Ili msahau ripoti ya CAG. Tukutane mwakani kwa ripoti nyingine. Maana tumejua mpira ni dawa yenu tosha ya maumivu.Hizi zote ni jitihada za serikali ya awamu ya sita katika kutoa furaha kwa watanzania #HakikaUnapigwaMwingi
Matatizo ya kuzimika kwa umeme, yapo dunia nzima, hivyo hakuna ajabu yoyote, na uwanja ule una standby generator, umeme ukikatika tuu ni ta... ta !, generator imewaka!.Pascal Mayalla naipongeza chama chako toka kipate uhuru matatizo ya kuzimika kwa taa uwanja wa taifa bado yapo.
Siku hiyo itafika only if kuna mbadala wa CCM!. Kwa vile kwa hapa tulipo bado hatuna mbadala wa CCM, then CCM itaendelea kutawala Tanzania kwa muda mrefu sana and probably milele!.Siku ccm itakapotoka madarakani
Naunga mkono hoja.hakika Tanzania itakuwa nchi ya mfano kuigwa..
Kuna uzi ulianzishwa humu wakilalamika kua madoctor wa humu JF ni vilaza na kwa hii comment yako bwana daktari sina la kuongezaMpira unatusaidia Nini sisi
Hongera ndugu yangu kwa kuchukua kombe la kufa kiume.Mwamba kaangalia rede dk 15 kaona haelewi ,kazima zake umeme kaenda kupumzika wikiendi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mechi zilichezwa ijumaa na jumamosi[emoji1787]
Fact [emoji3578]Hii nchi aliimudu yule mzee tu pamoja na madhaifu yake ya kibinadamu! Ishu kama hizi alikua hacheki na kima!
Acha tu aiseeUzembe huu unatuvua nguo kama nchi Kwakweli dah[emoji1784][emoji1784][emoji24][emoji24][emoji24]
River wangefungwa mngesema kuwa ni mbovuMwamba kaangalia rede dk 15 kaona haelewi ,kazima zake umeme kaenda kupumzika wikiendi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mechi zilichezwa ijumaa na jumamosi[emoji1787]
Ccm mbele kwa mbeleAmakweli huwezi mbebesha mtoto wa pwani gunia la kilo 100, atakufa tu. 🤣
Tumeichagua wenyewe acha tuisome namba
Aisee..'😔😔Mnamuonea bure huyo mama!
Yule pale alipo yupo kama picha tu
fact [emoji3578]Hapa inatakiwa timu nzima ya uwanja wa Taifa ifukuzwe, hata TFF pia wawabishwe na Waziri pia atupishe maana tatizo Leo mara ya pili hii haikubaliki. Watu stupid wanapewaje kutunza uwanja wa Taifa?
Hili nalo wakaliangalie! Yaani miaka sijui 70 ya uhuru hata taa tu za uwanja mmoja tu tumeshindwa? Hii ni aibu sana kwa Taifa! Dunia nzima wameona jinsi tulivyo stupid! Huu ni uwanja wa Taifa sio wa klabu hivi hizi serikali zetu Zina shida gani?
Hapa Kuna hujma si Bure! Mechi za Simba taa hazijawahi kuzima kamwe hata wacheze na Lipuli au Abajalo!! Pesa za kununua taa mpya hawana? Back up genereta hawana?
Watu weusi shida sana!
Awamu zote zilizowahi ongozwa na wazanzibar huku tanganyika zilikuwa za hovyo. Hapo mpaka atoke madarakani taifa litakuwa ICU.January Makamba, Nape Nnauye na wengine waliokataliwa na JPM wamerejeshwa na Samia, leo ni mara yapili taa za uwanja wa taifa zinapata hitilafu, huu uwanja ni mali ya serikali, inaelekea serikali haikujali aibu ya sikuile na leo wameirudisha tena aibu hiyo. Amakweli huwezi mbebesha mtoto wa pwani gunia la kilo 100, atakufa tu.
Kwani haoni yanayoendelea ukitaka kujua kiongozi asiefit kwenye nafasi viigezo ni hivi vya kujidai hajui wakati anajua kila kinachoendelea na kapiga kimyaHuyu mama haambiwi ukweli.