sio

Silicon monoxide is the chemical compound with the formula SiO where silicon is present in the oxidation state +2. In the vapour phase, it is a diatomic molecule.
It has been detected in stellar objects and has been described as the most common oxide of silicon in the universe.

View More On Wikipedia.org
  1. Q

    JamiiForums Tanzania Maria Sarungi: Wana option 4 mezani kwao ila sio ya kunyonga.

    Baada ya kesi kukamilika kimama kimeshauriwa amwachie Lissu maana imeshakuwa aibu HATAKI! Wamepanga lazima wamkute na hatia. Option 1 - Wamhukumu uhaini mdogo (whtever this means) jela miezi 6 na faini kama Katuga alivyosema - hii imeshaanza kueleweka na kupingwa vikali. Option 2 - Ahukumiwe...
  2. JamiiForums Tanzania (Kumbukizi) "Nilitaka kuwa Rais wa kitaalam sio wa Chama,Matokeo yake Mafisadi yakakichukua chama" Hayati Benjamin Mkapa

    Katika ukurasa 203,"My Life,My Purpose"(2019) anasema: "Mwl Nyerere aliniambia 1995 -'Usifanye haraka kumuua chama. Chama ndio nyumba'. Mimi nilitaka kuwa Rais wa kitaalam, sio wa chama. Nikaacha CCM iende yenyewe. Matokeo yake mafisadi wakajenga ngome ndani ya chama" Hayati Benjamini Mkapa.
  3. JamiiForums Tanzania TRC: Mnatafutwa Jf kujibu tuhuma au hii Kero za SGR kubadili ratiba ni faida ya wamiliki wa Mabasi au serikali! Kukaa kimya sio mnamuaibisha Rais

    Sikilizeni ukweli wa hali halisi!
  4. S

    JamiiForums Tanzania Ofisi imenikatalia kwenda Mbeya kwa ndege kwa sababu ya ukubwa wa nauli - ATC sio lile shirika la Watanzania masikini alilolikusudia Magufuli!

  5. M

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya asilimia 90 ya Wanandoa sio wenza wa ndoto zao.

    Nikiwa shule ya msingi, miaka 30 aliyopita.Nikiwa darasa la nne au la tano hivi, nilitokea kuvutiwa sana na Dada mmoja, namuita Dada kwa sababu alikuwa mkubwa kwangu, alikuwa darasa la sita au saba wakati huo sikumbuki vizuri.Alikuwa anaitwa Caroline. Alikuwa mweupe, nywele laini macho makubwa...
  6. JamiiForums Tanzania Sijui kwanini ila mara nyingi mtoto wa tatu na wanne mara nyingi sio damu yako.

    Nachojiuliza ni namna gani wanawake wame master sanaa ya kuzaa na bwana akalea kama watoto wa kiuno chake.
  7. JamiiForums Tanzania Nimejaribu kufanya YouTube kama Side Hustle nipunguze kulalamika kwenye Uzi wa Mshahara wa January: Sio rahisi aisee!

    Wakuu, niaje? Mwaka Jana mwezi September, nilikua na road trip ya Dar - Kigoma - Dar, nilidrive na nilikua na vituo kila mkoa/mji njiani. Nikaleta mrejesho hapa: Mrejesho wa Safari yangu ya Dar Kigoma na kurudi Dar. Nimetumia Mafuta ya Tsh 230,000/= tu! Wengi wanaulizia maswali mbalimbali na...
  8. JamiiForums Tanzania Tunataka Waziri wa Wanaume. Hizi za kusema Waziri wa jinsia sio kweli. Aliyepo ni waziri wa wanawake na watoto.

    TUNATAKA WAZIRI WA WANAUME. HIZI ZA KUSEMA WAZIRI WA JINSIA SIO KWELI. ALIYEPO WAZIRI WA WANAWAKE NA WATOTO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Wizard ya Maendeleo ya jamii, jinsia na watoto. Inafanya kazi kwa kiwango fulani. Labda tuite kiwango fulani kizuri katika mambo kadhaa. Ila mimi...
  9. JamiiForums Tanzania Mwaka 1998 nilikosa kazi ya upolisi kwa kukimbia sana, nikaambiwa nina mbio za mwizi na wala sio za askari

    Mwaka 1998 nilienda kwenye majaribio ya kuwa askari police, tukakimbia nikashinda nikawa wa kwanza wenzangu nikawaacha mbali sana, wakufunzi wakaniambia hizo mbio ni za MWIZI sio za ASKARI.... Malume
  10. JamiiForums Tanzania Club ya Rio-De-Janeiro iliyopo bukoba mjini sio salama tena kuelekea mvua za Elnino

    Kwa muda mrefu kumekua na malalamiko dhidi ya club ya Rio De janeiro iliyopo BuKoba Mjini mali ya Mwenyekiti wa CCM Jimbo la Bukoba Mjini JOAS MUGANYIZI ZACHWA @ PEDESHEE kwamba imejengwa karibu kabisa na Mto Kanoni kinyume na sheria za NEMC. Mara zote walioleta hoja hii wameonekana wabaya kwa...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Inakuwaje gharama ya kutengeneza 'kidude' cha kuwekea umeme wa LUKU ni bei kubwa hivi?

