waislamu

The National Muslim Council of Tanzania is an Islamic organisation based in Tanzania. It is well known by its Swahili acronym BAKWATA.
BAKWATA is a well-established faith-based Islamic organisation registered since 1968. The Council has branch offices all over Tanzania with a network from the national to grassroots level with 22 regional and 169 district offices served by over 3000 sheikhs.Around 10,800 mosques run under its co-ordination. It owns around 40 acres of land in
each of its 22 regions and it has 32 secondary schools, two teachers’ colleges, 30
theological colleges, and a radio station and support numerous madras schools.

From the
late 1990s, BAKWATA has organised and facilitated training for its Muslim scholars on
environmental issues.
Ongoing work on environmental issues includes: environmental education for madras
pupils in 10 coastal districts, environmental education and management clubs in 10
secondary schools owned by BAKWATA and spreading the use of environmental
theological materials in religious ceremonies and sermons on Friday prayers for more
than 80 imams and sheikhs throughout Tanzania.
from 2016 BAKWATA is Offering free education under Mufti Office. this special knowledge is offered to Islamic Imams and Qur an Teacher In Several Centers in different region
the course is aimed to empower them in computer and information Technology and conflict arbitration

the headquarter of BAKWATA is in Kinondoni shamba area, Kinondoni district, Dar es salaam Region

View More On Wikipedia.org
  1. Hijja ni nini na inamaanisha nini kwa Waislamu?

    Hii Kitu imetoka kurasa ya Saudia Arabiya inaonesha kuna tatizo la kiufundi kuhusu Upagani uliopewa heshima and ukaingizwa kwenye uislam kutuliza mizimu ya mambu wa Kiarabu imekaa ni cultural zaidi na sio Dini ya uislam. SOMA Hiyo... Zaidi ya Waislamu milioni mbili watashiriki katika ibada ya...
  2. Kwa asilimia nyingi Waislamu tumechukua tamaduni za Kiarabu. Je, Uislamu ni Uarabu?

    uarabu una mila na desturi zake na uislam una sheria zake lakini huku kwenye uislam tumekomba mpaka uarabu, nimeuliza swali uislamu ni uarabu? Majina - yani mpaka jina la ukoo linanyofolewa. Kutukuza waarabu - kuwa na dhana potofu kwamba waarabu ni ndugu zake Mwenyezi Mungu, kuiita ngozi ya...
  3. Marekani: Halmashauri ya jiji lenye Waislamu wengi limepiga kura kupiga marufuku bendera za LGBTQ katika maeneo ya umma

    Meya wa Hamtramck Michigan Amer Ghalib, alipata wadhifa huo wa Umeya, mnamo 2021 baada ya kumkosoa mtangulizi wake kwa kupeperusha bendera ya LGBTQ nje ya ukumbi wa jiji. Baraza la jiji la Hamtramck, Michigan, ndio jiji pekee la Marekani lenye baraza linaloongoza Waislamu akiwemo na Meya...
  4. Wakristo mnatakiwa kuungana na waislamu kwenye hii vita

    Wakristo mnatakiwa kutambua kuwa hamna nafasi ya kushinda propaganda za LGBTQ isipokuwa kwakufanya muungano na Waislamu katika kupigana vita na Hawa wapotovu, Bibilia Iko wazi kwenye suala la ushoga kwamba ni laana na dhambi kubwa lakini Kuna baadhi ya viongozi wenu wanajaribu kupindisha...
  5. Kuoa sio maendeleo acheni kulazimisha watoto kuoa mapema

    Imekua ni kawaida kwa Vijana wengi kuoa mapema kuanzia miaka 20-25 tatizo wengi wanaolea nyumbani kwa wazazi unakuta nyumba vyumba vitatu Babu, Bibi, Baba, Mama na Wajukuu wengi mithili ya vifaranga wa Tai. Wote wanaishi hapo nyumbani. Muda ambao kijana alitakiwa kutafuta maisha ndio...
  6. Dkt. Damas Ndumbaro amekutana na kufanya mazungumzo na Uongozi wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania na Uongozi wa Jumuiya ya Mabohora Tanzania

    WAZIRI DKT. DAMAS NDUMBARO AMEJADILI MCHAKATO WA KATIBA MPYA NA TAASISI ZA DINI MBALIMBALI Waziri wa Katiba na Sheria, Mheshimiwa Dkt. Damas Ndumbaro amekutana na kufanya mazungumzo na Uongozi wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania na Uongozi wa Jumuiya ya Mabohora Tanzania tarehe 13 Mei, 2023...
  7. Wakristo, waislam, walevi, maDJ na wezi muwe watulivu wakati NEMC wakifanya kazi yao halali

    Nimefurahi sana kusikia NEMC wameanza kuwashughulikia wapiga kelele wanaosababisha zogo mtaani na kuwafanya raia wengine wakose raha na utulivu. Kipekee kabisa naomba NEMC wamulike zaidi makanisa, misikiti, vigodoro na wauza muziki (wezi wa kazi za wasanii) kwani hawa ndio wamekithiri kwenye...
  8. Idadi ya Waislamu duniani yafikia Bilioni mbili mwaka 2023

    Kwa mujibu wa takwimu za Shirika la Umoja wa Mataifa la Idadi ya Watu (UNFPA) na taasisi nyingine za utafiti, idadi ya Waislamu duniani inakadiriwa kufikia zaidi ya bilioni 2. Kwa sababu ya kiwango cha juu cha uzazi na kasi ya kuenea kwa dini hiyo kwenye maeneo mengi duniani, inatarajiwa kuwa...
  9. K

    Abashomi vs waislamu kwetu Bukoba

    Ukienda kuishi bukoba ukasikia kuna watu wanaitwa "Abashomi(wasomi) ujue hao ni wakristo,,,kwa bukoba iliaminika kwamba waislamu walikuwa hawapendi shule huku wakristo wakipiga kitabu kwelikweli ndo ukatokea msemo wa kuwaita wakristo (abashomi) huku muislamu akabaki akitambulika Kama muislamu...
  10. Kama Saudi Arabia wanasherehekea Eid Ijumaa inakuwaje BAKWATA wadai mwezi haujaonekana?

