Siku ya jana katika uapisho wa Mawaziri na mabalozi wapya tumeona Rais wetu akiongelea kuhusu kumteua daktari Janabi hii Ina maana kuwa wanafuatilia kwa ukaribu mambo yanayoendelea kwenye mitandao ya kijamii
Sambamba na kikao cha kamati kuu ya CHADEMA tumeona Makamu wa Mwenyekiti wao Lissu...
Ndugu zangu nielewesheni inawezekana nina tongo tongo ila naona kama kuna jambo halipo sawa na kama lipo sawa basi naona kuna shida ktk katiba yetu.
Kwa mujibu wakatiba Tanzania ni muunganiko wa Tanzania Bara na Tanzania visiwani. Na kwa katiba hiyo hiyo inasema patakuwa na Rais wa Tanzania na...
Ndugu zangu Watanzania,
Mimi kila siku huwa naangalia na kusoma vitu anavyopost na kuandika mitandaoni Tajiri Nambari Moja Duniani Elon Musk kupitia mtandao wake wa Twitter maarufu X.
Ambapo amekuwa akipost na kuandika vitu vya kawaida na vyepesi sana ambavyo huwezi kujifunza kitu chochote...
MTAMBUE SHEMSA MOHAMED M/KITI CCM MKOA WA SIMIYU KATIKA MEZA YA VIONGOZI MASHUHURI WA KISIASA DUNIANI
Ameandika Comrade Msauzii (0769086992)
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu, Ndugu Shemsa Mohamed Seif amekuwa kiongozi bora katika kukijenga chama cha Mapinduzi. Juhudi zake zinafananishwa na...
MKURUGENZI wa Miradi ya Green Faith Duniani Meryine Warah amewashauri viongozi wa madhehebu mbalimbali nchini kutofumbia macho vitendo vya uvunjifu wa haki za binadamu vinavyojitokeza katika utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa bomba la mafuta kule Chongoleani mkoani Tanga.
Maryine aliyesema...
% kubwa ya hawa makamanda walioongoza haya mapinduzi ni tawi la Al- Qaeda (Kikundi cha Waislam wenye itikadi kali) ambacho Us alisema ni MAGAIDI. Al- Qaeda ingawa kwa sasa hawavumi sana lakini bado wamo na wanamatawi yao km IS nk.
Je US atakuwa tayari kufanya kazi na MAGAIDI wakati kwake...
Leo tunapoadhimisha miaka 63 tangu Tanganyika kupata uhuru wake mnamo Desemba 9, 1961, tunakumbushwa juu ya safari ya kujitawala, mshikamano, na kujenga taifa lenye matumaini.
Ni siku ya kukumbuka juhudi za mashujaa wetu waliopigania uhuru kwa nia ya kuleta haki, usawa, na maendeleo kwa kila...
Timoteo 2 mstari 1 na 2
Basi kabla ya mambo yote ninasihi maombi,dua,sala na shukrani zifanyike kwa ajili ya watu wote ,kwa ajili ya wafalme na watu wenye mamlaka,ili tupate kuishi maisha ya utulivu na amani katika uchaji wa Mungu na ustahivu wote.
Katika siku za mwisho za uhai wake, akiwa hospitali Uingereza na alipotembelewa na Mkapa, Nyerere alimwambia hivi Mkapa, "Benjamin, najua Watanzania watalia sana watakaposikia nimekufa"
Na Nyerere alipokufa ni kweli Watanzania tulilia sana. Tulilia pia alipokufa Waziri Mkuu wa enzi hizo, Edward...
Salaam, shalom!
Kwa kuwa kura halali zilitiwa ndani ya Sanduku la kura zikichangamana na kura fake tena chini ya usimamizi wa waandalizi wa uchaguzi wenyewe kama asemavyo Judge Warioba, zoezi Zima linageuka kuwa haramu.
Tunaweza kujisahihisha Kwa kufuta huu uchafuzi na kurudisha Sanduku la...
Wakuu,
Najiuliza hivi nu kwamba wananchi wamewachoka viongozi wa serikali au wameichoka serikali maana yanayotokea kwa sasa ningekuwa kaka Luka ningebubujikwa na machozi.
Yani imefikia kipindi viongozi wanapata majanga badala wananchi wasikitike wanafurahi na kutaka kujua wangapi wametangulia...
Habarini,
Lengo kubwa la Waafrika kupigana vita dhidi ya wakoloni ilikuwa ni kurudisha ardhi na heshima yao ambazo zilikuwa zimechukuliwa na wanasiasa na viongozi wa dini wa kikoloni siyo kurejesha DEMOCRACY.
Leo hii taasisi za kidini na wanasiasa ndiyo wanamiliki ARDHI na UTU kwa kumiliki...
Fikiria hili: unapomtegemea mtu kwa kila jambo bila kufanya juhudi za kujitegemea, ipo siku utakuta umegeuka mtumwa wake. Hali hii inadhihirika wazi kupitia uhusiano wetu na China, ambapo nchi yetu na nyingine nyingi za Afrika zimewekwa katika hali ya utegemezi mkubwa. Sekta zetu muhimu kama...
02 December 2024
Washington DC na Luanda Angola
ZIARA YA RAIS JOE BIDEN AFRIKA KULETA FURSA KWA MATAIFA MANNE
Rais Biden kukutana viongozi kutoka Angola, DR Congo, Tanzania na Zambia juu ya mradi wa reli kutoka Lobito, Angola utakaopita DR Congo, Zambia hadi Bahari ya Hindi Tanzania...
Dr. Faustine Ndugulile ameondoka katika kipindi ambacho alitazamiwa kuwa mkuu wa Shirika la Afya Duniani kanda ya Afrika. Ametuachia majonzi makubwa sana! Sasa tunatamani mtu mwingine achukue nafasi yake.
Kwa bahati mbaya kila mtu siku hizi anaamini fedha na siasa ndio inampa mtu haki au sifa...
Bwana Masauni napenda kutoa maoni yangu juu ya kauli yako inayohimiza nyumba za ibada kuhamasisha amani. Lengo langu ni kuomba ufafanuzi wa tafsiri yako ya neno amani na jinsi inavyopaswa kufikiwa katika mazingira halisi ya taifa letu.
Je, unapotaja amani, una maanisha watu wakae kimya pale...
Viongozi wa juu CHADEMA wana ulinzi wa aina 3.
1. Ulinzi kwasababu jumuia za kimataifa wanawafahamu.
Si rahisi kumuua kiongozi wa mkuu wa chama cha upinzani kwakuwa wauaji nao wanahitaji misaada kutoka kwa watu ambao wameruhusu upinzani. Kiongozi wa upinzani ngazi za chini hata akiuwawa jumuia...
Nadhani viongozi wa CCM wanapaswa kubadili msimamo wao. Kila ikitokea taarifa ya kutekwa au kuuwawa kwa asiye mwana CCM wao ukaa kimya. Kwa kuzingatia umuhimu wa haki ya kuishi niwaombe wabadili response strategy zao na wajitokeze mapema kulaani na kukemea.
Ukimya wa CCM umepelekea hata vyombo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.