waziri kombo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waziri Kombo apongeza mabaoresho Kituo cha Mikutano cha AICC

    Waziri Kombo apongeza mabaoresho Kituo cha Mikutano cha AICC Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amepongeza maboresho makubwa yanayofanywa katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC). Balozi Kombo ametoa pongezi hizo...
  2. Waziri Kombo aagana na rais wa bunge la Cuba Esteban Hernandez

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Thabit Kombo (Mb.) ameagana na Rais wa Bunge la Cuba Mhe. Esteban Hernandez baada ya kuhitimisha ziara yake ya kikazi nchini. Akiwa nchini kwa ziara ya kikazi Mhe. Hernandezi alikutana na kuzungumza na Rais wa Jamhuri ya...
  3. Waziri Kombo ashiriki hafla ya kumbukumbu ya siku kuzaliwa ya mfalme wa Japan

    WAZIRI KOMBO ASHIRIKI HAFLA YA KUMBUKUMBU YA SIKU YA KUZALIWA YA MFALME WA JAPAN Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ameshiriki katika hafla ya kusheherekea miaka 65 ya kuzaliwa Mtukufu Naruhito, Mfalme wa Japan iliyofanyika katika...
  4. Waziri Kombo akutana na Mwakilishi wa UNFPA nchini

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amekutana na kuzungumza na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja Mataifa linaloshughulikia Idadi ya Watu (UNFPA), Bw. Mark Schreiner katika ofisi za Wizara jijini Dar es Salaam. Katika mazungumzo...
  5. Waziri Kombo akutana na mwakilishi wa UNICEF

    Waziri Kombo akutana na mwakilishi wa UNICEF Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo amekutana na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF), Bi. Elke Wisck kujadili kuimarisha ushirikiano katika kuwalinda watoto...
  6. Mkutano wa JPCC wazaa matunda: Waziri Kombo arejea na makubaliano muhimu

    MKUTANO WA JPCC WAZAA MATUNDA: WAZIRI KOMBO AREJEA NA MAKUBALIANO MUHIMU Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb), amerejea nchini baada ya kushiriki Mkutano wa Sita wa Tume ya Pamoja ya Kudumu ya Ushirikiano (JPCC) kati ya Jamhuri ya Muungano wa...
  7. Waziri Kombo akutana na Wabunge wa Hungary

    Waziri Kombo akutana na Wabunge wa Hungary Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amekutana na kufanya mazungumzo na Wabunge wa Bunge la Hungary wanaounda Chama Rafiki cha Ushirikiano wa Kibunge kati ya Bunge la Tanzania na Bunge la...
  8. Waziri Kombo ateta na wanafunzi wa Diplomasia Hungary

    Waziri Kombo ateta na wanafunzi wa Diplomasia Hungary Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), ametembelea Chuo cha Diplomasia cha Hungary na kutoa mhadhara kwa wanafunzi wa Chuo hicho kuhusu Sera ya Mambo ya Nje na mchango wa Tanzania...
  9. Waziri Kombo afanya mazungumzo na Balozi wa Uswisi nchini

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud T. Kombo (Mb.) amekutana kwa mazungumzo na Balozi wa Uswisi nchini, Mhe. Nicole Providoli yaliyofanyika katika ofisi ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam tarehe 18 Februari 2025 Madhumuni ya mazungumzo hayo yalikuwa...
  10. Waziri Kombo apokea nakala ya hati za utambulisho kutoka kwa balozi mteule wa Thailand nchini

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thatib Kombo (Mb.) amepokea Nakala ya Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Thailand nchini Tanzania mwenye makazi yake nchini Kenya, Mhe. H.E. Morakot Janemathukorn, Katika Ofisi Ndogo za Wizara jijini Dar...
  11. Waziri Kombo afanya mazungumzo na Prof Jeffrey wa Chuo Kikuu cha Columbia

