wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. Pre GE2025 Eric Shigongo: Tanzania ni nchi tajiri siyo sawa wananchi wake kuwa masikini

    "Tanzania ni nchi tajiri sana,Tanzania kwa gesi asilia duniani ni nchi ya 82, Tanzania duniani kwa makaa ya mawe ni nchi ya 50 kwa dhahabu ni nchi ya 22, kwa almasi ni nchi ya 10 kwa helium gesi ni nchi ya kwanza kwa madini ya Tanzanite, ni nchi ya kwanza kwa utalii ni nchi ya pili inaifuata...
  2. Mkutano wa wananchi na uongozi wa M23 huko BUKAVU

    https://x.com/kivunews24/status/1893282140516667574
  3. Wenyeviti serikali za mitaa watakiwa kuhamasisha wananchi kujiunga na mtandao wa maji ili kuvutiwa maji majumbani

    Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na usafi wa Mazingira Dar Es Salaam(DAWASA), Mhandisi Mkama Bwire ametoa wito kwa wenyeviti wa serikali za mitaa kutoka wilaya ya Kigamboni kuhamasisha wananchi kuweza kujiunga na mtandao wa maji ili waweze kuvutiwa maji majumbani kwao. Mhandisi...
  4. Pre GE2025 Tundu Lissu: Tuna upungufu wa kutisha wa fedha kwa ajili ya shughuli za Chama (CHADEMA), msiniulize nimekuta nini, jibu halitakuwa zuri!

    Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu Lissu akiwa Kibamba akizungumzia urataibu wa kujiunga na Chama amesema kama Chama Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar...
  5. Njia za wananchi kutambua propaganda za wanasiasa kipindi hiki cha uchaguzi kwa sababu zishaanza tayari

    Wananchi wa Tanzania wanapaswa kuchukua hatua madhubuti ili kuepuka udanganyifu wa wazi unaofanywa na vyama vya siasa kuelekea uchaguzi. Serikali na wanasiasa mara nyingi hutumia mbinu za kiinimacho kama vile miradi ya ghafla, misaada ya muda, na ahadi zisizo na utekelezaji wa kweli ili kuwavuta...
  6. Serikali Yatoa Maagizo kwa Soko la Hisa na TCB Kuwezesha Uwekezaji kwa Wananchi

    Serikali imeagiza Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) na Benki ya TCB kuhakikisha kwamba Watanzania wanapata elimu ya kutosha kuhusu umuhimu wa kuwekeza katika soko la mitaji kwani ni muhimu kuongeza ushiriki wa wananchi katika uwekezaji wa hisa, ili kuchochea ukuaji wa uchumi na kusaidia...
  7. Moshi: Wananchi wamechoka wajitolea kujenga barabara

    Wazawa wanaotoka katika vijiji vya Kondeni, Mawanjeni, na Mitala wilayani Moshi, mkoani Kilimanjaro, wameungana kwa pamoja na kuanzisha ujenzi wa barabara ya Samaria yenye urefu wa kilomita 1.5 inayounganisha vijiji hivyo. Wakizungumza na TBC, wakazi wa vijiji hivyo wamesema awali barabara hiyo...
  8. RC Mtaka: Wananchi msiwarekodi wataalam wa afya na kupeleka mtandaoni

    Mkuu wa Mkoa wa Njombe Anthony Mtaka amepiga marufuku wananchi kuwarekodi madaktari na kusambaza video au sauti mitandaoni badala yake waweze kutumia njia sahihi ya kutoa taarifa kwa uongozi madaktari wanapokosea. RC Mtaka ametoa agizo hilo wakati akizungumza na wananchi wa kata ya Ukalawa...
  9. Ukishinda Urais, vitu gani vitano utafanya katika utendaji wako?

    Ndio umeshinda urais wa awamu ya saba. Ni vitu gani vi-5 utaviondoa au kuvifanyia reformation ili utendaji wako na maendeleo ya wananchi viwe thabiti. Karibuni wakuu.
  10. Mhandisi Bwire: Tunairudisha DAWASA iwe ya wananchi tukishirikiana kupitia Wenyeviti wa mitaa changamoto zitaisha

    Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam DAWASA Mhandisi Mkama Bwire amesema wanakusudia kurejesha Mamlaka hiyo kwa wananchi ili kutoa fursa na na nafasi ya kufikisha mrejesho wa huduma na kutatua changamoto za Maji ili kusaidiwa kwa haraka. Mhandisi...
  11. MWAUWASA: Ujenzi wa matanki ya Maji kwa Wananchi umeanza ili maeneo ya milimani yapate maji kwa uwiano sahihi

    Baada ya hoja za Wanachama kadhaa wa JamiiForums.com kuelezea kuhusu changamoto ya huduma ya maji katika baadhi ya maeneo Jijini Mwanza, ufafanuzi umetolewa na Mamlaka husika... Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Maji na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira...
  12. Pre GE2025 Wananchi Arumeru Magharibi wasema mbunge wao ni mzigo, ameshindwa kutekeleza ahadi ya ujenzi wa barabara

