Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa Anaendelea kukonga na kukosha mioyo ya watu mbalimbali na mataifa mbalimbali, kutokana na uchapakazi wake pamoja na mapinduzi na mabadiliko mbalimbali ambayo amayaleta katika Secta na maeneo mbalimbali,ambapo yameleta nuru na mwanga katika Taifa letu...