Habarini Wana JF,
Mimi nlikua nafanya kazi taasisi Fulani hapa Tanzania kwa bahati mbaya ikafutwa na maelekezo yakaja kwamba stahiki zetu tutapata baada ya Mkurugenzi wa RITA kukamilisha ufilisi na Sasa alishakamikisha na tukapewa fomu za kusaini tulipwe stahiki zetu ,Ilikua ni mwezi wa kwanza...