Wasalam,
Leo katika pitapita zangu humu jamvini nikakutana na andiko moja kutoka kwa member fulani (simkumbuki jina) akihoji ni muda gani watu wa jf hufanya kazi sababu wapo baadhi ya members (nikiwepo mimi mwenyewe) kila uchwao ni kukesha na kuzurula mitaa tofauti ya humu ndani, kiukweli...