simu

  1. Wizi mwingine wa mitandao ni makampuni ya simu kukata bando lako kwa kuhesabu SMS zilizoingia

    Kuna hili jambo limekuwa linanitatiza kwa muda mrefu. Mimi siyo mtumaji sana wa SMS, unakuta napata SMS 100 au zaidi katika bando la mwezi. Unashangaa mwezi haujafika wananiambia SMS zangu zimeisha wakaki najua kabisa sijatuma idadi hiyo ya SMS ndani ya muda huo. Njia pekee ya kufikisha...
  2. Safari yangu ya kujifundisha kingereza kupitia simu

    Kwa hatua hii je? Niendelee kujifunza au nitakuwa napoteza tu muda wangu? Nia ninayo. Asante sana kwa mdau mmoja aliyenipa hii njia naamini nitatonoa kwa kiasi chake.
  3. Simu inatuma huu ujumbe kila wakati Kwa namba nisizozifaham

    Kuanzia Jana simu yangu kupitia mtandao wa Yas imekuwa ikituma hii sms Kwa namba nyingi nisizozifahamu. Kila baada ya dakika kadhaa nakuta imetuma tu Kwa namba nisioifahamu. Hii itakuwa nini?
  4. Msaada: Naweza kupata wapi documents kama barua nilizofuta mwezi uliopita kwenye simu

    Wataalamu naombeni msaada Kumbe nilifuta barua ya muhimu sana. Sina utaalamu sana kwenye simu. Vitu ninavyodelete sijui hata vinaenda wapi? Barua inahitajika sasa halafu haipo kwenye simu. Nilitumiwa WhatsApp 😭😭😭😭
  5. Hivi tozo kwenye miamala ya simu bado mpaka leo?

    Kuna kipindi walitangaza kwamba tozo kwenye miamala ya simu zimeondolewa. Pia nakumbuka mchanganuo wa matumizi ya hizo tozo ulitolewa ikiwemo ujenzi wa vituo vya afya, barabara nk. https://www.mawasiliano.go.tz/news/rais-samia-aridhia-kuondolewa-tozo-za-miamala-ya-simu...
  6. S

    Simu za mikopo usipolipa inakuwaje?

    Habari zenu wana jamiiforums, nilinunua simu ya mkopo kama mwezi mmoja umepita kwa sababu sikuwa na pesa za kutosha kuniwezesha kununua simu mpya. Ila sasa nimejipata, nataka niache kuilipia hiyo simu maana deni ni kubwa. Hivi nikiacha kuilipia kuna shida yoyote nitapata, ukiachana na simu...
  7. Je,Una Mapengo kinywani na hujui wapi utapata Suluhisho la kudumu !?

    Iwapo umepoteza meno yako halisi , Unashariwa kuziba mepengo kwa meno bandia ya Kisasa Mapengo . husababisha Meno mengine Kutoka .Meno Kuoza .Meno Kuhama Kwenye Nafasi zake Meno Bandia Ya Kisasa Ya Kudumu Yapo Ya Chuma ( Ceramics) , zirconium haya yatakusaidia -Kutafuna Chakula Vizuri...
  8. SnapTube ni software nzuri Kwa watumiaji wa simu na waoenzi wakupakua videos za YouTube na mitandao mwingine ya kijamii.

    Habari, maelekezo hapo juu yanajieleza vyema. Wawezaipata app store.
  9. R

    Ongeza salio kwenye simu kwa kutumia kamera ya simu yako

    Kuna app inaitwa 'Voucher Master' inapatikana Google Play store. App hii inakuwezesha kuongeza salio kwenye simu yako kwa kuskani namba za vocha kwa kutumia kamera ya simu yako kisha kuongeza salio. Inauwezo wa kusoma vocha zaidi ya 5 kwa wakati mmoja. Pia inafanya kazi kwenye mitandao yote ya...
  10. P

    Simu yangu inafuta majina baadhi

    Habari zenu, nina simu yangu samsung A13 nimeanza michezo wa kufuta majina niliyoyapost jana na miezi 6 iliyopita. Naombeni msaada wenu tafadhali I kwa anayejua msaada please Asanteni
  11. Kwa laki 3.5 Ninunue simu gani?

