Kama mtu amepata ujasiri wa kuonyesha maburungutu ya pesa mitandaoni, huku aonyeshi chanzo halali cha pesa hizo serikali isikalie hilo jambo kimya.
Angalau watakwe kufanyiwa tax clearance wapewe doc ya kujipata na pesa mitandaoni. Hiyo itathibitisha ni pesa halali na huyo mtu anafaa kutumikq...
Wajuvi habari zenu?
Baada ya kujishauri kwa muda mrefu kuhusu biashara ya kufanya ili walau nipate kipato nimeona suluhisho ni biashara ya stationary.
Na hapa nimeona kuwa wengi huwa wanakuwa na printer tu bila photocopy machine.
Na mimi ili niweze kubalance mtaji nimeona nianze na kimojawapo...
Kwa walionizidi umri shikamoni na kwa wa umri wangu habari zenu?
Kilichonileta mbele zenu ni hiki ndugu zanguni ni haya nayopitia na baba yangu licha ya kuwa na maswaibu yanayonisumbua kwa muda mrefu mpaka nashindwa kufanya kazi zangu kwa kuamua bali huwa najilazimisha ivoivo baada ya kuona...
Ukiangalia account zote za wapinzani utakuta picha ya Free nani, Free nani, kwa Mdee yeye kwake picha za simba na Yanga.
Naamini 100% mdee hata akisamehewa basi ni kujidanganya, moyo haupo kabisa upizani.
bora tu uwende CCM ukamlizie siasa zako, maana CCM tupo wengi kwenye foleni tunataka nafasi
Vijana wenzangu mnaojitafuta katika maisha, mkitaka kujenga, singatieni umbali na mahali mnapofanyia kazi, hasa kwa wale wa Dar es Salaam... jiji la fujo. Nasema haya kwa kuwa yamenikuta... Ni heri ningenunua kiwanja mkoani kwetu, maana pesa niliyoitumia huku, kwa kule ningepata kiwanja karibu...
Habari zenu ndugu watanzania!!!!
Naandika uzi huu kuomba ushauri ili mwanga wa nini cha kufanya ili niweze pata mafao ya kutokuwa na kazi NSSF.
Kwanza kabisa mimi ni mkazi wa mkoa wa Mtwara wilaya ya Masasi, mwaka 2022 Septemba katika harakati za kusaka kazi, nlibahatika kupata kazi kwenye...
Huwa nasema kila siku humu, usihatarishe maisha yako kwa kuwatetea wapumbavu!
Watanzania wangekuwa wanajielewa CCM ingeshang'olewa kitambo.
Ona Lissu kapata ulemavu sababu ya kutetea wapumbavu. Ona Msigwa leo yuko CCM, upumbvu mtupu!
Watanzania wanachoweza ni ngono, uchawi, majungu na umbea...
Kama sheria inavyotamka kila mwenye gari kubwa iwe ni bus au lori anatakiwa awe amelipia gharama ya Latra. Kwa uchungu kabisa kulipia Latra kumekuwa na changamoto kubwa sana. Mfano unatakiwa uende kwa vehicle inspector akague gari lako na ulipe gharama inayotakiwa.
Pili unatakiwa ulete bima...
Sote tunaumizwa na ajali za kila mara zinazopelekea kupoteza nguvu kazi na hasa Vijana wa Kitanzania.
Polisi wa Usalam barabarani wamekuwa wakijitahidi sana kupunguza ajali hizi lakini kwa asilimia kubwa Polisi mara nyingi wanakuwa na maelewano usio rasmi kati ya mkosaji na Polisi.
Hivyo ajali...
Ushauri huu unatoa mwanga mzuri kwa vijana kuhusu maadili na namna ya kujitunza.
1-no tattoos
2-no kutoboa pua na maskio kwa wanaume.
3-no twerking hadharani.
4-usivae kibukta kinachoacha nusu paja wazi.
5-jifunze kutengeneza hoja jifunze kuongea na watu
6-ukipata chance ya kusoma piga book...
Mimi ni mwalimu, naombeni msaada wa fani ambazo endapo nikasomea inakuwa rahisi kufanyiwa Recategorization kwa upande wa halmashauri.
Mbarikiwe.
#kuna hali imenishinda kuendelea kuendelea kushika chaki
1. Punguza Tamaa Zako Za Ngono Ukiendekeza Tabia Hii Itakupelekea kutembea Na Watu Mbalimbali. Hali Hiyo Siku Moja Itakupelekea kupata Magonjwa ya zinaa /Kwa Wewe Binti Mimba Na Hata UKIMWI. Akili Zako zitakuw zinawaza Sex tu. Mambo ya Maendeleo yatakupita kushoto.
2. Acha Kabisa Kuangalia...
Kuna utapeli unaoendelea mitandaoni, unaohusisha baadhi ya watu fungua kurasa/pages/Accounts za Instagram kwa kutumia picha za watu wengine (innocent) huku pages hizo zikiwa na maudhui ya kudhalilisha. Kama kuna yeyote ambaye anaweza kushauri njia nzuri ya kisheria ya kuchukua against watu kama...
Habari wana bodi.
Mimi ni mdau wa sekta ya usafirishaji na katika observations zangu nimegundua tatizo na nashauri watajwa hapo juu katika mkoa wa Morogoro kama ifuatavyo.
Manispaa ya Morogoro iliamua kuhamishia mabus madogo yote yanayokwenda nje ya mji yawe yanaanza safari zake stand ya...
Wakuu nina kiasi cha 2M kama mtaji na ni juzi nimetoka Chuo Dar wa Salaam nimeamua kurudi mkoani kwa mzazi wangu Geita kuanza maisha maana hadi umri huu wa miaka 24 siku zote pesa nilikuwa napewa na wazazi mmoja akafariki
Natamani kufanya biashara
Nimesoma Degree ya business administration. So...
Nakujua Dk Nchimbi kwa uwezo wa ko wa kiakili na hekima uliyonayo. Kwa kutumia karama hizo ulizopewa na Mwenyezi Mungu,utashauri Chama kwa busara na hekima ulizo nazo ili nchi inusurike.
Wewe ndiye pekee kwenye Chama uliyebaki kuinusuru nchi hii.
Najua mtu yeyote akigombea urais kupitia CCM...
Nyakati zimebadilika sana, wanawake single mothers , talaka kwa Wakristo na ndoa kwa watu wa makabila tofauti sio mwiko(taboo) tena, katika mazingira haya je kuna haja ya kuwasikiliza na kuwatilia maanani wazee walioishi karne hiyo kuhusiana na masuala ya ndoa au mahusiano?