sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania CHADEMA nguvu kubwa sana ya Watanzania iko nyuma yenu msijemkarudia makosa mliyofanya chini ya mwenyekiti wenu aliyepita

    Watanzania hakika tunafurahia sana kuona jinsi mnavyopambana bila kukata tamaa mungu aendelee kusimama na nyie katika kila jambo Hakika hii ndo chadema ambayo nilikuwa natamani itokee siku zote comb ya lisu na john heche nafikirii ndo combination bora ambayo mimi nimeiona tangu nianze...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa nini kutaka kuwa Rais Tanzania inaonekana dhambi kubwa sana ?

    Kuanzia Nyerere mpaka awamu hii, chama cha CCM, watawala na raia wengi huwa wanawachukulia kwa mtazamo hasi sana watu wanaoutuka urais wa Tanzania. Kwa nini inaonekana ni vibaya kuutaka urais wa Tanzania wakati wowote ule ikiwa tunasema hii ni nchi ya kidemokrasia na kila mtu ana haki ya kuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship linakwenda kupata uamsho wa kipekee sana na litakuwa ni eneo la makimbilio

    Huu siyo unabii ila ni uhalisia, ni jambo ambalo limeshafanyika katika mawanda ya kiroho. Mtumishi wa Mungu Askofu Zachary Kakobe atakuwa na nafasi ya kipekee sana katika uamsho huu. Sina shaka kwa sababu nina uhakika pasi na shaka kuwa na nilichokiona. Kazi ni kwetu tunaosubiria uhalisia...
  4. JamiiForums Tanzania Naona huu ukweli uliobayana kuwa, "BINADAMU ALIKUWA NA MKIA WA NYUMA", unapotezewa sana 😎

    Yeah, naona watu ni kama hawapendi kuzungumzia habari ya kweli kabisa kuwa , binadamu hapo zamani alikuwa na mkia wa nyuma. Sijui tunakwama wapi, unakuta mwalimu wa sayansi anapofundisha Lamarck's theory of evolution, hatumii mfano huu ulio dhahiri, badala yake anaanza kuzungumzia sijui twiga...
  5. JamiiForums Tanzania Kama hauna hela za kutosha utalaumu sana single maza

    Msione tunawasapoti kwenye mada zenu za kuacha kuwahudumia wanawake mkaona tupo pamoja na nyie . Ukitumia akili ukitafuta pesa vizuri na ukampenda mwanamke mzuri wa ndoto zako utampa huduma,,yaani pesaa. Huwa naweka mada kupima kiwango cha umaskini ila ukiwa na akili timamu hauwezi...
  6. JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu Imeweka Wazi Uwezo wa Mawakili wa Serikali Ulivyo. Ndio Sababu Kesi Zote za Mikataba Nje Tunashindwa kwa Aibu Sana

    Nimeyasikia mahojiano ya Wakili wa serikali Said Katuga kwa shahidi wa utetezi John Mnyika mpaka nimefunika uso kwa aibu. Aina ya maswali, mpangilio wake na nia yake haiendani na kesi ya msingi hata kidogo na hana weledi kiasi kuwa kama hawa ndio watetezi wa kesi zinazofunguliwa dhidi ya...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Tafadhali sana Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA) toeni agizo namba za customer service zote ziwe na option ya kuongea na mtoa huduma

    Tafadhali sana Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA), tunawaomba angalau mtupunguzie mojawapo ya kero nyingi sana katika nchi hii, kwamba unapopiga namba yeyote ya Customer Service, iwe ni kampuni za simu, mashirika ya umma, biashara, NGO nk, ili mradi iwe ni customer service, basi...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Wewe mwanamke au binti, ukiona unatongozwa sana ujue wewe ni mrahisi na wanaume wanataarifa zako , sio kwamba ni mzuri sana

    Wadau habari zenu, Kuna baadhi ya wanawake ambao hudhani kuwa wao ni wazuri sana sababu TU wanatongozwa sana? Inawezekana:- Wewe ni mrahisi sana. yaani maharage ya Mbeya Jinsi unavyojiweka , yaani mavazi yako, vitendo vyako. Mfano umeolewa LAKINI unavaa kama changu doa/malaya Wanaume wengi...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Katika kijiji cha Bonye tarafa ya Bwakila chini, Duthumi Morogoro vijijini wakulima tunasumbuliwa sana na mfugaji aitwae Lembile Sangara a.k.a DC

    Hapa kijijini kuna mfugaji yupo juu ya sheria na kijiji kinaonekana kimeshindwa kumdhibiti, sheria ya kijiji cha bonye inamtaka kila mmiliki wa ng’ombe asizidishe ng’ombe zaidi ya 10 , jambo la kushangaza huyu Lembile anaweka hadi ngombe zaidi ya 200 kwa msukuma mmoja. Na kijiji hakimchukulii...
  10. JamiiForums Tanzania Tunatumia muda mwingi kujadili maisha ya watu badala tujikite kwenye uzalishaji: makosa ya wazazi wako yasiathiri wengine.

