umma

Umma (Sumerian: 𒄑𒆡𒆠 ummaKI; modern Umm al-Aqarib, Dhi Qar Province in Iraq, formerly also called Gishban) was an ancient city in Sumer. There is some scholarly debate about the Sumerian and Akkadian names for this site. Traditionally, Umma was identified with Tell Jokha. More recently it has been suggested that it was located at Umm al-Aqarib, less than 7 km to its northwest or was even the name of both cities.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rev Peter Msigwa: MAHAKAMA YA UMMA NA MAHAKAMA YA DHAMIRI- kwa rafiki yangu Godbless Lema

    To: My friend Godbless Lema From: Rev Peter Simon Msigwa Ndugu na rafiki yangu Lema, baada ya kuzungumza na vyombo vya habari, ninaona sasa umesimama mbele ya mahakama mbili muhimu sana katika maisha ya mwanadamu: Mahakama ya Umma na Mahakama ya Dhamiri. Kwa maoni yangu, ulijielekeza vibaya...
  2. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Kesi Mahakamani Kupinga Serikali Kutumia Fedha za Umma Kuandaa Mechi ya Bayern Munich na Ajax

    Wakenya sita wamewasilisha kesi katika Mahakama Kuu wakitaka serikali izuiwe kutumia fedha za umma kufadhili mechi ya kirafiki kati ya Bayern Munich ya Ujerumani na Ajax ya Uholanzi inayotarajiwa kufanyika Januari 5, 2027, katika Uwanja wa Raila Odinga International Stadium. Katika ombi lao la...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Wadau kwanini hatuna mijadara ya kujenga mfano Barabara zetu na huduma za umma , bungebubu ufisadi, na makakama iliyopoteza uhuru wake

    Habari ya kuyimuka Wadau, Humu ndani ya jukwaa mwanzoni tulikuwa na mijadala mizuri na yenye tija Kwa nchi yetu kwasasa haionekani. Kuna changamoto nyingi kwenye maneo ya miundo mbinu yetu hasa Barabara. Barabara zetu nyingi ni mbovu zina mashimo yayosababisha uharibifu WA magari na wakati...
  4. F

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Faida mojawapo ya maandamano ya Oktoba 29, 2025; ni kukomesha uzururaji na ufujaji wa pesa za umma wa viongozi

    Habari! Twende haraka kwenye mada ya maombolezo ya mashujaa wa 0ct 29, Tangu March 2021 alipoapishwa kiongozi yule dhalimu, takwimu za safari za kuzurura huko na huko duniani Kwa gharama kubwa za Kodi zetu ni kubwa mno, Kila tulipolalamika, tulijibiwa kwamba mimi mamaenu nisipotoka mtakula...
  5. JamiiForums Tanzania Je, Demokrasia ni Illusion?Je, Umma unaweza Kuamua mustakabali wa Taifa ama ni kulishana Upepo?

    Mwaka Jana 2025 tarehe kama ya Leo nilikuwa katika viunga vya jiji la Dar es Salaam.Hali ilikuwa shwari na waliokuwa wakishiriki katika mchakato wa uchaguzi walikuwa wakiendelea na kampeni katika hali ya utulivu.Hakuna ambaye aliamini kwamba yaliyotukia tarehe 29Oktoba yangetukia pamoja na kauli...
  6. JamiiForums Tanzania Kusoma shule za umma Tanzania ni mateso ?

    Wanafunzi wanaoshangilia kumaliza shule kama wendawazimu wehu mpaka wanatukana hovyo inawezekana pia ni dalili ya kwamba kusoma shule za umma ni mateso na wengi wanaosoma huko hawafurahi wala hawapendi ila wanalazimishwa tu.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Serikali ilihudumia ununuzi wa umma wa Tsh. Trilioni 19.90 kwa miaka mitatu (2022/23–2024/25), lakini changamoto za uwajibikaji bado zipo

    Ripoti ya Uwajibikaji wa Ununuzi wa Umma ya Mwaka 2024/25, iliyoandaliwa na WAJIBU na Policy Forum kwa kutumia ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG Mwenendo wa Uwajibikaji Katika Ununuzi wa Umma kwa Kipindi cha Miaka Mitatu 2022/23 hadi 2024/25. Uchambuzi wa ripoti za...
  8. JamiiForums Tanzania KERO Ofisi nyingi za umma, hususan masijala zinakabiliwa na tatizo la rushwa

    Ofisi nyingi za umma, hususan masijala za wazi na za siri, zinakabiliwa na tatizo la rushwa. Kwa mfano, katika Ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilemela, unapohitaji huduma inayohusisha faili lako, unaelekezwa kwenda masijala. Ukifika huko, unaambiwa kuwa faili lako halipo. Hata hivyo...
  9. JamiiForums Tanzania tunaelekea 2027 ila hali ya vyoo vya maeneo ya umma vinakupa ujumbe gani

    Jamani, tunaishi mwaka 2026, dunia inazungumzia AI, robots na safari za kwenda Mars, lakini ukiingia kwenye baadhi ya vyoo vya maeneo ya umma unajiuliza kama bado tuko kwenye zama za mawe tena nahisi hata zama za mawe vyoo vyao vilikuwa sio vichafu kama sasa huenda walikuwa wanakwenda porini...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Chuo cha Utumishi wa Umma Tanga na NACTVET mnaniharibia maisha yangu, matokeo ya 2018 hayapo kwenye mfumo

    Nilimaliza Chuo cha Utumishi wa Umma Tanga Campus Mwaka 2018 nimekuwa nikifatilia chuo waingize matokeo yangu huu mwaka wa pili sasa nimeshindwa kuendelea na kusoma degree lakini Chuo wanasema NACTVET dirisha la nyuma hawajafungua na siku zinakwenda, naomba msaada. Wanasema NACTVET hawajafungua...
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini Mwenge wa Uhuru sio msingi wa maendeleo ila ni chanzo cha wezi na wabadhirifu kuiba na kupiga mali ya umma?

