siri

Siri (pronounced , si-RIE) is a virtual assistant that is part of Apple Inc.'s iOS, iPadOS, watchOS, macOS, and tvOS operating systems The assistant uses voice queries and a natural-language user interface to answer questions, make recommendations, and perform actions by delegating requests to a set of Internet services. The software adapts to users' individual language usages, searches, and preferences, with continuing use. Returned results are individualized.
Siri is a spin-off from a project originally developed by the SRI International Artificial Intelligence Center. Its speech recognition engine was provided by Nuance Communications, and Siri uses advanced machine learning technologies to function. Its original American, British, and Australian voice actors recorded their respective voices around 2005, unaware of the recordings' eventual usage in Siri. The voice assistant was released as an app for iOS in February 2010, and it was acquired by Apple two months later. Siri was then integrated into iPhone 4S at its release in October 2011. At that time, the separate app was also removed from the iOS App Store. Siri has since become an integral part of Apple's products, having been adapted into other hardware devices over the years, including newer iPhone models, as well as iPad, iPod Touch, Mac, AirPods, Apple TV, and HomePod.
Siri supports a wide range of user commands, including performing phone actions, checking basic information, scheduling events and reminders, handling device settings, searching the Internet, navigating areas, finding information on entertainment, and is able to engage with iOS-integrated apps. With the release of iOS 10 in 2016, Apple opened up limited third-party access to Siri, including third-party messaging apps, as well as payments, ride-sharing, and Internet calling apps. With the release of iOS 11, Apple updated Siri's voices for more clear, human voices, started supporting follow-up questions and language translation, and additional third-party actions.
Siri's original release on iPhone 4S in 2011 received mixed reviews. It received praise for its voice recognition and contextual knowledge of user information, including calendar appointments, but was criticized for requiring stiff user commands and having a lack of flexibility. It was also criticized for lacking information on certain nearby places, and for its inability to understand certain English accents. In 2016 and 2017, a number of media reports have indicated that Siri is lacking in innovation, particularly against new competing voice assistants from other technology companies. The reports concerned Siri's limited set of features, "bad" voice recognition, and undeveloped service integrations as causing trouble for Apple in the field of artificial intelligence and cloud-based services; the basis for the complaints reportedly due to stifled development, as caused by Apple's prioritization of user privacy and executive power struggles within the company.

View More On Wikipedia.org
  1. Je, unadhani ni sahihi viongozi kutenguliwa baada ya kusema 'siri' za serikali? Au wangepewa fursa ya kutengua kauli?

    Mjadala uendelee. Mada hiyo hapo mezani. Nitakuwa wa mwisho kutoa maoni yangu. Karibuni wana jukwaa. Rejea utenguzi wa mhe. Nape, Ndugai, Dc wa longido nk. Pia soma:Kuelekea 2025 - DC wa Longido aliyesema alihusika kutengeneza mazingira ya Madiwani kushinda 2020 atenguliwa
  2. Serikali nyingi zinataka kujua siri zako, wakati mwingine privacy na mitandao ni ngumu

    Hakuna usiri wala faragha katika mitandao ya kijamii au jukwaa la mtandao kwa ujumla. Wakishindwa kupata mawasiliano yako katika mtandao fulani wanaupiga vita. Mliona CEO wa Telegram amekamatwa kwa kutaa kutoa access kwa serikali kuwa wanaona chat za wateja wao. Hii inanifanya niwaze...
  3. S

    Sababu ya kumkinai mkeo

    Unakuta mkeo ni mrembo na ni mtu mwema sana kwako hadi raia mtaani wanatamani wakupore lakini cha ajabu wewe mwenye Mke mwenyewe umeshamkinai mtoto wa watu kitambo. (Hapa ndipo shetani anapojichukuliaga point 3 muhimu katika mkakati wake wa kuzivamia na kuzivuruga ndoa nyingi). Sasa basi,kwa...
  4. Kijijini hakuna siri na taarifa husambaa haraka sana

