongeza ya mshahara kupitia vyombo vyote vya habari nchini Kuna mengi yanasemwa na ikizingatiwa kuwa hakuna chanzo sahihi cha taarifa. Inapofikia michakato inatendeka kimyakimya na wengi wao wakitarajia jipya kwenye pay tarehe ya pay July 2023 kunasababisha hasira na kinyongo...
  15. J

    Nini kifanyike kuboresha Uhusiano kati ya Raia na Vyombo vya Usalama?

    Je, una maoni au ushauri utakaoboresha uhusiano kati ya Raia na Vyombo vya Usalama? Usikose kujiunga nasi katika mjadala wenye tija utakaolenga kutafuta suluhu ya kuimarisha uhusiano kati ya raia na Vyombo vya Usalama Julai 25, 2023, kuanzia Saa 12 Jioni hadi 2 Usiku, kupitia Twitter Space ya...
  16. Mayele akiuzwa Yanga SC itaambulia 30% tu ya Pesa na 70% atachukua anayemmiliki huko Congo DR

    Mtangazaji wa Michezo wa Redio Kubwa na inayokubalika nchini Congo DR ya ( iitwayo ) Top Congo FM Mwanadada Sylivia Meya kasema Mayele akiuzwa Kokote kule Yanga SC waliopewa kwa Mkopo wataambulia 30% tu na Tajiri anayemmiliki Mayele na Wachezaji wengine 24 wa Congo DR atachukua 70% yake. Chanzo...
  17. Morogoro: Zima moto waenda kuzima moto kwa mikono gari zote mbovu

    Kikosi cha Zimamoto mkoani Morogoro leo kimeenda kuzima moto kwa ndoo na mikono ikielezwa gari zao zote ni mbovu. Moto huo umeua mzee mmoja aliyeshindwa kujiokoa. Ikumbukwe, pesa za kina Profesa Zembelwa, Dk Kitenge na Mwanasheria nguli wa sheria za MIKATABA ndugu Hando zipo ila za kuwezesha...
  18. Je, Makardinali ni raia wa Vatican?

    Tukiwa bado tunasherehekea kuteuliwa Kwa Mwadhama Protase Kardinali Rugambwa ambae ataapishwa huko Vatican tarehe 30 Septemba. Ni vema kutambua Makardinali ndio humchagua Papa, kupitia haki hiyo ya kupiga kura ya kumpata Rais wa Vatican (Baba Mtakatifu) je, Makardinali Wana uraia wa Vatican?
  19. G

    Tetesi: Muungano: Manufaa zaidi kwa Wazanzibar - Bodi ya mikopo kwa wazanzibar (ZHELB), Pia ZANAJIRA(Ajira portal kwa raia wa zanzibar)

    "Mwanafunzi yeyote wa Zanzibar hana sababu ya msingi ya kukosa mkopo wa elimu ya juu kama ana vigezo kwasababu mwanafunzi Mzanzibar una nafasi mbili za kuomba mkopo, unaweza kuomba mkopo Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu Zanzibar (ZHELB) au Bodi Ya Mikopo Elimu Ya Juu Tanzania (HESLB) kote...
  20. DOKEZO Askari Polisi atuhumiwa kumuua raia Arusha kwa kumpiga risasi 3, Wananchi wamtuhumu kwa mauaji ya mara kwa mara

    Kijana mmoja aliejulikana kwa jina la Israel Daudi, amefariki dunia baada ya kupigwa risasi 3 na askari Polisi kwa kile kinachodaiwa kuwa ni kuachia ng'ombe kuingia shambani. Tukio hilo limetokea katika Mtaa wa Olaresho, Kata ya Olasiti katika Halmashauri ya Jiji la Arusha. Akizungumzia tukio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…