Alichosema Trump baada ya Marekani kuiongezea ushuru China kufikia 104%: Tunasubiri simu zao

Hisense ni brand ya China imeanzishwa mwaka 1957 ,Lgni brand ya south Korea ,Sony ni brand ya Japan Sumsang no brand ya south Korea
 
Hisense ni brand ya China imeanzishwa mwaka 1957 ,Lgni brand ya south Korea ,Sony ni brand ya Japan Sumsung no brand ya south Korea
 
WTF is this ?
 
Hizi Tarrifs zina malengo mengi. Si tu kurudisha manufacturing Marekani.
Ni sawa ila ukweli ni kwamba pasipo kurudisha manufacturing Marekani hizo benefits zingine ni za muda mfupi tu

Hazina uhusiano wowote na ku create ajira mpya ndani ya Marekani na kukuza uchumi wa Marekani

Na akija raisi mpya miaka 4 ijayo anaweza kuja kubadilisha tariffs zote hizo

Ila akirudisha viwanda hiyo ni faida ya muda mrefu
​
 
Lengo si tu kurudisha manufacturing Marekani, lengo lingine kubwa ni kuzuia ukuaji wa China. Kuondoa tu manufacturing China na kuzipeleka nchi zingine kama za SEA, India na Latin America utakuwa ushindi mkubwa kwa US katika kuzuia ukuaji wa kasi wa China. Hata kama uzalishaji huo hautarudi US.
 
Kuna viwanda viwili vya tiles vikubwa vinazalisha porcelain, sina uhakika kama wameanza na ceramic ila mpango ilikuepo, Huku Tanga wana kiwanda kikubwa Cha cement cha Huaxin,
 
China ameshaondoka huko, miaka ya China kufanya manufacturing za West imepita mda mrefu, sasa hivi wana brand zao na wanafocus sana kwenye highend technology badala ya assembly.

Mfano Mzuri angalia simu, amebaki tu Apple na Samsung, Waliobakia wote Xiaomi, Oppo, Vivo, Tecno kunani, Lenovo, Motorola etc wote ni wachina,
 
Sizungumzii kuwatengenezea vitu wamarekani(Japo hili bado ni sehemu ya maana tu ya uzalishaji wao ). Nazungumzia kuuza bidhaa zao wenyewe. Asilimia 15 ya bidhaa zao zote wanazouza nje wanauza Marekani. Soko kama hilo likiharibika unarudi sana nyuma.
 
Tangu ameanza mwaka 2018 amezuiaje ukuaji wa uchumi wa China?

Kwanza China ana brands zake ambazo ni za MNCs zinazocompete na za S.K, Japan na Marekani katika soko la dunia naye anapush kuziinvest Asia na Latin America

Nadhani wengi hamjaelewa kwa nini China imekuwa na nguvu ya kutunishiana misuli na Marekani

Kwa mfano hapo S.E Asia China imewekeza sana kwenye manufacturing kuliko S.K, Japan na Marekani
​
 
Sizungumzii kuwatengenezea vitu wamarekani(Japo hili bado ni sehemu ya maana tu ya uzalishaji wao ). Nazungumzia kuuza bidhaa zao wenyewe. Asilimia 15 ya bidhaa zao zote wanazouza nje wanauza Marekani. Soko kama hilo likiharibika unarudi sana nyuma.
China imerudije sana nyuma kiuchumi mpaka sasa? Hebu fafanua kiuchumi​
 
Kuna viwanda viwili vya tiles vikubwa vinazalisha porcelain, sina uhakika kama wameanza na ceramic ila mpango ilikuepo, Huku Tanga wana kiwanda kikubwa Cha cement cha Huaxin,
Umesema vyema, waje hapa wachambuzi uchwara Pro-America watuambie Marekani imewekeza viwanda vingapi Tanzania​
 
Hatujui China ingekuwa kubwa kiasi gani bila hivyo vikwazo vya 2018 kuanza, au makampuni yake kama Huawei yasingepigwa pin. Huko kuamishia viwanda vyake nchi za SEA ndiko kumefanya zipigwe tarriffs za kutosha. Pia ukishahamisha viwanda unakuwa kama US alivyohamishia viwanda vyake China. Watu wako wanakosa kazi.

China kushinda hii vita labda afungulie ile Yuan Payment system inayobase kwenye blockchain. Kwenye Tarriffs atashindwa sababu huwezi kupigana Tarriffs war na nchi ambayo unaiuzia kuliko yenyewe inavyokuuzia. Mfano Kenya haiwezi kupigana Tariffs war na Tanzania. Sababu wao ndiyo wanatuuzia zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…