liberals vs conservatives
waliberal wanaamini katika uhuru wa mtu binafsi, kila mtu ana uhuru wa kufanya kile anachoweza kufanya as long as hawadhuru watu wengine. walibaral wanaamini katika culture diversity, mjumuiko wa watu wa rangi tofauti tofauti na kaliba tofauti nk, ingawa wanaenda mbali...