    Tunajikita kushangaa watu wenye mafanikio kwasababu ya makosa ya wazazi wetu.... Wazazi wetu walizaliwa kipindi cha fursa wao badala wasome shule wakawa wanashinda wanawinda vindege maporini matokeo yake wakazaa watoto hawana hata mtu wa kuwa-inspire Wapo Wapo tu, Leo hii ndo hao wakiona mtu...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa nini hawa motivational speakers huwa ni waongo sana?

    Eti mtu anakudanganya kuwa aliacha kazi ili achome mahindi kweli? Kuna mwingine aliwahi kutudanganya eti aliacha kazi world bank ili akalime matikiti. Hawa jamaa huwa wanapata faida gani kudanganya watu?
  12. JamiiForums Tanzania CCM Inafikirisha sana wakati huu

    Kama CCM inaweza kuhusika kwa kupotea (ama kuuwawa) kwa aliyekuwa Katibu Mwenezi wake, na sasa kupotea (ama kuuwawa) kwa aliyekuwa Katibu Mkuu wake ambao wote walikuwa wajumbe wa Kamati Kuu na Halmashuri Kuu ya taifa. Inafikirisha sana kuhusu usalama wa wana CCM ambao hawafikii hata ngazi ya...
  13. JamiiForums Tanzania Kuna nguvu kubwa sana inatumika kumuhallaisha huyu dogo wao kwenye nafasi ya umakamu wa Rais

    Kuna jambo linafichwa ndio maana kuna nguvu kubwa sana inatumika kumpamba huyu dogo wao. Wanamjua mama yake ni Mzanzibar ila Kabudi alisema mama yake ni mchaga....🤣🤣 Hii nchi ina watu wapumbavu kwenye nafasi za muhimu sana
  14. JamiiForums Tanzania Muonekano wa msanii Maua Sama wazua gumzo, mimba iheshimiwe, Wema ana mwili mzuri hata akunenepa uso

    Ukimuona Maua Sama sasa hivi huwezi hata kuaminisha yani kabadilika sura ilivo Pana ukikutana nae njiani unampita asee. Maua na Zuchu hatari SANA, wamenenepa sana, kwenye ujauzito ilihali Wema yeye alikua kawaida tu, hizi picha ni kabla na baada ya ujauzito.
  15. JamiiForums Tanzania Hivi Nchi ikipata Hyper inflation there's no Comeback? Zimbabwe inasikitisha sana

    Taifa la Zimbabwe linashangaza sana walipofikia , uchumi wa nchiyao umeshuka mpaka sakafuni imagine Bank kuu inachapisha noti ya Trilioni na bado haitoshi kununua hata mkate dukani , Local currency yao haina thamani kabisa wanatumia USD kufanya malipo! Ila wakitokea watu matajiri wanakuwa...
  16. JamiiForums Tanzania Ukimkataa Mwanamke una hali mbaya sana

    Sikiliza, moja ya sifa ya mwanamke ni wana hisia sana kuliko wanaume. Nikisema neno hisia linamaana pana sana unapaswa kufikiri kwa kina. Intuition, beauty, mwanamke ndio chanzo cha uzuri ndani ya nyumba, hata kama ni house girl tu na sio mkeo bado yeye ndio kioo au Mng'ao wa nyumba yako kuu...
  17. JamiiForums Tanzania Chimbuko la uchawa ni mishahara midogo sana kazini

    Kazi yangu mimi ni biashara ya genge, nauza mboga. Nilichogundua hapa kijijini kwetu ukiona noti mpya nyingi zinakuja gengeni kununua bidhaa ujue watumishi wamelipwa misharaha yao. Wingi wa hela hizi nyingi na mpya unapotea ndani ya siku 7 hadi kumi tu. Nikamuuliza mwenzangu anaemiliki glossary...
  18. JamiiForums Tanzania Mnyika amejibu vizuri sana

    Kwakweli hili swali limejibiwa vizuri na Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika. Lissu: Kuna kosa mtu akisema, “Msimamo huu unaashiria uasi”? Mnyika: Sioni kosa, kwa sababu nilishawahi kuona nukuu ya Mwalimu Nyerere akiwaambia vijana: “Tunataka katika taifa hili vijana waasi dhidi ya mifumo...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa nini wanaume wenye maisha duni ya kawaida wanajali sana bikira?

    Mahali popote ukikuta wanaume wanajali mwanamke wa kuoa kama mwanamke ni bikira au single mother basi utakuta na wanaume masikini, wa kawaida(average/ beta males) au wa Bara. Ni nadra kukuta wanaume wenye maisha mazuri, matajiri, mabilionea, maarufu au wanaume wa Pwani wanajali kama mwanamke...
  20. N

    JamiiForums Tanzania OMBI LANGU: Nikikaribia kufa mwaka wowote ule, ninaomba sana mnitelee bendera ya Tanzanaia nikae nayo pembeni yangu

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. Msiniletee bendera ya CCM. Msiniletee bendera ya CHADEMA. Msiniletee bendera ya chama chochote kile cha kisiasa au ya nchi nyingine yoyote ambayo sio Tanzania.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…