Saudi Arabia imeingia kwenye ushirikiano wa kihistoria wa miaka mitano na soka la Afrika ukihusisha Shirikisho la Soka Afrika (CAF) na Shirikisho la Soka la Saudi Arabia (SAFF).
Nukuu CAF | Mkataba uliosainiwa utazingatia mipango na maendeleo ya kiufundi na soka katika klabu na taifa, soka la...