sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Public reception ya Mpina imekuwa tofauti na matarajio

    Niwe mkweli, public reception ya Mpina haijawa kubwa kivile kama ilivyotegemewa. Hii ni tofauti na public reception waliyopata Maalim Seif alipoanzisha KAMAHURU na baadaye CUF, Mrema kuhamia NCCR na Lowassa kuhamia CHADEMA. Hawa walipohama walihama na wanachama wa CCM na viongozi wao na jamii...
  2. JamiiForums Tanzania Angalia kwa makini sana namna tumehusika kuanzia design mpaka ujenzi, Airbnb hizi Moshi, 2Bedroom kila unit tupigie 0624004650

    HIZI NI AIRBNB APPARTMENTS, CONTAIN 2UNITS EACH UNIT HAVE , GROUND FLOOR INA SEBULE,OPEN KITCHEN DINING NA PUBLIC TOILET JUU INA 2BEDROOMS ALL WITH SPECIOUS BATHROOM ,AND BALCONY. MPAKA HAPO MATERIAL + LABOR COST 175M
  3. JamiiForums Tanzania Foleni kali sana Ubungo - Kimara

    Aisee, hii kamba ya leo tarehe 13.08.2025 ni ndefu sio kitoto. Yaani kutoka Ubungo mpaka Kimara umbali wa kilometa 5 tunatumia masaa 2:30. Tatizo nini, ni ujenzi wa barabara au kuna ajali? @Tanroads
  4. JamiiForums Tanzania Kuzaliwa sehemu ambayo si sahihi ndiyo technic kubwa sana huitumia shetani kumfanya mtu asiishi katika wito wake

    Hili jambo wenye D tatu za rohoni ndio watanielewa. Mungu ameweka vitu 3 ndani ya mwanadamu kutoka katika ofisi zake kuu 3 . Kuna karama Kuna huduma na Kuna kipawa. Vitu hivyo 3 ndivyo vinatimiza lengo la mtu kuwa duniani. Lengo la binadamu kuwepo duniani si kula, si kuabudu bali kutimiza wito...
  5. JamiiForums Tanzania Wengi wetu humu JF tunaunga unga sana ni basi tu maandishi yanatufanya tuonekane wamoto na sio kitu kibaya maana tunakuja kupunguza stress humu

    Kuna wakati nilijua kila mwana JF anaendesha crown na harrier. Mkate wananua mlimani mall tu Pia nilijua kila demu ni slay queen na matipwa tipwa, Nilijuaga members wote humu wamesoma zile shule za "dont touch me" maana majina yao karibia wote ni ya lugha ya malkia elizabeth. Nilijihisi niko...
  6. JamiiForums Tanzania Weka neno ambalo unalichukia kulisikia hupendi kulisikia kabisa ila ndo linaongelewa sana

    Mimi hili neno linaongelewa sana kwa sasa sipendi kulisikia ni hili hapa, 'KULINDA AMANI' 'MAHAKAMA' 'CCM'.
  7. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli Mungu akurehemu na tusamehe watanzania tulikukosea sana

    Tunakumbuka uliposhika uenyekiti wa chama uliunda tume ikatembea inchi nzima kukagua mali za chama na ukataka chama kijiendeshe kwani kina vyanzo vingi vya mapato na hilo tuliliona wale wote waliopanga maeneo ya chama walilipa kwa control number ili kuepuka mambo tuliyaona jamaa pale kwenye...
  8. JamiiForums Tanzania Sisi wanaume ni waaminifu sana

    Mwanaume ni kiumbe muaminifu mnoo, na Wanawake wanatujua na kutuamini kwa uaminifu na uadilifu wetu.😇 Imagine, Mtu unaachiwa kuanzia kiuno kushuka chini, halafu mwenye navyo kalalia zake mto na kakuamini kabisaa kukuachia huko nyuma ujisevie mwenyewe, yaan tumeachiwa mashimo yote mawili...
  9. JamiiForums Tanzania Mtoto wa marehemu John Komba amshauri mtoto wa Ndugai... CCM sikieni

    Siasa za ndani ya CCM zimegawanyika kwenye makundi manne. Kundi la kwanza ni la koo zinazomiliki chama hicho. Hizo koo ambazo si nyingi, ndizo huamua muelekeo wa CCM. Kundi la pili ni kundi la pangu pakavu tia mchuzi, kundi la wanasiasa wajuzi ama kwa bahati wanaofanikiwa kufika ngazi za juu za...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Mawakili wa Lissu kuweni macho sana, kuna mashahidi wa UONGO wamepangwa, soma hukumu hii mjiridhishe

