samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Kwanini Rais Samia EAC na SADC?

    Rais Samia Suluhu ameaminika na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kuwa mwenyeji wa kikao cha usuluhishi kati ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na Rwanda kwa sababu kadhaa muhimu: 1. Uhusiano wa Kijadi wa Tanzania kama Nchi Isiyoegemea...
  2. S

    Ridhiwani Kikwete anasema wastaafu wanapodai nyongeza ya kikokotoo, kukubaliwa ni hisani ya Rais Samia na sio haki yao? Chadema toeni msimamo!

    Nimeshangaa na kutatizwa sana na kauli ya Ridhiwani Kikwete akijibu swali la Dr. Christina Mnzava pale Bungeni, alipoulizwa kuhusu nyongeza za marekebisho ya kikokotoo kwa wastaafu, na hata kurekebishwa kwa kikokotoo kutoka fungu linalotolewa kwa sasa. Hebu angalia mwenyewe hapa chini...
  3. Video: Hatimaye wana CCM majasiri waanza kujitokeza na kusema Samia amevunja katiba ya chama kujiteua mgombea u - Rais. Atakiwa kujiuzuru

    https://youtu.be/Gl_enK_qbVg?si=XGMbUj8hTJxGpgyp ➡Hatimaye matunda ya kilichofanyika Dodoma tarehe 19/01/2025 kwa Bi Samia Suluhu Hassan kujiteua mgombea u - Rais huku akimwingiza kwenye mkumbo huo Dr Emmanuel Nchimbi kama mgombea mwenza wake, yaanza kujidhihirisha na kupingwa waziwazi.. ➡Mzee...
  4. Huu Mkutano wa SADC Samia alitoa maoni gani tufahamishwe watanzania

    Natamani sana kusikia ambacho alizungumza samia katika huu mkutano wa Sadc. Tusikie nasi rais wetu alitoa mchango gani au alishauri nini. Haya mambo ndo unatamani angekuwepo Nyerere au Mkapa. Hawa wangeweza kuzungumza kwa kujiamini sana bila kumung'unya mung'unya maneno na kwa strong faces...
  5. Pre GE2025 Rais Samia akiitumia Busara na Hekima ya Kimbingu akaachana na ubinadamu, atakubaliana namm kua "Umakamo/Urais wake ulichaguliwa Kwa mpito tu!!

    Ni Lini Rais Samia aliwahi hata kusema nitagombea Urais ?. Achilia mbali wanasiasa wote waliowah kua Marais, mwanzon kabisa walionyesha Nia zao, wakachukua Fomu n.k. Rais Samia, anachaguliwa kua Mgombea mwenza wa JPM si Kwa sababu hakukuapona MTU Bora zaidi la hasha, wapo wanaume na Wanawake...
  6. Rais Samia tunataka Starlink Tanzania

    Natoa rai mtandao wa Starlink uwekwe Tanzania. Watu wa vijijini tunateseka. Asante!
  7. Pre GE2025 CCM washtuka, Rais Samia asema, kwenye Uchaguzi Mkuu, CCM itajiimarisha na matumizi ya TEHAMA kuongeza mawasiliano na kuwafikia Wanachama

    "Tuapoelekea katika uchaguzi mkuu, tutaendelea kujiimarisha zaidi ndani ya Chama, tumekiwezesha chama nyezo muhimu za usafiri, tunataka kuona viongozi wa CCM wanawafikia Wananchi kuwasikiliza na kutatua changamoto zao, lakini katika hatua nyingine kichama tumejipanga na matumizi ya Tehama ili...
  8. K

    Rais Samia ikumbuke kata ya Ijuganyondo iliyopo Manispaa ya Bukoba Mjini, inakosa huduma muhimu za kijamii

    Mh Rais ikumbuke kata ya IJUGANYONDO iliyopo Manispaa ya BUKOBA MJINI maana kata hiyo Ina changamoto nyingi sana. Yaani huduma za kijamii hazipo katika kata hiyo.
  9. M

    Trump ni Magufuli mweupe, anachokisema anakitekeleza haraka, wiki 1 tu kafukuza wahamiaji haramu na Kafuta USAID. Rais Samia pata somo

    Kasi ya Trump kwenye kutekeleza maamuzi magumu ni kubwa sana, natamani Rais wetu Samia na yeye awe na hii kasi. Hata Tanzania kuna taasisi kibao zinafilisi serikali hakuna cha maana zinazofanywa zinapaswa kufutwa fasta fasta TRUMP anatoa THANK YOU haraka kuliko thank you za Simba na Yanga.
  10. Kauli ya Rais Samia yawaliza watoto wa Jenerali Kiwelu

    Wakati Rais Samia Suluhu Hassan akiitaka Mahakama kutenda haki kwa usawa na wakati, watoto wa aliyekuwa Jenerali Tumainieli Kiwelu wanaomba shauri lao la kuondolewa kwa wasimamizi wa mirathi ya baba yao lililofunguliwa May,2024 limalizike. Rais Samia akiwa kwenye maadhimisho ya wiki ya Sheria...
  11. Ninasikitika na nitaendelea kusikitika juu ya kitendo cha serikali ya Samia na ile ya Magufuli kununua ndege za biashara huku ikiacha mambo muhimu

    Kitendo cha serikali ya Magufuli kununua ndege za biashara halafu kwa kipindi kifupi biashara ikatoa majibu kuwa ni biashara kichaa lakini serikali yake ikaendelea kuagiza ndege zingine. Alipoingia Samia nilitarajia aidha angeuza ndege zote za biashara au angesitisha mpango wa kuongeza ndege...
  12. L

    Mnaonaje tubadili katiba yetu ili Rais Samia aendelee kuongoza Taifa letu baada ya kumaliza muhula wake 2030?

