wana real estates nyingi tu, wana machines, hata Mabwawa ya kuzalisha umeme na hata hili jipya la Nyerere nafikiri ni Mali ya tanesco yetu pia na vyote hivi tumejenga kwa kodi zetu hata kama tulichukuwa mkopo lkn tunalipia kwa kodi zetu, sasa mali za tanesco zitakwenda kwa mnunuzi wa tanesco pia...