Siku za hivi karibuni nilijikita kwenye kutongoza single mothers,hawa watu bana wana mahasira muda wote,yani mnaweza mkawa kwenye conversations za kawaida tu,Mara ghafla mtu anaanza kuwa mkali tu bila sababu za msingi.
Shida ni nini,kwa nini hawa watu wanakuwa na mahasira kiasi hiki?