wengi

Wengi is a municipality in the Seeland administrative district in the canton of Bern in Switzerland.

View More On Wikipedia.org
  1. Kuna sehemu ina vibaka wengi Dar Es Salaam kama Kiwalani?

    Huku kuna vibaka na wahuni aisee! Ukiwa mgeni hujulikani unaweza ukakabwa hata mbele ya wamama wakaanga sambusa na wakabaji wasifanywe kitu chochote. Kuna sehemu ya kuizidi Kiwalani kwa vibaka? Tushirikishe
  2. Kwanini uvaaji wa mwanamke una maslahi kwa watu wengi na kelele nyingi sana kuliko wa mwanaume?

    Hawa wako kifua wazi kabisa lakini haijawa habari iabisa hata hapa Daslamu, ikitokea mwanamke maarufu ametokea hadharani na brazia nchi inaweza kusimama! Tuache double standards.
  3. Najiuliza hivi kwanini CEO wengi wa kampuni kubwa duniani ni wahindi au kuna kundi kubwa la wafanyakazi wahindi?

    Naomba kueleweshwa wakuu hivi kwanini CEO wa kampuni kubwa duniani ni wahindi au kuna utitiri mkubwa wa wafanyakazi wengi kuwa WaAsia Hususani wahindi yaani wamekamata soko la kampuni nyingi duniani aisee na kampuni zao zinafanikiwa sana aisee Nenda Microsoft,Google,Apple na kadhalika wahindi...
  4. L

    LGE2024 Wagombea wengi wanaowekwa na upinzani ni makanjanja watupu, hawawezi kusaidia kuleta maendeleo ya nchi hii

    Zoezi la uchaguzi wa Serikali za Mitaa linaendelea na sasa hivi liko hatua ya uwasilishaji wa pingamizi, nimeona malalamiko mengi sana kutoka kwa vyama vyote vya siasa nchini ikiwemo Chama cha Mapinduzi.CCM imelalamika kule Arusha kuwa majina ya wagombea wao 9 yamekatwa, Chadema wamelalamika...
  5. Wanaume wengi sio malaya kama jamii inavotaka kutuaminisha

    Weekend yenu vipi, Kuna stereotype ipo kwenye jamii inayosema kuwa kila mwanaume ana michepuko 5 kwenda mbele, kiuhalisia kwa ground mambo hayako hivyo. Wanaume wengi tunapenda kulala na wanawake wengi tofauti, ila wenye uwezo wa kufanya hivyo ni wachache Wanaume players wenye uwezo wa kuwavua...
  6. Yanga yatumia mtego wa Manara tena, na wengi wamejaa

    Yanga tumefungwa mara nne mfululizo na tulikuwa tunapata pressure kutoka Kwa media na mashabiki wengi Sasa tumewapa mtego wa Manara amkane Eng Hersi na wengi wamejaa Na Sasa uongozi una Fanya mabadiliko madogo bila s pressure Mosi, Timu imehamia KMC complex ila wengi hawajali wapo busy na...
  7. Kati ya IT(Information Technology) na Computer Science je ni kozi ipi Ina fursa zaidi na inaongoza kwa watu wengi waliofanikiwa?

    Wadau msaada Je, kati ya IT(Information Technology) na Computer Science je ni kozi ipi Ina fursa zaidi na inaongoza kwa watu wengi waliofanikiwa?
  8. Wanawake wengi wana siku zao za kununa bila sababu

    📖Mhadhara (59)✍ Je, wajua? Wanawake wengi wanakuwa na siku za kununa bila sababu. Bila shaka unaishi na ndugu yako wa kike, mfanyakazi mwenzako wa kike, mkeo, mchumba, au mpenzi wako na huwa kuna siku anaamka amenuna bila sababu (yaani hayuko sawa kama siku zote). Kama tabia hiyo inajirudia...
  9. Uvumilivu wa Kidini; Bomu zaidi ya "Nyuklia" kwa Watanzania wengi (eeh Mungu tuepushe)

    Habari Wana JF na WATANZANIA kwa ujumla. It has come to my ATTENTION kwa kauzoefu kadogo nilikonako hapa JF, Nime experience kwamba NYUZI zenye mielekeo ya Imani Fulani (Islam or Christianity) ndio NYUZI zinazochangiwa kwa hisia KALI na CHUKI dhidi ya imani nyingine waziwazi , thanks to JF...
  10. Wapiga kura wengi zaidi Tanzania wana imani kubwa mno na wagombea uongozi wa CCM pekee

    Hali hiyo hupelekea CCM madhubuti, kupata ushindi wa kishindo kwenye chaguzi zote huru, za haki na za wazi na kisha kushika dola, kuunda serikali, kuongoza nchi kwa mafanikio makubwa sana. CCM hutumia dhamana na fursa hiyo ya uongozi vizuri sana na kwa weledi mkubwa mno, kuwafanyia waTanzania...
  11. Watanzania wengi wanapenda mafanikio lakini sio watoaji