    Kidude chetu cha kuwekea umeme (LUKU) kimeharibika, hivyo tukaenda TANESCO kuomba msaada. Tukaambiwa kwamba tumekiharibu na kwamba gharama ya kukitengeneza ni Sh 150,000. Sasa nashangaa, hivi gharama ya kutengeneza hicho kifaa ni kubwa kiasi hicho? Ninaamini tulitakiwa kusaidiwa kwa gharama...
  12. JamiiForums Tanzania Nawaomboa UHAI wote walihusika na kuua, kuteka na kupoteza miili ya ndugu zetu MO29 na kipindi hiki chote, Kifo kwangu sio Adhabu.

    Baada ya kufanya kazi kwa miaka zaidi ya 3 kwenye hospital, na kuwa karibu na wagonjwa wa kila namna, niliona kuwa kifo sio adhabu kwa mtu anayevunja sheria. Nataka kuona wakiwa mahakamani, wakitoa maelezo nani aliwapa oda, walilipwa shilingi ngapi( au walipewa tu hela za mafuta), wote...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Wakili wa serikali Katuga hajasema kweli; kisheria maneno "shall be liable" maana yake ni lazima, kama sio lazima lugha sahihi ni "will" au "should"

    Nimemsikiliza wakili wa serikali Katuga akitoa ufafanuzi katika kesi ya uhaini inayomkabili Lissu kwamba sentence guideline ya 2023 inasema shall be liable maana yake ni mtuhumiwa anaweza kunyongwa au asinyongwe. Katuga hajasema kweli, na kama hajui maana ya kisheria ya maneno "shall", "will"...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Lissu aliona mbali: Leo Katuga anaiamba mahakama kuwa adhabu sio lazima kunyongwa, bali mahakama inaweza kutoa adhabu nyingine

    Aliyoyasema Lissu jana kuwa adhabu ya kosa analotuhumiwa nalo ni kunyongwa na kwamba mahakama isiambiwe kitu cha tofauti na hukumu ya kunyongwa au yeye(Lissu) kuachiwa huru Sasa hii hapa chini ni sehemu ya final submission ya Katuga leo mahakamani: Waheshimiwa Majaji kwa kuelezea kwa kirefu...
  15. JamiiForums Tanzania Range Rover wanaleta model yao ya Tano, hafu sio SUV: Karibu Range Rover GT Fastback!

    Land Rover wanaleta gari mpya kwenye familia yao ya Range Rover, anaitwa Range Rover GT (Range Rover GT). Guess what? Ni full EV, wakati Hybrid itakuja baadae. Hii ndio Range Rover ya kwanza kua non-SUV. Matajiri tuandae zaidi ya $100,000/= base model na itafika hadi $200,000/=
  16. A

    JamiiForums Tanzania Malalamiko kuhusu utoaji huduma katika Zahanati ya Mkolowony Moshi DC

    Tunaomba kuwasilisha malalamiko kuhusu hali ya utoaji wa huduma za afya katika Zahanati ya Mkolowony iliyopo Moshi DC. Zahanati hiyo imeruhusu mtu ambaye si mtaalamu wa afya kutoa huduma kwa wagonjwa. Kinachotia wasiwasi zaidi ni taarifa kwamba mtu huyo anahusika hata katika kutoa sindano kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Dhana Potofu ya Umri (makazini na jamii kwa ujumla)

    Katika jamii za wamatumbi tuishiyo, kuna hii dhana kuwa mtu akiwa mdogo kiumri basi hata executive function yake na akili zake haiwezi kufanya makubwa. Ila hii ni dhana mbaya sana, ambayo wamatumbi wengi wamekuwa nayo, hasa makazini. Ukienda kufanya kazi na ukawa mtu wa kutoa output ya kazi...
  18. JamiiForums Tanzania Vyombo vya Ulinzi na Usalama havina uwezo kukanusha kama sio mali ya CCM

    Katika kile kinacho onekana na kinaendelea kuonekana dhahiri kua Majeshi yote ni Mali ya CCM na ndio yaliua watu siku ya maandamano ya October, CCM imesema kua Majeshi hayo ni Mali yao kwa kauli hii HAKUNA jeshi lenye NGUVU ya KUKANUSHA HILI
  19. JamiiForums Tanzania Jonathan Mabihya, Ateuliwa tena kuwa Katibu wa CCM Mkoa wa Singida , ila sio maadilifu kabisa

    https://www.jamiiforums.com/threads/inadaiwa-katibu-ccm-kilimanjaro-akwapua-mamilioni-ya-fedha-za-kina-mama-moshi.2065675/
  20. JamiiForums Tanzania Sehemu sahihi na sio sahihi kwa wanadamu waliopo duniani ?.Je ni makusudi ya mungu.

    Ili jambo nimetafakari sana kuhusu wanadamu wanapojikuta sehemu sahihi au sio sahihi kwa kuzaliwa,kuhama,kubadilisha mazingira,jambo,kazi na n.k. Kuna mambo unaweza kulazimisha sehemu sio sahihi na wakati wewe ni sahihi mfano kama teknolojia zingekuwa zinatokea afrika basi hata haya tunayo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…