shule

  1. N

    JamiiForums Tanzania Wadogo zangu mliozaliwa 2000s na kuhitimu kidato cha 4 shule za kata, kuna askari Police anaitwa OC-CID (Mkuu wa Upelelezi). Mnawajua??

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. Wadogo zangu wa shule za kata, ninaangalia sana videos zenu zinazo trend kula Facebook na Instagram mkifurahia kuwa huru na kurudi mitaani kufanya mambo yenu freely (Delinquent Juveniles) Tii sheria za nchi (Tanzania) bila shurti. Mkuu wa upelelezi (OC-CID) wale ni...
  2. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mfumo wa SIS unatumiwa na Wakuu wa Shule kujaza wanafunzi hewa ili wapate hela

    Mfumo wa SIS (School Information System) unatumika na Wakuu wa shule kujaza wanafunzi hewa (walioacha shule/kufukuzwa/wasioripoti) wote wanawekwa na hawaondolewi kwenye mfumo ili wapate hela nyingi kupitia mfumo wa FARRS. Wengine wanaenda mbali zaidi, wanawachangisha wazazi michango ya walimu...
  3. JamiiForums Tanzania Tunaelekea Wapi: Wasichana wanamaliza shule na mindset za "Ficheni Mabwana Zenu", Wavulana wao wako na "Muhindi Jiandae"

    Kama taifa inabidi tubadili aina ya malezi ASAP. Hatuwezi kuwa na taifa la wanawake wadangaji na wanaume wacheza kamari.
  4. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Walimu wa Shule ya Sekondari Kazole wanaelezwa kutaka TZS 1,000 ili kusaini clearance form za Wanafunzi

    Kwa: Mamlaka Husika (TAKUKURU, TAMISEMI na Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga) Ninaomba mamlaka husika ifuatilie na kuchunguza malalamiko kuhusu Shule ya Sekondari Kazole, iliyopo mkoani Pwani, Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga. Kwa mujibu wa malalamiko haya...
  5. JamiiForums Tanzania Ulikuwa unabebaje begi lako kipindi uko shule?

  6. JamiiForums Tanzania Kusoma shule za umma Tanzania ni mateso ?

    Wanafunzi wanaoshangilia kumaliza shule kama wendawazimu wehu mpaka wanatukana hovyo inawezekana pia ni dalili ya kwamba kusoma shule za umma ni mateso na wengi wanaosoma huko hawafurahi wala hawapendi ila wanalazimishwa tu.
  7. JamiiForums Tanzania Ile shule waliojirekodi kumbe mdogo wangu kamaliza hapo, nimempigia kumuhoji kanipa ushuhuda huu

    Moja kwa moja.. Niimeona video inayoTrend ya Wanafunzi wa Kike wakifanya vitendo vya hovyo, kutukana na kusema "ficheni mabwana zenu " walivyokuwa wajinga zaidi walionyesha nembo yao ya shule na namba zao za mitihani hapo ndipo watu wakatafuta jina la shule jibu likaja ni "Aboud Kumbe...
  8. JamiiForums Tanzania R.I.P Mwalimu wangu Azaboy, current ukiwa mkuu wa shule Mnazi Mmoja, Joram Nkya

    Pumzika kwa Amani Joram Nkya, ulianzia kazi Azaboy ukawa mwalimu wangu mwema,baadae nikapata taarifa uliamia mnazi mmoja na mpaka umauti unakukuta ulikuwa mwalimu Mkuu. Sidhani kama hapa ukitumia jina lako halali ila najua ulikuwa member kabisa kindaki ndaki. Wasalimie Wanaccm...
  9. JamiiForums Tanzania Millennials ndio Kizazi kilichofeli zaidi katika malezi ya watoto

    Moja kwa moja ; Tunapozungumzia Millennials tunamaanisha wale waliozaliwa kuanzia 1981 mpaka 1996 , kumekuwa na trending ya kulaumu watoto katika mmomonyoko wa maadili na kusahau chanzo kikuu ambacho ni wazazi wao . Millennials wengi ndio wamezaa watoto waliozaliwa kuanzia 2010 walioanza...
  10. JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Dorothy Gwajima,Umri wa wale watoto ushafika hata wakikataa shule utawafanya nini.

    Kuna mda mwengine hata katiba na sheria za hapa tanzania zinapitiwa juu kwa juu. Nimeona ile video wakijitamba wale watoto wengine mambo ya kubeti,wengine kuingia rasmi na mambo kudanga. Ukiangalia kisheria wale washafikisha umri wa 18. Na umri ule anauwezo wa kuoa,kuolewa,kufanya kazi na...
  11. JamiiForums Tanzania Aisee mpate pesa mpelekeni watoto wenu zile shule zinazosimamiwa na masista huko mikoani ila kuepuka vituko kama hivi kwenye hii video

    Umasikini ni kitu cha kishetani sana aiseee.
  12. L

    JamiiForums Tanzania Soma Hapa Uelewe na Kupata Ufahamu Juu ya Maana ya El Nino. Na Kwanini Serikali imechukua Tahadhari ikiwepo kufunga Shule Mapema .