    According to the Affidavit sworn by ACP AMIN MAHAMBA, during the investigation, he received information from the intended prosecution witnesses that the Respondent's associates are planning to obstruct the proceedings of PINo. 202504102000008607 by causing bodily harm to them, to force them to...
  11. JamiiForums Tanzania Jamii ya Wakurya ndo jamii duni sana ambayo serikali inabidi kuitazama

    Wakurya ni jamii duni ambayo Serikali inabidi kuitazama na kuhakikisha inafundishwa Emotional intelligence. Hawa Jamaa kuuana ni jambo la kawaida Sana kwao.
  12. JamiiForums Tanzania Mwanaume kama haujui kupika kwenye ndoa utateseka sana

    Mwanaume kabla ya kufikiria kuhusu ndoa jifunze kutoa kitu kwanza maana huku wenzako tunatubu. Wanawake kwanini tukipishana kauli kidogo tu mnanuna na chakula hampiki mnataka tukale wapi wakati maitaji yote yapo ndani.
  13. JamiiForums Tanzania Wadada wenye changamoto ya usikivu hafifu wanajua kupenda na wapo moto sana

    Mabinti wenye changamoto ya usikivu hafifu huwa ni watamu sana. Awali ya yote naomba niweke wazi kuwa changamoto ya usikivu hafifu haimaanishi kuwa mhanga ni kiziwi asiyesikia kabisa. Sasa basi nimewajaribu wawili tu nikatoka nao kwa nyakati tofauti yaaniiii nilijilaumu kwa kutoijua hii siri...
  14. JamiiForums Tanzania Wanajua sana mpira hawa watu

    Taifa star timu inajua sana mpira hii afu mbona majina🧐🧐 mengi ni naniii .. kwani nanii hawajui mpira
  15. JamiiForums Tanzania Picha za zamani za black and white huwa zinanipa huzuni nikizitazama

    Mara nyingi huwa naishia tu kuziangalia karibia lisaa tu nikitafakari sana 😢. Zinanipa hali fulani ya huzuni sio huzuni na sijawahi elewa ni kwa nini. Hata movies za Charlie chaplin hususani ile amecheza na kijana mdogo hivi ya black and white zinanipa huzuni sana.
  16. JamiiForums Tanzania Wana Yanga mnishukuru sana mimi sio kama yule boss wa kinotibuku

    Yule boss wao kauziwa timu bilioni 20, badae akasema hatoi hiyo hela ila atanunua bonds za BOT na faida atakuwa anawapa, sahivi anasema alitumia bilioni 87 kununua boxer za kuvaa, mchicha na vitumbua kwaajili ya wachezaji. Sasa wenzenu wanadaiwa B 87 mimi siwadai wananchi hata 100 na nawaongeza...
  17. JamiiForums Tanzania Watanzania wanapenda sana kujadili mambo kwa mlengo wa dini

    Kuna mtu alituma andiko kua mafanikio ya taifa stars ni kua waislamu wamepewa nafasi. Hilo ni andiko la ajabu sana na huyu mtu ningekua na mlaka ningempa onyo kali sana kwa kuleta fitna. Kwenye sakata la wake wa Ndugai wapo wanaosema ndoa ya kwanza ya kanisa ndio inayotambulika kwakua hawa...
  18. JamiiForums Tanzania Nimepata kisonono kizembe sana naomba ushauri

    Ni wiki 3 sasa tangu nimekutana na mwanamke na hii ni baada ya kupima nae kabla na kukuta hana maambukizi, baada ya siku kadhaa nilikutana nae baada ya kumuamini na ndipo nilipo ona usaa kwenye uume wangu, nilienda hospital nikaanzishiwa Ceftriaxone na tabs Ciproflaxin pamoja na Dox. Nimetibiwa...
  19. JamiiForums Tanzania Mchungaji Kapola na Mke wake naona wana akili za kimasikini sana

    Hawa watu , they are poor. And they will die poor . Materials things like Car, house is nothing ikiwa una akili ya kimasikini.
  20. JamiiForums Tanzania GE2025 CHADEMA wapo mbele ya muda aisee hii Tone Tone ya CCM inafikirisha sana

    GT Nishawahi kusema these Chadema people have big brain mara zote wanaona ambako CCM Hawaoni. 1. NRNE: CCM wakaja na mpango wa Oktoba Tunatiki 2. Tone Tone: CCM wakaja na harambee 3. Magwanda: CCM wakaanza kushona Magwanda ya kijani. 4. Kunyanyua Ngumi Juu: CCM wakajaribu kuiga ishara ya ngumi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…