Kama kicha cha Habari kinavyo jieleza, nina account Twitter na zamani nilikuwa napenda sana kutumia huu mtandao yaani kuliko instagram ila kwa sasa naona yamenishinda.
Kwenye account yangu sija follow account yoyote yenye mambo ya ngono au porn account ila sasa naona watu wana post sana video...