We ni immortal
Kalemani njaa ishaanza kuuma etiii... Alishazoea akifika Kila Mkoa matajiri wanampa Hela, Sasa hivi anapiga simu hazipokelewi.

Ameshazoea kujiendesha kwenye kigari chake?
 
Sijui kama jinsia yako ni me au ke.

Unapoleta hoja jukwaani tena jukwaa la siasa bila auntentication ni kugeuza jukwaa kama.kambi ya umbea.

Weka source hata kwa screenshot au la punguza umbea
 
Kumbe hakuiba ndo maana ana kigari chake.

Haws wa sasa wanaagiza magari yanaletwa kwa ndege nahisi
 
Kalemani njaa ishaanza kuuma etiii... Alishazoea akifika Kila Mkoa matajiri wanampa Hela, Sasa hivi anapiga simu hazipokelewi.

Ameshazoea kujiendesha kwenye kigari chake?
Jibu we ni immortal
 
Hivi jenereta na umeme wa kawaida kipi ni garama kwenye uwendeshaji wa uwanja? Na kwann walitaka kutumia jenereta?
 
Sijui kama jinsia yako ni me au ke.

Unapoleta hoja jukwaani tena jukwaa la siasa bila auntentication ni kugeuza jukwaa kama.kambi ya umbea.

Weka source hata kwa screenshot au la punguza umbea
Hizi ni mada za Wahenga wenye upeo wa Juu akina Pohamba, Mrangi ova, Daudi Mchambuzi nk siyo nyie Chekechea wa kulishwa kwa kijiko!

Samahani lakini
 
Ni mada za kibaguzi siyo?

JF siku hizi kuna madaraja ya members au wewe ndo unaanza kuyajenga?
 
Hamna kazi aliyofanya. Hao walikuwa wapiga matarumbeta wa Jiwe. Walikuwa tayari mitambo ya tanesco iungue lakini wasizime umeme kwa ajili ya ukarabati
Ukarabati upe na wewe mwizi mkubwa wewe. Umekremisha kuwa umeme lazima uzimwe hata kama hakuna haja. Ukarabati gani kila siku pumbafu.
 
Kibaka kaitwa na mwenye enzi
 
sikujua km nawe ni mpumbavu kiasi hicho.
 
Kama huwezi kufungua code unatulizana tu Bwashee

Very simple!
Hapo hakuna codes zozote. Unatoa ripoti ya post ya platform nyingine bila proof.

Usikimbilie kujificha kwenye GT room wakati umeshatopola.

Rekebisha uzi wako utendee haki maana hili siyo jukwaa la umbea
 
Siwezi kurekebisha hadi Uje kwa Jina Halisi

Samahani lakini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…