Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu Taifa wa CHADEMA, Dkt. Vincent Mashinji ajiunga na CCM

Wanaume Tanzania walio wengi hawana ujasiri, uwoga uliopitiliza, kutokuwa na msimamo, kudeka etc. Tanzania wapinzani wa kweli atabaki Zitto na wenzie akina Mbowe basi. Walobaki wanaume suruali.
 
Mgombea yoyote mwenye chance ya kuiondoa CCM madarakani mimi nam support hata kama atakuwa Magu!
 


Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk Vincent Mashinji amejiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo Jumanne Februari 18, 2020. Dk Mashinji amepokewa na Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM, Humphrey Polepole.

mambo yanaenda kasi sana.....

 
Madaktari njaa sana aiseeeh! Hawaoni aibuu!?

Actually huyu alishaunga juhudi toka akiwa Katibu Mkuu CHADEMA, anachofanya ni kuhitimisha tu!

Kama kuna mtu anajua Mashinji akiwa katibu mkuu alifanya kipi kuimarisha CHADEMA aniambie! Karibu kundini

Hawa ndio walikuwa vikwazo kwa ustawi wa CHADEMA

Walilipoti siri zote CCM

Ndio maana mwenyekiti wa ccm alijiapiza cdm itakufa kabla 2020

Cha ajabu CHADEMA ipo imara zaidi na inasonga mbele

Chadema imepita mtihani mgumu sana

WAITARA
LOWASA
SUMAYE
MWAMBE
MASHINJI

wote hawa walikuwa kamati kuu ya maamuzi. Kimsingi CCM ilihabarishwa siri zote. Lakini bado cdm inadunda haijafa wala kuteteleka.

Amakweli, Acheni Mbowe aitwe Jabali la siasa Tanzania.

ANASTAHILI.
 
adolay,

WAITARA
LOWASA
SUMAYE
MWAMBE
MASHINJI

wote hawa walikuwa kamati kuu ya maamuzi. Kimsingi ccm ilihabarishwa siri zote. Lakini bado cdm inadunda haijafa wala kuteteleka.

Amakweli, Acheni Mbowe aitwe Jabali la siasa Tanzania......ANASTAHILI.
[/QUOTE]
"IMARA"
Pole sana
 
kipindi kile mlipokuwa mnaambiwa mlikuwa mnatujibu kwa maneno matatu elimu, elimu , elimu...[emoji23][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…