sahihi

  1. S

    Matumizi sahihi ya dawa za kupunguza makali ya VVU yanaondoa kabisa uwezekano wa kumuambukiza VVU mwenza wako wa kingono

    Ukiwa unaishi na maambukizi ya virusi vya UKIMWI (VVU) na ni mtumiaji mzuri wa dawa za kupunguza makali ya VVU, na kufikia kiwango cha kufubaza virusi vyote, kitaalam undetectable viral load, na ukawa unaendelea kutumia dawa za kufubaza virus -ARVs, basi jua huwezi kabisa kumwambukiza mshirika...
  2. S

    Matumizi sahihi ya dawa za kupunguza makali ya VVU yanaondoa kabisa uwezekano wa kumwambukiza mwenza wako wa kingono

    Ukiwa unaishi na maambukizi ya virusi vya UKIMWI (VVU) na ni mtumiaji mzuri wa dawa za kupunguza makali ya VVU, na kufikia kiwango cha kufubaza virusi vyote, kitaalam undetectable viral load, na ukawa unaendelea kutumia dawa za kufubaza virus -ARVs, basi jua huwezi kabisa kumwambukiza mshirika...
  3. Jinsi ya kuishi na Mwenza mwenye maambukizi ya VVU au UKIMWI

    Habari wakuu Uzoefu: Nimeishi na mwenza mwenye maambukizi ya virusi vya ukimwi tukiwa katika mahusiano ya muda mrefu sana kwa takribani miaka 5 (2014-2019), katika kipindi chote hiki tulishiriki vyema mambo yote hata yale ya kujamiana na sote tulifurahia, kwasasa tumeachana lakini sina...
  4. R

    Wajumbe wa bodi zote sensitive nchini ni wazee, wana maarifa lakini wanakosa utandawazi; nini kifanyike wasiendelee kuwa watia sahihi?

    Kila siku ukisikia wajumbe wa bodi wameteuliwa utasikia huyu kustaafu kule na yule kustaafu huku. Wanaosimamia mipango ya nchi wanapoteuliwa wote unabaini walishastaafu. Lakini unapokwenda kwenye mashirika binafsi yanayoganya vizuri katika private sector Duniani utabaini wenye mamlaka kamili...
  5. CHADEMA mbinu ya maandamano haikuwa njia sahihi ya kukirudisha chama katika macho ya Watanzania

    Tunafahamu kuwa miaka 3 nyuma vyama vya upinzani havikupewa jukwaa stahiki la kuendeleza biashara/kazi na majukumu yao ili kuongeza tija na hamasa ya kupendwa zaidi,na kuvutia wanachama ilikuwa ni inactive political parties,havikuweza kuwa na uwakilishi wa kutosha katika bunge na hata katika...
  6. Hivi kwanini watu sahihi hawakutani kwenye mahusiano

    Wanaume sahihi hatupati wake sahihi , wake sahihi hawapati waume sahihi 😃 Dunia ngumu hii .. hivi kwanini watu sahihi huwa hatukutanagi . Nahisi shetani ana mkono wake katika hili. Unaona dada wa watu anateseka wakati anasifa zote ... kukutana watu wanao pair ni mara chache mara nyingi mtu...
  7. Msaada: Naomba njia sahihi ya kukataa uteuzi wa rais bila kumkasirisha Rais

    Sio utani. Wakuu heshima kwenu. Vyanzo vyangu vya uhakika kabisa ambavyo vingine viko kwenye jungu la ushauri la uteuzi wa rais vimeniambia ndani ya wiki moja mpaka mbili jina langu litakuwa moja katika mabadiliko fulani fulani katika uRC na uDC. Nimeambiwa kwa uhakika kabisa kuwa kuna...
  8. Wapi kutakuwa na wakazi wengi kati ya peponi na motoni?

    Amani ya Mungu muweza wa yote iwe nanyi. Nimekuwa nikitafakari kuhusu hili suala la kiimani, kuhusu wapi kutakuwa na wakazi wengi kati ya peponi na motoni? Naomba mnisaidie kusolve kwa ushahidi wa maandiko.
  9. S

    Mwalimu Nyerere bado yupo sahihi kwenye muungano, Umoja haujapoteza maana

    Nikiwa mtoto mdogo pale Ikulu niliwahi kumona Mwalimu akitoa hotuba ndefu pembeni ya hayati Rashid Kawawa miaka ile ya 80 mwanzoni. Mwalimu alijaliwa karama binafsi za ushawishi {charismatic leader}, alikuwa akiufahamu uwezo huo aliojaaliwa na Mungu lakini haikumfanya akavimba kichwa na kujiona...
  10. Makonda ni tatizo ila mfumo wake unakubalika na wengi waliochoshwa na ubabaishaji

    Nafikiri wengi tunakubaliana kwamba utoaji wa huduma za umma za watumishi katika sekta na maeneo mbalimbali una urasomu uliopitiliza, changamoto na usumbufu mkubwa sana. Kuna aina fulani ya uvivu, uzembe, wizi wa mali za umma na mazoea ambapo imekuwa kama utamaduni sasa katika watumishi wa...
  11. Zijue fursa zilizopo kwa Kila mkoa ili uamue vyema sehemu sahihi ya kuishi na kuwekeza kwa muda mrefu