    Wakuu nimeamua kuileta hii habari kama thread sio story ya kutunga ni kweli ilinitokea kipindi cha nyuma kidogo miaka ya 2008. Ilishawahi kunitokea hiyo Kijijini aisee. Nimetoka zangu Dar nikaenda Kijijini basi bhana kulikuwa kuna Pisi kali ya maana na kuna jamaa alikuwa anaigharamia Mimi...
  5. H

    Simu ya Hot 6 na Siri ya Maumivu

    Katikati ya mwaka 2015, Juma alikuwa amehamia Singida kwa ajili ya kazi yake. Alimuacha mkewe Iringa alipokua akifanya kazi katika kampuni ya ujenzi ya wazungu. Baada ya mwaka Moja kupitia juma aliamua kumchukua mkewe na kuishi nae mjini Singida. Baada ya miezi kadhaa, mkewe alipewa zawadi ya...
  6. Siri wa kokwa la embe hajapaisha penati kafungia alikoishia mtunzi wa gheto langu

    Wahamiaji kutoka kwenye nchi yenye vidaradara vyetu vingi vya hewan ukanda wetu walikamatwa hapo nchi ya Comoros wakiwa wamepanda Punda, Tena punda ina harufu kama imekula mchuzi wa mfalme, Mziki ukaanza sasa Nani mmiliki wa Punda? Za ndaaaaaaani baada ya kusikia Punda Ana harufu ya mchuzi wa...
  7. Tetesi: Hana mda mtoto pendwa anamtuhumu kuuza siri za bi mkubwa

    Mnaendeleaje huko? Mtoto pendwa anamtuhumu mwamba kuuza siri za bi mkubwa kwa wana waliotimuliwa majuzi. Mtoto pendwa ameenda mbali zaidi kwa kudai mwana anajipatia mamilioni ya frw kwa kuwaunganisha kina watakaye ili kumuona mama Wau. NB: Picha hapo juu ni ya mmoja wa wasaidizi wa Rais.
  8. Zifahamu nguvu ya sheria za siri za ulimwengu

    THE HIDDEN POWER OF THE UNIVERSAL LAW NGUVU YA SHERIA ZA SIRI ZA ULIMWENGU 👉Hili ndilo Neno la Mungu, sheria 12 za ulimwengu ni sheria zilizowekwa au kusetiwa na Ile Nguvu kuu tuliyokubaliana kuwa ndio Chanzo Cha kilakitu tukaiita MUNGU Katika dini/ENEGY kisayansi,ROHO katika Asili ama...
  9. Naanza kuhisi serikali inachukua Kodi kwa siri makanisani

    Injili ya sasa ni tofauti kabisa na zamani makuhani walitufundisha neno la Mungu lenye kutujenga kiroho zaidi na kutukumbusha tuache dhambi tuishi maisha ya kumpendeza Mungu Injili hii kwa sasa imekuwa ni nadra sana kuipata Kuna kitu sikielewi kwa sasa hii ni jumapili 6 tangu nimerudi tena...
  10. Mwanajeshi wa Marekani akutwa na hati ya kuuza siri kwa China

    Mchambuzi wa Jeshi la Marekani, Korbein Schultz amekiri mashtaka ya kula njama ya kuuza siri za kijeshi kwa China, ikielezwa alilipwa Dola 42,000 (Tsh. Milioni 113.3) ambapo hukumu yake inatarajiwa kutolewa Januari 2025. Schultz ambaye alikuwa na kibali cha usalama ili kupata taarifa za siri za...
  11. Wabongo mnaivaa hii jezi kwa wingi, nini siri yake?

    Huwezi ukaenda Kariakoo usikutane na mbongo kavaa jezi hii. Ina siri gani ya kukubalika sana?
  12. Kama huwezi kutunza siri usisome hii

    Hadithi ya kuvutia sana Soma mpaka mwisho...utajifunza kutunza siri. Siku moja Mwanaume mmoja mtanashati sana aliingia hotelini na akaomba kumuona bosi. Bosi alipokuja, hadithi ikaanza. Mteja: Je, chumba namba 39 kiko wazi? Bosi: Ndiyo, bwana. Mteja:Naweza kukiomba? Bosi: Bila shaka unaweza...
  13. Siri ya Tarehe 8 Agosti: Je, Unajua Maadhimisho Muhimu ya Siku Hii?