    Wananchi wa Kiranyi wilaya ya Arumeru wamefunga barabara kwa zaidi ya masaa matatu kwa lengo lakufikisha ujumbe kwa serikali, kutokana na ubovu wa barabara hiyo kwa muda mrefu huku wakilaumu MBUNGE wa eneo hilo kuwa mzigo kwa wananchi hao kwakushindwa kutekeleza ahadi yake ya Ujenzi wa Barabara...
  13. Wananchi arusha wafunga barabara kwa saa kadhaa, kisa ubovu

    Baadhi ya Wananchi wa Kata ya Kiranyi wilayani Arumeru Mkoani Arusha wamefunga Barabara kwa saa kadhaa kwa mawe na Magogo wakiishinikisha serikali kuikarabati. Soma Pia: Wananchi Hai, Simanjiro na Arumeru wafunga barabara kwa saa nne waitaka Serikali kutatua changamoto Barabara hiyo ya...
  14. Pre GE2025 Shinyanga: Ujenzi wa zahanati ambayo haujakamilika tangu 2012, wananchi waililia serikali ikamilishe ujenzi huo

    Wakazi wa Kijiji cha Bushimani kata ya Chambo Wilayani Kahama mkoani Shinyanga wameiomba Serikali kukamilisha ujenzi wa Boma la Zahanati walilolijenga kwa nguvu zao mwaka 2012 ili kuwaondolea adha ya kufuata huduma za Matibabu umbali wa kilomita 10. Veronica Michael na Elizabeth Mabula ni...
  15. Pre GE2025 Wananchi wa Kijiji cha Mtyangimbole Halmashauri ya Madaba, waishukuru serikali kwa kuwajengea shule ya sekondari

    Wananchi wa Kijiji cha Mtyangimbole kata ya Mtyangimbole Halmashauri ya Madaba, wamemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kupitia Mbunge wa Jimbo la Madaba Joseph Kizito Mhagama, kwa kujenga shule ya sekondari katika eneo hilo ambayo imeondoa adha kubwa iliyokuwa ikiwakumba wanafunzi kulazimika...
  16. Pre GE2025 Njia zinazotumiwa na chama tawala kuwahadaa wananchi na waumini wa demokrasia katika nchi za dunia ya tatu

    Vyama vya siasa, hasa vyama tawala katika nchi za Dunia ya Tatu kama Tanzania, hutumia mbinu nyingi za hadaa kuwashawishi wananchi na waumini wa demokrasia ili waendelee kushikilia madaraka na kulinda maslahi yao. Hapa ni baadhi ya mbinu wanazotumia: 1. Kutumia Ahadi za Uongo Wakati wa Kampeni...
  17. Makada wa CCM acheni kupotosha umma. Hakuna mafanikio yaliyoletwa kwa wananchi na CCM kama mnavyotamba na kudanganya umma

    Maji safi na salama ni janga la kitaifa. Miaka 60 ya uhuru mnashindwa kusambaza maji safi na salama. Mfano ni mji kama Chato upo kma moja karibua na ziwa lakini wananchi hawapati maji safi na salama. Elimu imeporomoka mithili ya barafu mlima kilimanjaro. Mmjejenga mashule kibao ya kata. Lakinj...
  18. TMA: Wananchi chukueni tahadhari ongezeko la joto

    Kufuatia taarifa iliyotolewa na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) kuhusiana na ongezeko la joto katika maeneo mbalimbali nchini kunakosababishwa na kusogea kwa jua la utosi, wananchi wameshauriwa kuchukua hatua kukabiliana na athari kutokana na uwepo wa hali hiyo.
  19. M

    Barua ya wazi kwa Waziri wa Mazingira na NEMC- Kelele mitihani ni tishio la afya za wananchi na Ustawi wa Taifa

    Ndugu mheshimiwa Waziri naandika haya kukujuza kuwa. Kwa sasa nchini kiwango cha kelele mitaani kinatisha, ni jukumu la serikali kuchukua hatua ili kulinda Afya za wananchi na ustawi wa Taifa. Ndugu Waziri, leo hii kwenye vituo vya mabasi, masokoni, mitaani, kelele zimekuwa ni nyingi na tena...
  20. Pre GE2025 Dkt. Mwinyi awahimiza WanaCCM na wananchi wengine wote kutokuacha kupiga kura siku ya uchaguzi mkuu

    "Napenda nichukue fursa hii kutoa wito kwa ndugu zetu nyote mliopo hapa, wananchi wote, wanaCCM, wapenzi, wakereketwa kuna jambo moja bado hatujalifanya vizuri nalo ni kujitokeza kwenda kuga kura siku yenyewe ya uchaguzi, tumefanya uandikishaji haitoshi sasa tuna kazi ya kwenda kuwatoa watu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…