    Hii ni makala maalumu kwa ajili ya kuweka fursa adhimu zilizopo kwenye mikoa yote iliyopo Tanzania. Zipo fursa ambazo zinajulikana na kila mtu, ila hapa napendekeza tuorodheshe fursa mbalimbali ambazo tuna uhakika wageni katika eneo hilo hawazijui. Zipo fursa zilizojificha ndani ya fursa...
  12. L

    Pre GE2025 Ni wakati muafaka na sahihi kwa David Kafulila kurejea Bungeni mwaka 2025

    Ndugu zangu Watanzania, Kila jambo na majira yake na wakati kwa kusudi maalumu chini ya mbingu. Nafikiri sote tunamfahamu vyema Mheshimiwa David Kafulila,tunafahamu uzalendo wake kwa Taifa letu,uchapa kazi wake, upendo wake kwa Wananchi. Tunafahamu vyema na kwa undani uwezo wake wa kujenga hoja...
  13. SoC04 Matumizi sahihi ya mitandao ya kijamii na vyombo vya mawasiliano kuhamasisha kuleta maendeleo nchini kwa miaka 5 hadi 25 ijayo

    **Makala: Matumizi Sahihi ya Mitandao ya Utangulizi Katika dunia ya leo, mitandao ya kijamii na vyombo vya mawasiliano vinachukua nafasi muhimu sana katika kuendesha mabadiliko ya kijamii, kiuchumi, na kisiasa. Tanzania, kama sehemu ya jamii ya kimataifa, ina nafasi kubwa ya kutumia vyema...
  14. A

    KERO Arusha: Kuna uchafuzi mkubwa wa mazingira unafanyika maeneo ya Friends Conner na Soko la Samunge

    Habari, wanaouza viungo vya chakula, mboga za majani, matunda na bidhaa nyinginezo maeneo ya barabarani hasa maeneo ya friends Conner Arusha na maeneo ya soko la Samunge upande wa chini mwa soko mbele ya kituo cha kurekebisha tabia za watoto(magereza ya watoto Arusha) wapo watu wanaofanyia...
  15. S

    Makonda yupo sahihi kuwahenyesha maboss wilayani

    Kama ulishaenda kuomba huduma yoyote kwenye ofisi za umma hasa ardhi, tanesco, maji nk utamuunga mkono mtumishi wa Mungu Daudi anavyowakerembesha ili watie adabu. Kama wewe ni mtumishi wa umma Ngazi ya chini utamuunga mkono kijana wa Mzee Albert Kwa utume wake huko chugastan. Wakuu wa taasisi...
  16. R

    DOKEZO Serikali inapata hasara ya mabilioni kwa watumiaji wa mifumo ya TEHAMA kulipia huduma isiyoendana na kiasi cha fedha kilicholipwa

    Kuna jambo nimelifanyia utafiti nimegundua makampuni na mashirika ya umma yanaiba fedha nyingi sana serikalini. Kuna fundi nilimtuma akalipe huduma ya kuunganisha maji. Nakumbuka jumla ya fedha zilizoletwa kama bill kwenda serikalini ilikuwa zaidi ya laki saba na sabini na nane. Nilimpa moja wa...
  17. SoC04 Tokomeza adhabu zinazokabili Mazingira yetu kama Dhamana Sahihi ya Tanzania Safi na Salama 2030

    Utangulizi Tanzania ni nchi iliyo barikiwa ecologia na bainuai nyingi ikiwemo ardhi yenye rutuba,Mito mkubwa kama Rufiji,Maziwa pekee ziwa Victoria ,mabonde misitu ya asili kama msitu wa asili wa Amani Tanga pamoja na bahari ya hindi na mengine mengi.Tunategemea mazingira yetu kwa...
  18. SoC04 Matumizi sahihi ya ukuaji wa teknolojia na mawasiliano ili kukuza pato la uchumi kwa wananchi miaka 5 hadi 10 ijayo

    Matumizi Sahihi ya Ukuaji wa Teknolojia Duniani: Njia ya Kuinua Uchumi wa Mtanzania kwa Miaka 5 hadi 10 Ijayo Katika ulimwengu wa leo unaobadilika kwa kasi kutokana na maendeleo ya teknolojia, Tanzania ipo katika nafasi ya kipekee ya kutumia ukuaji huu kuboresha uchumi wake. Hapa chini ni...
  19. O

    SoC04 Tunaitaka Tanzania ya watanzania shupavu, hodari na imara wenye kufanya maamuzi sahihi na kwa haraka

    UTANGULIZI Dunia iliumbwa kwa misingi ambayo ni sawia kabisa. Nikiwa na maana ya kwamba kila pande ya dunia kuna namna ilipewa rasimali ambazo zitawasaidia wakazi wa eneo hilo, kuweza kuendesha maisha na kuyafanya yawe rahisi. Wenzetu wa bara la ulaya wana ufinyu wa rasilimali na hali ya hewa...
  20. R

    Bishop Gwajima alikuwa sahihi kupinga majaribio ya Chanjo za COVID 19, abarikiwe

    Salaam, Shalom! Itakumbukwa, ndugu yetu Askofu Gwajima, alipinga majaribio ya Chanjo za Uviko 19 Kwa nguvu kubwa huku akijenga hoja imara mbalimbali kuwa, Chanjo hizi zinazoletwa Kwa Watanzania ni majaribio, Kwa kuwa hazijafanyiwa Utafiti wa kutosha,hivyo Si sahihi miili ya Watanzania kugeuzwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…