Hili Taifa lilipofikia ni kuleana tu!

Nchi inayoomba kuandaa mashindano ya CAF bado inaushamba unaojirudia rudia kuzimika taa kwenye uwanja wake mama?!

Ndani ya mwezi mmoja taa za uwanja wa Taifa zimelitia doa Taifa.

Mijinga mimtu inayoongoza sekta husika imekalia kuiba pesa za Watanzania tu!
 
Mechi ya marudiano kati ya Taifa Stars na Uganda, mambo yalikuwa hivi hivi! Mwisho wa siku tukaishia kufungwa.

Hivi ni kwa nini huu uwanja unakosa standby generator? Mapato ya huu uwanja yanaishia kwenye mikono ya nani? Huu uwanja una usimamizi makini kweli?
 
Waziri unamuonea tu. Siku ya tatu tangu ateuliwe kulikuwa na mechi baina ya Tanzania na Uganda umeme ukazima.

Aliyefeli ni mama Samia na serikali yake nzima. Ulitaka waziri ndiyo akarekebishe taa na familia yake??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…