Binafsi huwa siiamini mentality ya mtu mweusi,iliyojaa uroho na ulafi mkali,namaanisha hata umuone mtu msomi kiasi gani na smart kiasi gani,ni lazima awe mwizi,mpiga deal mroho wa mali asiyetosheka,akili ya mtu mweusi haimtumi katika kuona basics nne za mwalimu nyerere,
Mtu mweusi na tabia zake...