video

  1. JamiiForums Tanzania Video: Vibe la waumini wa Gwajima kanisani leo

    Waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, linaloongozwa na Askofu Josephat Gwajima, leo jumapili ya Novemba 30, 2025, wameendelea na ibada za kila jumapili, ikiwa ni jumapili ya kwanza tangu Kanisa hilo kuruhusiwa kuendelea na shughuli zake baada ya kuzuiwa kwa muda. ‎ Novemba 24, 2025, Waziri Mkuu...
  2. JamiiForums Tanzania KWELI Video hii imetengenezwa kwa akili unde

    Huku ukieleza nyenzo ya kidigitali uliyotumia, bainisha picha halisi iliyotumika kutengeneza video hii.
  3. JamiiForums Tanzania Kijana: Viongozi ndio chanzo cha vijana kufanya maandamano

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais- Maendeleo ya Vijana, Joel Nanauka ameendelea na ziara yake maalum ya kukutana na kuzungumza na vijana katika Mkoa wa Ruvuma ambapo ameonya dhidi ya watendaji wa serikali wanaokwamisha shughuli za vijana kuwa hawatavumiliwa. Akiwa wilayani Songea leo Ijumaa tarehe...
  4. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Video: Rais anasema kanisa lifunguliwe alilifunga kwa sababu gani? Aeleze sababu

    Miongoni mwa waumini wa kanisa la Askofu Gwajima, lililofunguliwa hivi karibuni baada ya maelekezo ya Waziri Mkuu na kupewa uangalizi wa miezi sita, amesema kuwa serikali haipaswi kuwanyamazisha wasiseme mambo. Amehoji kuwa: ‘Mnasema Rais amelifungulia kanisa, lakini kwanini alilifunga awali?’...
  5. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Video: Polisi ilimwachia akakikimbia, akapigwa Risasi ya kwanza ikamkosa, ikapigwa Risasi ya pili ikampata akaanguka na kufariki

    Kutoka kwenye ukurasa wa Sativa mtandao wa X; Ushahidi mwingine wa POLISI na vyombo vya USALAMA wakiua watanzania. Huyu ni kijana ambae alikamatwa 29 oktoba siku ya maandamano huko TUNDUMA MKOANI SONGWE. Hapo alishushwa kwenye Gari la Polisi baada ya kupigwa sana na kuambiwa AKIMBIE...
  6. JamiiForums Tanzania PostGE2025 VIDEO: Gwajima aliwahi yatabiri haya yanayotokea sasa

    VIDEO: Gwajima aliwahi yatabiri haya yanayotokea sasa
  7. JamiiForums Tanzania Video: Sitaki kulala ndani kwa ajili ya watu wajinga, tukubaliane na aliye madarakani amani ndiyo kila kitu

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ametoa ruhusa kwa magari ya abiria kuanza kutumia barabara ya Mabasi Yaendayo Haraka Awamu ya tatu inayoanzia katikati ya jiji la Dar es Salaam kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa JNIA hadi Gongo la Mboto kwa lengo la kupunguza msongamano wa magari katika...
  8. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Raia wa Kenya: Nashangaa JWTZ na wasanii wa Tanzania raia wameuawa lakini mpo kimya, mmewaangusha wananchi

    Kwa umoja ambao wananchi wa Kenya wamekuwa wakionyesha kukemea mauaji na udikteta wa Samia unazidi kuleta matumaini kwetu watanzania Jeshi la wananchi Tanzania limewaangusha wananchi, raia wameuawa lakini wapo kimya wanaendeleza harakati za Samia, wameiapisha serikali haramu kuwa halali na...
  9. JamiiForums Tanzania Watalii wameambiwa wapuuze video za CNN huku serikali kutokanusha video zile wanamaanisha nini ?

