Meneja wa hovyo ajiuzuru kabla hajatia aibu zaidi.....
Tunamkumbuka Kwa MazuriR.i.p magu
Kwa hiyo mpira sio mambo? Mnataka vijana wote wawe waimba bongo fleva , bongo movie sio? Hovyo sana
[emoji2][emoji2] ndio sector tunayoiweza vizuri 100%bila shaka umeongea kutokana na experience yako
Wanasema mechi imekuwa suspended !Dakika 10 zikipita umeme haujakaa vizuri, yanga anapokonywa ushindi na Rivers atapewa ushindi
Sanaaa tupewe tuzo ya heshima hapo.Tanzania ka nchi sehemu ambayo tuko vizuri ni kugegedana tu basi
Inabidi watu watumbuliwe tu aisee
For sure imagine Kuna watu wanalipwa Kwa ajili ya uwanja ila hawatimizi wajibu na hawajisikii vibaya hata kidogoSanaaa tupewe tuzo ya heshima hapo.