    Kesho ijumaa kama Saud Arabia nchi ya mtume SAW hawatakula IDD basi JF wanipige ban ya masaa 24. Hizi dini ni za magumashi amkeni. Cc: Kiranga
  11. Waislamu wa Tanzania wanasubiri Mufti atangaze Mwezi hadithi inasemaje?

    Waislamu wa Tanzania mnaomfuata Mufti Eid yenu ni lini. Kesho ni Eid fitri Saudi Arabia, UAE announce Eid al-Fitr will start on Friday Amani Hamad, Al Arabiya English Published: 20 April ,2023: 05:26 PM GSTUpdated: 20 April ,2023: 07:53 PM GST The first day of Eid al-Fitr will begin on Friday...
  12. M

    Waislamu tuandamane kupinga vita Sudan

    Waislamu wote tuandamane kuelekea ubalozi wa Marekani na Israel kupinga vita ya wenyewe kwa wenyewe huko Sudan katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani. Licha ya kuandamana viongozi wa dini watoe tamko la kushutumu vikali vita hivi vya wenyewe kwa wenyewe hasa mwezi huu mtukufu.
  13. Kesho ni derby ya Kariakoo, lakini TFF haijawatendea haki waislam

    Ni logic ndogo tu na ya kawaida, Simba wamechezeshwa mechi SAA 4 usiku kwa SAA Morocco siyo kwamba wamefanyiwa figisu ila ni kuheshimu tu mfungo wa Ramadhani. Je TFF hawajaliona hili? wachezaji na mashabiki waliofunga wanafuturu SAA ngapi? Mimi siyo mwislamu lakini najuwa adhana ikipigwa...
  14. Mzee Tashrif kafariki leo na kazikwa leo. Waislam wanajua heshima, umuhimu na maana ya mazishi

    Mzee Tashrif kafariki leo na kazikwa Leo , hvyo ndo inavyotakiwa , sisi wakristo ni wakengeufu sana , Hata Biblia haihalalishi kuhifadhi maiti mda mrefu , mfano Yesu alifariki akazikwa sku hyo hyo, Mlolongo wa mazishi kwetu sisi wakristo ni kama ifuatavyo.: Mtu anafariki , anahifadhiwa...
  15. Zelensky akutana na waislamu na kusema lazima Crimea irudi Ukraine

    Kwenye misosi ya futar, amesema kwa vyovyote vile lazima Crimea irudi...... Natumai maustadhi wa humu mtapunguza chuki dhidi ya Ukraine kisa chuki zenu kwa Marekani. The Ukrainian president hosted an Iftar with Muslim officials, including the Crimea's Tatars. Meanwhile, Kyiv said it will resume...
  16. Ni lazima wote tuwe waislamu?

    Hivi ni lazima, mtu ukiwa na imani yako si inatosha?
  17. Waislamu na Wakristo wote hawajitambui, naongea na nyinyi leo

    Ili tuelewane, leo nataka twende taratibu bila kujaza maneno mengi, na ili tuelewane leo tutaanza na kitabu cha Torati ambacho kipo kwenye Quran na Biblia. Ukisoma Torati kwa utulivu ni kitabu wameandikiwa Waisrael, swali sasa wewe Mkristo na Muislamu wa Tanzania ni Muisrael? Halafu jiulizeni...
  18. L

    Wachina waliopo nchi za nje wajumuika na waislamu duniani kutoa michango katika mwezi wa Ramadhani

    Katika kipindi cha mwezi mtukufu wa Ramadhani imekuwa ni ada na desturi kwa Waislamu na wasiokuwa Waislamu kuendeleza moyo wa kuchangia na kuwasaidia watu wa makundi mbalimbali. Na hii ni pamoja na kufutarisha mayatima, watu wenye maisha duni, waumini wa misikitini ama hata watu kawaida...
  19. Enyi ndugu Waislamu, funga yenu isifanye wasiofunga wateseke

    Ndugu zangu, juzi nikiwa katika pita zangu mitaa ya Kariakoo, baada ya mizunguko kadhaa nikaona ngoja niingie moja ya maduka makubwa ya Bakhresa yanayouza vinywaji baridi ili nipoze koo kidogo. Baada ya kuingia katika duka lile nilimkuta muhudumu mmoja hivyo nikamuomba anipatie kinywaji...
  20. L

    Waislamu wa Xinjiang wanavyotekeleza ibada ya Kufunga mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa uhuru

    Wiki iliyopita Waislamu zaidi ya bilioni moja kote duniani walianza kutekeleza nguzo ya nne ya Uislamu ambayo ni kufunga mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Katika nchi mbalimbali duniani ikiwemo China, ndani ya kipindi hiki Waislamu hutekeleza imani yao kwa uhuru bila kubanwa. Kwa hivyo kwa wale ambao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…