Nipo na mchumba, mwezi wa 4 sasa. Anadai yeye hapendi hard sex, akifika kileleni, analegea na kuishiwa nguvu. Hataki umguse kabisa mpaka kesho yake. Hata kama mimi sijafika, nalazimika kuvumilia na kushinda au kulala hivyo. Romance na pesa vyote nampa vizuri. Tatizo lake kuchoka na kukinai...