    Nilikuwa kwenye uzinduzi fulani wa kituo Cha watoto yatima mtoa hotuba alikuwa akilalamika watanzania hawajitoi kusaidia watoto wao misaada mingi inatolewa na wazungu na matajiri huku watanzania wengi wanatoa pesa zao nyingi kwa manabii kuchangia harusi na kuvaa vizuri wakisahau kama Kuna watoto...
  12. D

    Aliyoyafanya Egonga yapo duniani kote sema ni siri tu! Ila watu wengi sana wanatafunana maofisini kimya kimya

    Yaliyotokea huko ikwitorio Guinea kwa bwana Egonga yapo duniani kote sema ni kimya kimya! Tukichambua yaliyo kwrnye taasisi kuna vidada vinaviherehere kila mkuu wa idara mpya au meneja akija huwa vinajigongesha ili vitafunwe! Ukiachia hizo mambo kuna vidada huwa vinasimuliana na kujipendekeza...
  13. Muendano wa kimawazo katika ndoa.

    Ndoa nyingi za sasa zinavunjika kwakua watu wanaoa au kuolewa na watu ambao hawaendani nao. Mnaweza nyote mkawa na dini, tabia nzuri lakini ndoa ikafa kwakukosa muendano wa kimawazo. Kuna wanaume wao ndo wanataka wawe dominate kwa 100% yaani huna Cha kumwambia, neno lake ndo katiba huyu...
  14. S

    Baada ya kukosa wenza wa ndoto zao, wengi wa waliopo kwenye ndoa waliamua kujilipua kwa kuishi na "ili mradi ni mke/mume"

    Tafiti zinaonesha kuwa ni 2% tu ya waliopata wenza wa ndoto zao. 98% mmoja au wote 2 wanaishi na "ili mradi ni mke/mume", baada ya kukosa kwa sababu mbalimbali ywale waliowatarajia akilini mwao . Wengi walitaka kumpata mwenzao mwenye package hii: msomi, tajiri, mrefu, mweupe, umbo namba 8...
  15. Uchunguzi wangu unaonyesha wanaume wengi hufa mapema kwa sababu hawakupendwa na wake zao

    UCHUNGUZI WANGU UNAONYESHA WANAUME WENGI HUFA MAPEMA KWA SABABU HAWAKUPENDWA NA WAKE ZAO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Watu wengi hujiuliza Kwa nini Wanaume hutangulia Kufa Kabla ya Wake zao. Imefikia hatua jamii imeshakuwa na mtazamo huo kuwa Mwanaume lazima atangulie Kufa Jambo ambalo...
  16. Wasanii wetu wengi bado hawajui kufanya Biashara na makampuni

    Kuna vitu wanavyo wasomi, halafu wao wanakwenda kuwapa wasanii ama watu maarufu ambao si wasomi, mwisho wa siku wanakuja kupiga pesa. Tatizo la wasanii wa Kibongo? Wanaajiri wasomi lakini hawa wasomi wanakuwa na tamaa ya pesa, wanachokitaka ni msanii kuingiza pesa, wagawane na kisha wachukue...
  17. Siwatishi..wasanii mtubu mpaka december tutawazika wengi

    Rejea kichwa cha habari hapo juu Mm mpakwa mafuta wa Bwana nimeona niwashauri ili roho zenu zisiende jehanamu Mda huu mpka December mtubu kama unajua wewe n msanii January mpka March kama n mwanamziki tubu sali sana upepo wa kisuli suli unakuja kwa waimbaji Wasalaamu
  18. Bodi ya Mikopo ya mikopo ya Elimu ya juu (HESLB) wengi hawajapata mikopo na deadline tar 4 november 2024

    Bodi ya Mikopo ya mikopo ya Elimu ya juu (HESLB) wengi hawajapata mikopo na deadline tar 4 november 2024. 1.Wengi wanapata hii msg “Your verification has been passed successfully ,regular visit your account for viewing application status “ mpaka leo hii tar 3 November 2024 jumapili kimya.Hii...
  19. B

    Kuanzia mwaka 2040 arusha itakuwa na wazee wengi wa hovyo

    Kimsingi Ata sisi tumepitia ujana kwenda club, fashion za kisela, kutoka na wachumba tofauti, kudag, kula bitches nk Lakini si huu usela wa hawa vijana wa arusha. Asee watoto wanaozaliwa miaka hii huko arusha Dah si utakuaje nilikua nawaheshimu sana watu wa uchagani Ila kuna dizaini credit...
  20. Bodi ya Mikopo ya mikopo ya Elimu ya juu (HESLB) wengi hawajapata mikopo na deadline tar 4 november 2024

    Bodi ya Mikopo ya mikopo ya Elimu ya juu (HESLB) wengi hawajapata mikopo na deadline tar 4 november 2024. 1.Wengi wanapata hii msg “Your verification has been passed successfully ,regular visit your account for viewing application status “ mpaka leo hii tar 2 November 2024 jumamosi kimya.Hii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…