Alichosema Trump baada ya Marekani kuiongezea ushuru China kufikia 104%: Tunasubiri simu zao

Ni nani alikwambia China inategemea tu soko la Marekani tu kusurvive?

Unafikiri China ingekuwa inategemea soko pekee la Marekani ingekuwa na ubavu wa kuretaliate kila mara Marekani inapompandishia tariffs?

Soko la Marekani ni 3% tu ya totat GDP ya China
​
 
Ila ukisoma comment za wamarekani, wanamind sana serikali ya US inavyobania magari ya umeme ya wachina kutouzwa Marekani. Wanatamani yangeuzwa Marekani maana ni mazuri mno na ya kuvutia kuliko Tesla halafu yanauzwa kwa bei ndogo tu. Sasa hapo unaona Serikali ndio inapambana na China ila wananchi wanataka bidhaa za China.
Hisense ni brand ya China imeanzishwa mwaka 1957 ,Lgni brand ya south Korea ,Sony ni brand ya Japan Sumsung no brand ya south Korea
Mkuu hata Apple ni brand ya Mmarekani lakini zinatengenezwa China. Kwa hiyo hata LG na Sony ni za Japan lakini bado zilizopo huku ni za China.
 
Nakuambiaga, ukiangalia export kama percent ya GDP unapotoka. China ni export dependent country. Export yake ya 15% ya total export kwenda Marekani inamchango mkubwa sana kwa uchumi wa China. Ni ajira ngapi na services ngapi ndani ya China zinategemea export kwenda USA? Na CCP lazima iretaliate, haitataka kuonekana dhaifu kwa wananchi wake.
 
The world is going into a recession just because a crooked spoiled brat who has everything thinks that is not good enough.

Wamarekani wanajiandaa kulipia kila kitu zaidi. Just because of Trump's ego.

China hampigii simu mtu ku negotiate.

Ndiyo kwanza kazidisha tariffs zake kwa US kwa 50%, sasa hivi zimefikia 84%.

Good for them. Natamani nchi zote zisinge negotiate na Trump mpaka mwenyewe akubali kuondoa ujinga wake huu.

 
Wamesha retaliate na kuzidisha tariffs zao kwa US kufikia 84%.

 
Marekani inategemea 60%-65% ya foodstuffs na agricultural products kwenda China.

Ni wakulima wangapi na food and beverage manufacturers wangapi wanaathirika kwa kupoteza soko la China?
​
 
Vita bado mbichi. Ila kwa muelekeo wachina wanaweza kuhimili hali ngumu kuliko wa US. Sisi huku tunaendaje?
China ilishasema itapigana hii vita mpaka Trump atakapomaliza muda wake wa kuwa madarakani​
 
Trump is fighting a losing battle.

Hata China aki negotiate tariffs - and I hope they don't- Trump hawezi kurudisha manufacturing US kwa sababu nyingine nyingi sana tu.

Trump apigwe tu, maana hamna jinsi.
Na atapigwa.

Sasa hivi EU hayiko upande wake.

Let say dunia nzima igome kushirikiana nae kwenye biashara, anatoboaje?

Sidhani kwamba bila msaada wa Marekani dunia nzima tutakufa.
 
Vita bado mbichi. Ila kwa muelekeo wachina wanaweza kuhimili hali ngumu kuliko wa US. Sisi huku tunaendaje?
Wachina wameishi katika hali ngumu chini ya Cultural revolution sioni kipya Cultural revolution ilikuwa worse kuliko worse yenyewe.

Ni sawa na leo useme kwamba wapalestina wanaweza kuishi katika hali ngumu sawa na Waisrael.
 
Kwa hiyo haina faida yoyote kwa Marekani?​
Sijasema hivyo. Kwenye vita tegemea kutoka na mikwaruzo. Pia usichekelee kuporomoka kwa soko la hisa la Marekani. China amewekeza sehemu ya surplus yake kwenye masoko ya fedha ya Marekani. .
 
Trump kawa kama kadem kanakokwambia "Basi tuachane" kakitegemea utapanic lkn wewe wala hauna habari nako kisha kanakutext tena eti "Kwa hio umeamuaje?"
 
Sijasema hivyo. Kwenye vita tegemea kutoka na mikwaruzo. Pia usichekelee kuporomoka kwa soko la hisa la Marekani. China amewekeza sehemu ya surplus yake kwenye masoko ya Marekani. .
China anaidai Marekani zaidi ya USD 750 dollars kwenye treasury bonds, imagine China wakiamua kuuza zote hizo

Hii ni silaha nyingine ambayo China anayo dhidi ya Marekani
​
 
China ilishasema itapigana hii vita mpaka Trump atakapomaliza muda wake wa kuwa madarakani​
Itaamuliwa na atakayeweza kuhimili mapigo. Atakayeweza kuzuia wananchi wake wasiriot. Na si kwa logic za kiuchumi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…