Aibu kubwa kwa Taifa taa za uwanja wa Benjamini Mkapa kuzimika mechi ikiwa inaendelea
Hizi zote ni jitihada za serikali ya awamu ya sita katika kutoa furaha kwa watanzania #HakikaUnapigwaMwingi
Ili msahau ripoti ya CAG. Tukutane mwakani kwa ripoti nyingine. Maana tumejua mpira ni dawa yenu tosha ya maumivu.
 
Pascal Mayalla naipongeza chama chako toka kipate uhuru matatizo ya kuzimika kwa taa uwanja wa taifa bado yapo.
Matatizo ya kuzimika kwa umeme, yapo dunia nzima, hivyo hakuna ajabu yoyote, na uwanja ule una standby generator, umeme ukikatika tuu ni ta... ta !, generator imewaka!.
Siku ccm itakapotoka madarakani
Siku hiyo itafika only if kuna mbadala wa CCM!. Kwa vile kwa hapa tulipo bado hatuna mbadala wa CCM, then CCM itaendelea kutawala Tanzania kwa muda mrefu sana and probably milele!.
hakika Tanzania itakuwa nchi ya mfano kuigwa..
Naunga mkono hoja.
P.
 
Mwamba kaangalia rede dk 15 kaona haelewi ,kazima zake umeme kaenda kupumzika wikiendi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mechi zilichezwa ijumaa na jumamosi[emoji1787]
Hongera ndugu yangu kwa kuchukua kombe la kufa kiume.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Rais Samia anahusika vip tusubiri report kujua chanzo Cha tatizo hili
 
Hapa inatakiwa timu nzima ya uwanja wa Taifa ifukuzwe, hata TFF pia wawabishwe na Waziri pia atupishe maana tatizo Leo mara ya pili hii haikubaliki. Watu stupid wanapewaje kutunza uwanja wa Taifa?

Hili nalo wakaliangalie! Yaani miaka sijui 70 ya uhuru hata taa tu za uwanja mmoja tu tumeshindwa? Hii ni aibu sana kwa Taifa! Dunia nzima wameona jinsi tulivyo stupid! Huu ni uwanja wa Taifa sio wa klabu hivi hizi serikali zetu Zina shida gani?

Hapa Kuna hujma si Bure! Mechi za Simba taa hazijawahi kuzima kamwe hata wacheze na Lipuli au Abajalo!! Pesa za kununua taa mpya hawana? Back up genereta hawana?

Watu weusi shida sana!
 
ETI CCM IONE AIBU....
ANHAAAHAA...

WACHA NCHEKE..
 
fact [emoji3578]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
January Makamba, Nape Nnauye na wengine waliokataliwa na JPM wamerejeshwa na Samia, leo ni mara yapili taa za uwanja wa taifa zinapata hitilafu, huu uwanja ni mali ya serikali, inaelekea serikali haikujali aibu ya sikuile na leo wameirudisha tena aibu hiyo. Amakweli huwezi mbebesha mtoto wa pwani gunia la kilo 100, atakufa tu.
Awamu zote zilizowahi ongozwa na wazanzibar huku tanganyika zilikuwa za hovyo. Hapo mpaka atoke madarakani taifa litakuwa ICU.
 
Inaonyesha namna mambo yanavyoendeshwa kijinga.Hii ni aibu siku kutakuwa na mechi na timu kubwa itakua ni aibu mno.Tanzania yangu jmn akii hilo nalo mkalitazame inakera jmn
 
Back
Top Bottom