    Tarehe 8 Agosti ni siku muhimu inayoadhimishwa kwa matukio tofauti duniani kote. Ingawa kila tukio lina umuhimu wake wa kipekee, yote yanashiriki lengo moja la kuhamasisha na kutoa uelewa juu ya masuala muhimu katika jamii zetu. Hebu tuangalie kwa undani zaidi matukio haya na umuhimu wake. 1...
  14. M

    SI KWELI Tiketi za Simba day ziliuzwa kwa mafungu na ulanguzi ili ziishe mapema

    Kwa mujibu wa Haji Manara Simba waliwatuma watu wanunue tiketi kwa mafungu ili waje wazilangulishe siku ya mechi ili watabgaze Sold out, asena sold out ya Simba ni ya mchono. Nachojiuliza taarifa hiyo ni kweli? Kama kweli Simba watakuwa wanadanganya ili iweje?
  15. Siri za Mafanikio

    1. Sehemu ya kwanza katika Siri za mafanikio ipo katika chini ya ardhi Huko Kuna madini na vitu vingi vya thamani. 2.Siri ya pili ya mafanikio meenyezimungu akiweka mbinguni. Huko mbinguni Kuna vitu vingi sana ambavyo sisi hatuvifahamu, na vina thamani kubwa kweli kweli. 3.Siri ya mafanikio ya...
  16. Ni sehemu ipi sahihi ya kuelezea siri au kitu kinachokusumbua kwa muda mfupi au muda mrefu?

    Kwa uzoefu tu Jamani watu wengi ni wasaliti sana. Unaweza kumueleza kitu chochote ili upewe ushauri. Cha ajabu ushauri hupewi bali utayasikia mtaani na hii inaumiza sana. Sasa ni wapi Jamani mtu ueleze siri yako? Mimi limewai nikuta nilimueleza mtu siri na akaenda kuisambaza mahali nilijuta...
  17. W

    Fixed matches zipo ila huwa ni siri ya circle ya watu wachche huzikuti kiholela, tuache kudanganyana kuna fixed matches za elfu na laki, ni utapeli,

    kubeti kumeingiliwa na matapeli wengi sana wanaojinadi kutoa fixed match Fixed matches ni mechi ambayo imepangwa timu flani ipate matokeo flani, njia rahisi huwa ni kufungwa au kutoa sare. mfano Simba anajifungisha kwa Mtibwa, wachezaji kadhaa na watu ndani ya timu na wachache sana wa nje...
  18. Mtaalam: Sehemu za Siri za Mwanamke kuwa Baridi huchangia kwa 99% katika Kupunguza Nguvu za Kiume za Wanaume wengi

    "Mwanamke yoyote ambaye anaingiliwa na Wanaume zaidi ya Watatu na Uke wake haupumziki Kuingiliwa na Wanaume tofauti tofauti ndani ya Wiki huyu husababisha Uke wake kuhama Kiasili kutoka kuwa wa Moto na kuwa Wabaridi. Kitendo cha Uke wa Mwanamke kuwa Wabaridi husababisha Uume wa Mwanaume ukiwa...
  19. A

    Visa vya kweli: Siri za kujamiiana katika koo

    Koo zina siri nyingi sana, kuna siri ambazo hazitolewi kabisa nje ya koo husika, pia humo ndani ya koo kuna siri ya wahusika tu. Nikimaanisha kua kuna siri ambazo zinafanywa na watu wa wawili au watatu wa kwenye koo hiyohiyo na wengine wasijuwe. Pia kuna koo ambazo zina siri ya ukoo mzima na...
  20. Siri nne za mafanikio 2024: Vitu ambavyo matajiri hawawezi kukwambia

    Ndugu Msomaji, Leo Nataka Nikuibie Siri ya MATAJIRI Wengi Ambayo Hawataki Uijue Kuhusu Mafanikio. Binafsi Siri Hii Nilijifunza 2020 Kutoka Kwa Mentor Wangu Dan Lok. Kitu Ambacho Kilibadilisha Kabisa Mwelekeo wa Maisha Yangu Mpaka Leo. Dan Lok Alifanya Utafiti wa Kisiri na Akagundua Kwamba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…