    Mwenge umeshindwa kuwa na tija na faida kwa taifa letu la Tanzania. Hapa kuna uchambuzi wa takwimu za bajeti zinazohusika na mbio hizi, pamoja na hoja kuu za upande wa pili unaounga mkono Mwenge kama nguzo muhimu ya taifa. πŸ’° Makadirio ya Bajeti na Gharama za Mwenge Ingawa serikali haijaweka...
  12. JamiiForums Tanzania Hizi ziara za viongozi wa CCM wakitumbua na kutishia watumishi wa umma zitamsaidia rais Samia kupendwa na wananchi?

    Kwa ujumla ameshatambua kuwa hapendwi na wananchi. Lakini inaonekana kuna vuguvugu la viongozi kuwapelekesha mputa watumishi waonekane ni wazembe kwa wananchi ili serikali ikubalike kwa wananchi na rais apendwe. Tumbua tumbua, makalio ya hapa na pale yanafanywa na wakuu wa mikoa,makamu wa rais...
  13. JamiiForums Tanzania Saikolojia ya Umma na Ripoti ya Jaji Chande: Je, Tume walitambua "Watu wa Itikadi" Ambao Hamna Pesa au Silaha Inayoweza Kuwanunua?

    Ndugu Wana-JamiiForums, Nimekuwa nikitafakari kwa kina kuhusu kiini cha matukio ya ghasia za Oktoba 29, 2025, na jinsi Ripoti ya Tume ya Jaji Mohamed Chande Othman ilivyofikia hitimisho lake. Ripoti ile inasisitiza kuwa yaliyotokea yalikuwa na uratibu, ufadhili wa fedha (Sh 10,000 hadi 50,000)...
  14. JamiiForums Tanzania Kwa nini watumishi wa umma wanachelewesha huduma kwa raia makusudi?

    Hivi ni kwa nini kwenye taasisi za umma imekuwa ni tamaduni ya kawaida kuchelewesha kimakusudi huduma fulani kwa raia ili tu kushawishi mazingira ya kutanguliza pesa ili uwahishiwe huduma? Ni mishahara midogo, tamaa au usimamizi mbovu. Maana unaweza kukamilisha kila kinachohitajika na swala...
  15. T

    JamiiForums Tanzania KUNA HUU WIZI UNAFANYWA KUPITIA TAASISI ZA AFYA ZA UMMA

    Habari wadau, Uzi wa leo tunashona sekta ya afya hapa nchini malawi. Wengi mnatambua kuwa kuna mfumo huu wa taasisi za afya za malawi. Ambapo unapofika hospital inaenda kwa mlolongo ufuatao; 1. Unasajiliwa ambapo baadhi ya hospitali za serikali ya malawi hukichaji mpaka zaidi ya 10,000 2...
  16. JamiiForums Tanzania Rushwa na Matumizi mabaya ya fedha za Umma katika ujenzi wa Soko wilaya ya Kaliua. Waacha eneo lililotengwa kwa ajili ya soko, watafuta eneo jipya.

    Halmashauri ya wilaya ya Kaliua chini ya Mkurugenzi na Mwenyekiti wa Halmashauri wameingia katika mgogoro na Wananchi kwa kuacha maeneo mawili yaliyotengwa kwa ajili ya kujenga Masoko na kutafuta eneo lingine ambalo litagharimu mabilioni ya fedha kulipa fidia kwa wamiliki wa ardhi. Wananchi...
  17. JamiiForums Tanzania Kijana usipeleke mwanamke/demu ghetto kwako first time asije akakufia sijui utauelezea nini Umma.

    kuna kipindi mwanangu alipataga demu akamset fresh then akampleka ghetto kufika jamaaa kaanza maneuver ghafla demu haongei kimya kazima sjui alikuwa anatatizo gani Mwanangu alipanic vibaya sana akanicheki kunielezea situation nzima ananiambia mkali nshaua huku mtoto haongei mapigo ya moyo...
  18. JamiiForums Tanzania TANESCO yanyakua tuzo nne katika vipengele mbalimbali kwenye Tuzo za Umahiri wa Mawasiliano kwa Umma

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limefanikiwa kutwaa tuzo nne za umahiri katika mawasiliano kwa umma, ikiwa ni kutambua mchango wake katika kuboresha eneo la utoaji wa taarifa, kuimarisha mawasiliano ya kimkakati na kutumia ubunifu katika kuwafikishia wananchi taarifa kwa ufanisi...
  19. JamiiForums Tanzania TANESCO yang’ara tuzo za umahiri wa mawasiliano kwa umma

    πŸ“Œ Yanyakua tuzo nne katika vipengele mbalimbali πŸ“Œ Yatambuliwa kwa ubora katika mawasiliano ya kimkakati, elimu kwa umma na usimamizi wa mawasiliano wakati wa migogoro Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limefanikiwa kutwaa tuzo nne za umahiri katika mawasiliano kwa umma, ikiwa ni kutambua...
  20. F

    JamiiForums Tanzania KERO Kero kuhusu mchakato wa zabuni katika baadhi ya halmashauri za Mkoa wa Kilimanjaro.

    Naomba nitoe kero kuhusu mchakato wa zabuni katika baadhi ya halmashauri za Mkoa wa Kilimanjaro. Kuna taasisi ambazo, kwa madai yangu, hutangaza zabuni lakini mchakato wake unaonekana kuelekezwa kumpendelea mzabuni fulani. Mzabuni mwingine anaposhinda badala ya yule anayependelewa, zabuni hiyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…