    Ndugu zangu Watanzania, El Niño maana yake ni nini? El Niño ni hali ya mabadiliko ya hali ya hewa inayotokea pale maji ya bahari ya Pasifiki katika ukanda wa ikweta yanapokuwa na joto zaidi kuliko kawaida. Hali hii hubadilisha mifumo ya mvua na joto katika maeneo mbalimbali duniani, ikiwemo...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Choo chenu cha shule kilikuwa na sifa gani iliyowatisha?

    Choo cha shule yetu kilikuwa na sifa ya majini, ukianza shule tu unaambiwa na wanafunzi wenzio uliowakuta kule chooni kuna majini, hutakiwi kwenda mchana wa jua kali peke yako, ukienda yanakunyonya damu. Hali hiyo ilitufanya tuishi kwa hofu, ikitokea umebanwa haja mchana unalazimika kumaliza...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Nataka Kufahamu Shule Bora kw watoto Mkoa w Dodoma

    Tunaamini kabisa hapa Jamii forum watu Wana taarifa za kutosha na sahihi zaidi, Sasa Kwa watoto kabla ya Primary chini ya miaka 6, je Kwa Mkoa wa Dodoma ipi ni Shule nzuri zaidi , tatu za juu, mana Naona Shule ni nyingi Sana sasa nashindwa kukupa ipi ni Bora. Kuna waday wametaja Dt.max, Almes...
  15. JamiiForums Tanzania Shule ya msingi iliyo karibu na Halmashauri ya Kahama na Mahakama siku watoto wakifa mnataka mueleze vipi.

    Nimepata kupita kikazi hapa Kahama.Ila sipendi kupita kama raisi au viongozi wanavyo tufanyia sisi wananchi wa chini. Kuna shule hapa Kahama ipo harmashauri ya Kahama, Mahakama na nyuma ya kanisa Katoliki. Kiukweli hapa nyuma kuna wachimba mawe na kupasua kokoto na kuna mashimo na makorongo...
  16. JamiiForums Tanzania Masomo tuliyoyadharau shule ndiyo dili duniani huko, Civics na General Studies, tujiendeleze wakuu

    Maswali alioa kua anaulizwa jihan ndio Yale tulio ya DHARAU mwanzo, issues za civics mfano life skills, hizo mambo tulikua hatugusi tunapiga chini heee kumbe DILI. Walio soma science subjects, Kuna namna hawana uwezo wa kujieleza duniani huko arts subjects tuliwachukulia poa ila wako vizuri...
  17. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Malalamiko kuhusu nyumba za walimu zinazodaiwa kuuzwa katika Shule ya Mahenge, Ulanga

    Wakati wa mbio za Mwenge wa Uhuru mkoani Morogoro, nilibahatika kufika katika Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga, ambako nilikutana na jambo lililonishangaza sana. Kuna shule iliyopo mjini Mahenge ambayo ndani ya eneo lake kuna wananchi wanaoishi katika baadhi ya majengo yanayodaiwa kuwa...
  18. JamiiForums Tanzania Nimesikia list ya makampuni na line of businessses ambayo tony kapola amesema ana miliki then nikajisemea kimoyo moyo: "kweli mjini shule"

    Mjini kila mtu ni mteja, kila shida ya mtu ni fursa kwa mwingine, kila pesa yako lazima itumike na hayo maisha yako ndio mtaji kwa wegine.
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wanafunzi wa Shule ya Sekondari MUNGUMAJI - Singida wanasoma kwa shida, hawafundishwi vizuri, chakula shida

    Naishi Mkoa wa Singida, naomba kuwasilisha changamoto zinazowakabili wanafunzi wa Kidato cha Tano na Sita katika MUNGUMAJI SECONDARY SCHOOL, Singida Mjini. Mdogo wangu alifaulu kujiunga na shule hiyo, lakini mpaka sasa amekataa kabisa kuendelea na masomo pale na amekuwa akitaka ahamishwe...
  20. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Kondoa apinga upotoshaji kuhusu miundombinu shule ya msingi Hurumbi

    Mkurugenzi Kondoa apinga upotoshaji kuhusu miundombinu shule ya msingi Hurumbi Na MWANDISHI WETU, KONDOA MKURUGENZI wa Halmashauri ya Mji wa Kondoa, Said Majaliwa, amepinga taarifa iliyosambazwa kwenye mtandao wa kijamii wa chombo cha habari cha Mwanahabari, ikidai kuwa Shule ya Msingi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…