Kuna historia ndani yako inayoshuhudia kuwa hata katika giza zito, nuru iliwahi kuchomoza. Pengine sasa umechoka, Mwili umelemewa, moyo umevunjika, na ndoto zako zinaonekana kwa mbali kwenye upeo wa macho yako.
Lakini historia yako haijaisha bado. Historia yako inajua kusimama tena, kusamehe...