    Ndugu zangu Watanzania, Katiba siyo msaafu wala siyo Biblia. Katiba yetu ilitungwa na wanadamu ambao ni watanzania kwa lengo la kuwa kama muongozo wa masuala mbalimbali ya kuongoza Nchi yetu. Katiba Ni karatasi tu zilizojaa maneno ya namna gani ya jambo fulani lifanyike na hatua zipi zifanyike...
  13. machinist chini : pesa za mama samia zinazotokana na 10% ya mapato ya ndani zatafunwa halmashaur ya wilaya ya sengerema

    Chanzo cha habar toka ndani ya ofis ya mkurugenzi halmashaur ya wilaya ya sengerema zinadai kwamba pesa zilizotolewa na mh rais wa jamhuri ya muungano kwa ajili ya kuwainua vijana , akina mama na wazee zinazotokana na 10% ta mapato ya ndani zimetafunwa na ofis ya mkurugenzi wa halmashauri ya...
  14. N

    Rais Samia ni lazima Jenista Mhagama awe waziri wa Afya?, Unataka aaibishe nchi mpaka lini?

    Mapenzi haya ya Samia kwa Jenista ni sawa na uwehu, huyu waziri wa Afya wa sasa Jenista Mahagama ni kilaza kiasi kwamba hata kusoma hotuba aliyoandikiwa hawezi kusoma. Km anampenda sana kwanini asimpatie kazi itakayomfanya asionekana mbele ya hadhara? Nia ya Samia ni kuiaibisha nchi yetu? Miaka...
  15. T

    Pre GE2025 Mbunge wa Mbarali awataka UWT kutangaza habari za Rais Samia hadi msibani

    Wakuu vibweka ni vingi sana huu mwaka, Mbunge wa jimbo la Mbarali Bahati Ndingo amewataka wanawake wa UWT kusambaza habari na mambo anayoyafanya Rais Samia, wakiwa kwenye shughuli mbalimbali ikiwemo msibani Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa...
  16. Rais Samia Suluhu Hassan, anatarajia kupokea tuzo ya “The Gates Goalkeepers Award

    Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan, anatarajia kupokea tuzo ya “The Gates Goalkeepers Award” ikiwa ni kielelezo cha matokeo makubwa ambayo yamepatikana katika uongozi wake kufuatia ripoti ya utafiti wa demografia na afya ya mwaka 2022 inayoonesha kupungua kwa vifo...
  17. Napendekeza Tanzania iwe nchi ya kifalme. Tuanze na Malkia Samia

    Halafu Abdul aoe binti wa kisukuma kudumisha muungano.
  18. Mbunge wa Kenya Babu Owino amtaka Rais Samia, kueleza sababu za kuzuiliwa na kuorodheshwa kwake kama mtu aliyepigwa marufuku kuingia nchini Tanzania

    Mbunge wa Embakasi Mashariki, Babu Owino, amemwandikia barua ya kumtaka Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kutoa maelezo kamili ya kuzuiliwa kwake na sababu za kuorodheshwa kwake kama mtu aliyepigwa marufuku kuingia nchini Tanzania. Babu Owino alidai kuwa alizuiliwa kwa saa tatu katika...
  19. Tutafakari pamoja: Waziri Mkenda anaposema wasaidizi wa Rais waliweka kauzibe asimwone mkuu wa nchi, hadhi ya Waziri ipoje kwani?

    Waziri wa Elimu ndugu Mkenda katika hotuba yake ya uzinduzi wa Mtaala mpya wa elimu ametoa kali ya mwaka pale aliposema kuwa Yeye na timu ya wataalam walipata ugumu kuonana na Rais ili wampatie briefing ya yaliyomo kwenye mtaala mpya. Nimezalisha maswali kadhaa ya tafakuri hapa.... Waziri...
  20. Tanzania namba 3 kuingiza nguo za mitumba Afrika, yatumia Sh379.9 bilioni

    Tanzania imetajwa kushika nafasi ya tatu ndani ya Bara la Afrika kwa kuingiza nguo za mitumba katika mwaka 2022, ripoti ya tovuti inayojihusisha na masuala ya biashara Observatory of Economic Complexity (OEC) inaeleza. Kwa mujibu wa tovuti hiyo, Tanzania ilitumia Sh379.921 bilioni kuingiza nguo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…