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo amefanya mazungumzo na Prof. Jeffrey Sachs wa Chuo Kikuu cha Columbia cha nchini Marekani pembezoni mwa Mkutano wa 38 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika leo tarehe 16 Februari, 2025...
  12. Waziri kombo atembelea miradi ya ujenzi jijini Addis Ababa

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) leo tarehe 14 Februari, 2025 ametembelea eneo la mradi wa ujenzi unaoendelea kwenye viwanja vya Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Ethiopia. Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  13. Waziri Kombo akutana na Waziri wa Uchukuzi wa Czech wagusia kuanzisha safari za ndege za moja kwa moja

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo amefanya mazungumzo na Waziri wa Uchukuzi wa Jamhuri ya Czech, Ing. Martin Kupka jijini Prague Januari 18, 2025. Waziri Kombo alisema sekta ya uchukuzi ni moja ya sekta muhimu katika maendeleo ya nchi na...
  14. Balozi Kombo awakaribisha Wafanyabiashara wa Czech kuangalia fursa za uwekezaji nchini Tanzania

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo amewakaribisha wafanyabiashara wa Czech kuangalia fursa za uwekezaji nchini Tanzania katika sekta za utalii uchukuzi, afya, TEHAMA, nishati, madini na elimu. Waziri Kombo alitoa mwaliko huo alipofanya...
  15. Waziri Kombo apokea kombe la ushindi kutoka kwa timu ya wizara ya mambo ya nje-nje sports club

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Balozi Mahamoud Thabit Kombo, tarehe 14 Januari 2025, amepokea kombe la ushindi kutoka kwa timu ya Wizara yake, Nje Sports Club, baada ya timu hiyo kushinda katika mashindano ya Kombe la Mapinduzi 2025 yaliyofanyika Mkoa wa Unguja Kusini...
  16. Waziri Kombo mgeni rasmi pambano la Ibrahim Classic dhidi ya Simpiwe Vetyeka

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo, Mgeni rasmi katika pambano la ngumi la kimataifa kati ya Bondia Mtanzania, Ibrahim Class dhidi ya bondia kutoka Afrika ya Kusini, Simpiwe Vetyeka. Pambano hilo limepigwa Desemba 31, 2024 Mambo Beach...
  17. Waziri Kombo aweka jiwe la msingi ujenzi wa Mahakama ya wilaya ya Magharibi B

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amesema kuimarika kwa miundombinu ya Mahakama ni hatua muhimu itakayowawezesha wananchi kupata huduma katika mazingira mazuri, salama na rafiki. Ameyasema hayo leo Januari 1, 2025 wakati akiweka...
  18. Jumuiya ya umoja wa mabaharia Tanzania yampongeza waziri Kombo kwa kazi nzuri ya kuhudumia mabaharia wa Tanzania nje ya nchi

    JUMUIYA YA UMOJA WA MABAHARIA TANZANIA YAMPONGEZA WAZIRI KOMBO KWA KAZI NZURI YA KUHUDUMIA MABAHARIA WA TANZANIA NJE YA NCHI Jumuiya ya Umoja wa Mabaharia Tanzania imempongeza Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo, kwa juhudi kubwa...
  19. H

    Waziri Kombo apokea hati za utambulisho kutoka kwa Mwakilishi Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini

    WAZIRI KOMBO APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA MWAKILISHI MKAZI WA UMOJA WA MATAIFA NCHINI Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thatib Kombo amepokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Mwakilishi Mkazi wa Umoja wa Mataifa Bi. Susan Namondo katika Ofisi Ndogo...
  20. Waziri Kombo afanya mazungumzo na Rais wa Somalia

    WAZIRI KOMBO AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA SOMALIA Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amefanya mazungumzo na Rais wa Shirikisho la Jamhuri ya Somalia Mheshimiwa Dkt. Hassan Sheikh Mohamud kufuatia mwaliko wa Rais huyo yaliyofanyika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…