    Watalii wameambiwa wapuuze video za CNN huku serikali kutokanusha video zile wanamaanisha nini ? Leo serikali imeaibika na kutrend vibaya sana na zile video za mauwaji zime trend zaidi na kupewa umakini na dunia. Serikali haramu inazima moto kwa kuwasha kiberiti.
  10. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Msemaji mkuu wa Serikali Gerson Msigwa awahakikishia watalii usalama na kupuuza taarifa potofu

    Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa akizungumza na Vyombo vya habari leo Novemba 23, 2025 amewahakikishia watalii wote kutoka mataifa mbalimabali kuwa Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania inawakaribisha wote nchi yetu itabaki kuwa ya amani na wazi kupokea wote wanaowiwa kuja...
  11. JamiiForums Tanzania Msigwa alisema serikali inachunguza video kisha itatoa ufafanuzi lakini imekuja na malalamiko ya kutangazwa kimataifa tu na sio ufafanuzi wa video

    Msigwa alisema serikali inachunguza video kisha itatoa ufafanuzi lakini imekuja na malalamiko ya kutangazwa kimataifa tu na sio ufafanuzi wa video. Aidha vyombo vya kimataifa vili itafuta serikali kabla ya kuripoti ili kutoa ushirikiano lakini serikali iliingia mitini kwa siku takribani 25 sawa...
  12. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 CNN Evidence: Tanzania Police Killed Protestors

    In the chaotic aftermath of Tanzania’s disputed presidential election last month, police and gun-wielding men on patrol shot at groups of protesters, many of whom appeared unarmed or were holding only rocks and sticks, a CNN investigation has found. Geolocated videos from the scenes, audio...
  13. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Video nyingi za CNN kuhusu mauaji Tanzania ni AI

    Ni aibu na fedheha kwa Kituo kikubwa cha habari kama CNN kujinasibu kuwa wana evidence za matukio ya October 29 huku wakiwa hawana evidence hata moja. Ili kutoa habari kama ile kwa weledi wa kazi za utangazaji basi lazima wange balance story na kupata maelezo kutoka upande wapili ambao ni...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Polisi mlitoa onyo kutosambaza video za kuleta taharuki. Sasa CNN mtawafanyaje?

    Nailiza polisi wetu tunawafanyaje CNN
  15. JamiiForums Tanzania Wamama wafiwa wa vijana waliouawa wanasema #D9 wanaandamana na kwamba vijana wao walikuwa na sababu za msingi

    Tetesi, kuna baadhi ya video mtandaoni wamama wafiwa wa vijana walio uwawa wanasema #D9 wanaandamana na kwamba vijana wao walikuwa na sababu za msingi. Maandamano hayptokuwa tu ya Gen z kwenye round hii tutakuwa na wazazi nchi nzima tutakinukisha.
  16. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Askofu Ikongo: TEC wamehusika kwa asilimia 90 kuratibu vurugu za tarehe 29 Oktoba

    https://youtu.be/B5pHrjsXXDM?si=YrhU152Q9lyY-CLR
  17. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mount MERU Hospital nao wamejichanganya kama Mwananyamala, ile Video ni real

    Thanks for sharing the frames. I’ll be careful and respectful in explaining what can be determined. Is this AI-generated or real? Based on the extracted frames, the video does not show typical signs of AI generation. Here’s why: Why it appears real Consistent lighting and shadows that are...
  18. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hospitali ya Mount Meru yakanusha kuhusu video ya mochwari. Wasema ni ya kutengenezwa…

    "Menejimenti ya Hospitali ya Rufaa ya Mount Meru imesikitishwa na kitendo cha watu wenye nia ya kuzua taharuki kwa wananchi kutengeneza video yenye picha za miili ya watu ikiwa na maelezo kuwa video hiyo imerekodiwa kutoka chumba cha kuhifadhi maiti cha hospitali hii. Tunapenda kukanusha kuwa...
  19. JamiiForums Tanzania Redcross kuvujisha video za kutisha mpaka tarehe 25

    Nye mwalia mbona bado. Nyie kuna video za kikatili nye. Bado za kuzika maiti na kuchoma zaja. Kaeni kwa kutulia. Wao waua walidhani waficha siye tutafichua. Kuna kubwa lake. Hiyo ni rasharasha. Nye Nye Nye watu wabaya nye. Wachoma maiti nye nye kama ndafu nye. Na bado. Nyumbu mwaka wenyu huu...
  20. JamiiForums Tanzania Waanovujisha video za mochwari weekend wana akili sana

    GT Mpaka.sasa tumeshuhudia video 3 mwanza, dar na arusha huenda.hawa watu wapo off na watapata.nafasi nzuri.ya kuzifuta bila bugudha hata nafasi ya kubadili simu kabisa. Kingine weekend ni tulivu sana kila mmoja ataweza kuona unyama wa maCCM. Narudia kusema huko CCM.hakuna mwenye akili wote ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…