wengi

Wengi is a municipality in the Seeland administrative district in the canton of Bern in Switzerland.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ukweli ambao wengi hatuutambui

    Maisha yanatufundisha kwamba mara nyingi hatujui thamani ya kitu mpaka tunapokaribia kukipoteza. Tunapokuwa nacho, tunakichukulia kawaida. Tunakitumia bila kufikiria kesho. Lakini pale kinapoanza kupungua, ghafla tunaanza kukiona cha muhimu sana. Mfano mzuri ni simu ikiwa na 90% battery...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa nini wanawake wengi wanapenda kusema, "NILIKUWA NA...", hata kama kitu wanachokisema kiko kwenye wakati uliopo?

    Kwa mfano, ukiwa unaongea na mwanamke utasikia akisema, 'nilikuwa naomba' unisaidi buku tano. 'Nilikuwa nauliza' kwamba mandazi shilingi ngapi. 'Nilikuwa naomba' uniruhusu kwenda nyumbani. Je, huu ndio mtinfo mpya wa wanawake mjini ama vipi? Baadhi ya vijana wa kiume nao wameshaanza...
  3. JamiiForums Tanzania Huko Mahakamani Kwa Lisu wengi walienda wakiwa na Heshima, wakati wakurudi walirudi wakiwa dhalili

    Hamjambo wote! Moja ya Mambo makubwa ambayo viongozi wakubwa, watu wenye Akili, na matajiri wanathamini sana ni pamoja na HESHIMA. Kwao heshima niya thamani sana. Walitafuta vyeo na nguvu kwa NJ yoyote hata kiharamia ili wapate Heshima na kuogopwa. Walitafuta pesa na utajiri kinamna yoyote...
  4. JamiiForums Tanzania Watu wengi wanapitia changamoto kwasababu ya vifungo vya kiroho

    November 15 mwaka huu nafunga miaka 39. Kwa mazingira niliyozaliwa, kukua na sasa nilipo nathibitisha pasi na shaka kuwa matatizo yanayowapata watu 98% ni vifungo vya kiroho ambavyo watu hufungwa na mapepo, wachawi au shetani mwenyewe. Hii 2% ndio matokeo ya ujinga. Mtu anapokosa maarifa juu...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wengi huangalia bei ya gari na kusahau gharama za Interior, Tairi na Rim. Tenga bajeti ya ziada mapema ili usije ukahangaika baada ya kununua gari

    Wengi huangalia bei ya gari na kusahau gharama zinazoweza kuja baada ya kulinunua. Unaponunua gari, ni muhimu kutenga bajeti ya ziada (Buffer Amount) kwa ajili ya kuboresha au kubadilisha baadhi ya vitu muhimu kama Tairi, Rim na Interior. Tairi na Rim Kwa hali ya barabara zetu zilizojaa...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Padri Kitima: Wagombea walikuwa wengi kwa sababu walitengenezwa kuondoa ushindani

    Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima, amebainisha kuwa mchakato wa uchaguzi na mfumo wa kisiasa umekuwa ukivurugwa mara kwa mara tangu mwaka 2019 hadi kufikia mwaka 2025. Akizungumza leo Septemba 15, 2026 katika mjadala kuhsu Demokrasia na Katiba Mpya...
  7. JamiiForums Tanzania Wengi Amboa Pesa Zao Hazirudi baada ya "Kuisha" chanzo kikubwa huwa ni hiki.

    Nilijawa na furaha sana siku ambapo niliokota elfu nane barabarani, Na katika utoto wangu nikaenda na kumpa mama, Tangu hapo nikaanza kupambana sana kuwa makini barabarani ili "niokote hela nyingine 😁" Lakini mpaka leo sijawahi bahatika kuokota hela kama hiyo, Sidhan kwa sababu sina bahati...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza nimefika Dar,hapa mtaani inaonekana kuna wanawake wengi kuliko wanaume

    Yaani kwa tathimi yangu niliyoiona kuna wanawake wengi sana mpaka nimebaki najiuliza sasa wanaishije,kila nikitoka inje ni wanawake tu, si wamama,vibiti,na vitoto vya kike, Tofauti na mkoani niliko toka hakuna mabinti wamejaa watu wazima hasa mabibi wajane,au ndiyo huwa wanakimbilia huku dar...
  9. JamiiForums Tanzania Najua wengi watakosea hapa. Mbwa huyu ana urefu wa Sentimita gapi?

  10. JamiiForums Tanzania Kwa nini Dar ina wanaume wengi zaidi wenye hulka za kike (feminine)?

    Kwa nini Dar ina kundi kubwa la wanaume wenye hulka/ mienendo/ tabia za kike (feminine characters) ?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Uaminifu wa Wachaga kwenye upinzani unashuka, viongozi wachache wanaponza kabila zima kuonekana kujali maslahi tu, hawana msimamo wala uzalendo.