    Wakuu nina 350k. Naomba ushauri wenu ninunue simu gani kwa hela hii. Simu inayokaa na chaji na ina designe nzuri pia isiwe single line.
  12. R

    Kurudisha mafaili uliyofuta kwenye simu

    Umefuta faili kimakosa kwenye simu yako?. Unaweza kulipata faili ulilofuta kwa kutumia app ya 'Undelete'. Ipakue google playstore kwa kutafuta 'Undelete'
  13. Simu za Google pixel 4a zimepata ugonjwa wa kufa battery πŸ”‹

    Google pixel 4a kila mwenye nayo kipindi hiki zinaua betri. Huu ugonjwa ni kama umezilipukia simu za Google pixel 4a Kuuza ni ngumu Na wauzaji wa simu ukiwapelekea kufanya top up wanagoma, wanasema google pixel 4a ikishakufa betri habari imekwisha Ukibadilisha ugonjwa wa kuuwa betri ukitumia...
  14. Je Biashara ya Simu used inalipa?

    Naomba Kupata Experience Ninatakiwa Kuwa na Shilingi Ngapi Kuuanzisha Biashara ya Simu Used From another Country? Faida Yake Ipoje? Na Changamoto Zake? Ahsante Sana!
  15. Samsung wamezindua simu tatu za Galaxy S25 series!

    Wapenzi na wadau wa Samsung. Jana usiku Wakorea walitoa vitu vyao vutatu vya mwaka 2025, Samsung Galaxy S25, S25+ na S25 Ultra. Ya kuongea ni machache kwasababu ni upgrade ndogo kutoka S24 series. Samsung pia walituonesha Galaxy S25 Slim aka S25 Edge ambayo itazinduliwa hivi karibuni...
  16. DSTV Tumechoka Simu za Marketing

    Mimi ni miongoni wa wakereketwa kutokana na hizi simu za marketing za DSTV. Wamekuja na njia mpya ya kupigia watu simu kwa namba tofauti tofauti binafsi. Kama mtu hajalipia kifurishi kwa muda mrefu lazima ana sababu binafsi na kama ana shida pia atawatafuta kwa namba zenu za mawasiliano ya...
  17. Msaada wajuzi wa simu na telegram

    Kuna kitu nataka kuangalia hapa sasa inaonyesha ivi kama unajua nielekeze hapa au kama hapa uwezo pm iko wazi msaada
  18. Kwa sasa, kuokota simu si bahati tena bali ni balaa

    Kuna tukio limetokea Kibaha, Kwa Mfipa, familia imevamiwa, wameibiwa vitu ndani ikiwemo na gari, wamechukua na simu za uwakala wamelazimisha wapewe na PIN, wamepewa. Kama haitoshi wamewafunga kamba mke na mume, wakawaweka kwenye mashimo ya choo tofauti, mtoto wa miezi saba hajulikani yuko...
  19. R

    Inakuwaje unanunua vocha ya simu (scratch card) unaingiza namba kwa usahihi kabisa unaambiwa namba ya vocha uliyoingiza haipo?

    Hili limeshanitokea mara kadhaa matokeo yake naishia kutupa vocha na kuweka nyingine. Siku hizi huwa sinunui sana vocha za kukwangua nanunua tu bando kwa mtandao. Leo nimekuta vocha ambazo nilikuwa nimenunua kitambo na huwa mara nyingi inakuwa kwa ajili ya msichana wa kazi. Nikataka kuingiza...
  20. Msaada wa ku update simu

    Ndugu ,naomba mtu yeyote mwenye uelewa wa jinsi ya ku update simu ya android ,simu yangu ni Samsung s 21 ultra inatumia android version ya 13 sasa nataka niipeleke kwenye 14,maarifa yenu yanahitajika
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…