    Katika matukio mengi yanayoendelea kwenye siasa za upinzani kuanzia uchaguzi wa Chadema, kuhamia Chauma, Mbowe kuonekana alikuwa muigizaji, tetesi za Lema haivi chungu kimoja na Heche, n.k. nimeona maoni mengi ambayo yanawapoint na kuwachafua wachaga, kwajili ya matendo ya wachache. Watu...
  12. JamiiForums Tanzania Hijabu haina maana, tamaa ya wanaume wengi ni makalio, matiti na sura

    Hakuna mwanaume anayejali nyweli au kichwa cha mwanamke. Mwanamke hata awe na kichwa kizuri na nywele za peponi hisia za wanaume zinaanzia kwenye makalio, matiti na sura. Dini imewafanya wanawake kituko na hamnazo kufunika kichwa huku wameyaachia makalio yanatikisika yakivutia wanaume.
  13. M

    JamiiForums Tanzania wazanzibari wengi wanaishi Bara lakini sheria za muungano zinawabeba kurahisisha maisha yao kuzidi watanganyika wanaoishi nao.

    Unamkuta Mzanzibari amehamia huku Bara, watoto wake wanasoma shule hizi hizi, wanatumia hospitali hizi hizi na wanakua katika mazingira haya haya pamoja na watoto wa Tanganyika / Bara. Lakini kuna wakati maisha yanapofika kwenye fursa, uraia na umiliki, tofauti inaanza kuonekana. Mtoto wako na...
  14. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Bodi ya Ithibati fuatilieni Taasisi za Wanahabari (Press Clubs), Waandishi wengi ni “Makanjanja” hasa Mara

    Naiomba Bodi ya Ithibati Nchini Tanzania (JAB) kufanya uchunguzi katika Taasisi za Waandishi wa Habari Nchini na sio tu kwenye Vyombo vya Habari (Media Houses) kwani Kuna waandishi wengi kwenye Clubs hawana sifa za uandishi wa Habari ambapo wanafanya shughuli hizo kinyume na Sheria ya habari ya...
  15. JamiiForums Tanzania Msumari wa moto: Mabinti wengi hamjitambui na vazi la u great thinker haliwatoshi au haliwafai

    Mtaniwia radhi kwa ukubwa wake kutokana na hii mada.. Natambua wengi wenu mtakereka na maudhui yake na baadhi mtaudhika Sana..! Lakini kupitia mada hii naomba msijichukulie Kama walengwa bali kama wanafunzi wanaohitajika kujifunza kitu kizuri 1. Kutambua dhima ya social media Tambueni ya...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kampuni za Watoza Ushuru Dodoma haziwalipi Watu Wanaokusanya Ushuru hasa Halmashauri ya Jiji

    Kuna changamoto kubwa sana kwa WATOZA ushuru, hasa Halmashauri ya Jiji la Dodoma, unakuta Mzabuni anachukua tenda ya mwaka mmoja, mkataba ukiisha, wale wakusanyaji ushuru (watendaji waliokuwa wakifanya kazi) wanaachwa bila kulipwa na hawana sehemu ya kulalamika. Mfano, kuna kampuni moja...
  17. JamiiForums Tanzania Watu wengi wanadhani bado DSM, ARS na MWZ ndio sehemu pekee zenye maisha ghali sana TZ, mnakosea, joto lisha sambaa kote, mikoani napo ni expensive

    Kama unapata fursa yako dar, we endelea kuishi dar, usidanganyike kurudi nyumbani Kuna sehemu nyingi hapa tanzania, kujenga nyumba ni ghali kuliko anaejenga dsm Nyumba na vyumba vya kupanga vimepanda wilayani huku, hakuna mtu mjinga ajenge nyumba ya kupangisha 30-60m+ alafu umpatie laki moja...
  18. JamiiForums Tanzania Vijana wengi wa Kinondoni ni Hasara Taslimu

    Utakuta miaka 35 plus hadi 50 wapo wanaishi kwa wazazi wao. Au akijitahidi sana basi ameolewa na mwarabu kapangiwa nyumba. Na unamwona kama mwanaume hivi kumbe ni mke wa mtu. Kinondoni ni Wilaya ambayo inaongoza kwa Matakataka mengi. Ikifuatiwa na Temeke, Ilala, Manzese na Buguruni. Kisha kuna...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Uwepo wa baba humwekea mtoto wa kiume mipaka katika maamuzi mengi. Baba akiondoka, wengi huonyesha rangi halisi, huamua bila kusita wala kujificha.

    familia nyingi, baba huonekana kama mtu anayesimamia nidhamu, mwelekeo na usalama wa familia. Hata pale ambapo hatumii nguvu wala maneno mengi, uwepo wake pekee unaweza kuwa ujumbe kwamba kuna mipaka ambayo haipaswi kuvukwa. Kwa mtoto wa kiume, jambo hili linaweza kuwa muhimu zaidi anapokua na...
  20. JamiiForums Tanzania MICHEZO NA VICOBA VINAVYOUA NA KUDHALILISHA NDOA ZA WENGI

    Wananchiiiiiiiii......... Hivi mnajua kwa asilimia kubwa za wanawake wanaojishughulisha na michezo ya fedha na upatu wanakuwa ●Hawapendi tendo la ndoa ●Wanakuwa na upuuzaji wa wenzi wao ●Wanakuwa watumwa wa madeni mitaani na kwenye taasisi ●Wengi wanaanza "Umalaya" ili kukidhi marejesho...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…