Asiye na Chama
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 1,269
- 653
Lest see what will happen!mwana wa Tanzania,
Kwahiyo ile Kesi yake iliyokuwa ikimkabili Yeye na Viongozi (Wabunge) wa CHADEMA atakuwa ameshanusurika nayo au atakuwa akiendelea Kuihudhuria huku akiwa amevalia Sare ya Chama chake Kipya?
Ccm sio Chama cha Mwanachama
Kile ni cha Wanachama
Migogoro yake inatatuliwa kibabe zaidi
Endelea kuota na hilo Saccos lenu
Ukiwa na akili utajiuliza, watu wooote wakitusapoti, nini kinafuata? Kama pori looote wamejaa fisi, nani ataliwa nyama? Hawa mabeberu hawa. Daaa
Haya, beba popcon zako jiandae kwa movie.Fisi atakula Fisi
Haya, beba popcon zako jiandae kwa movie.
Utanisamehe lakini nadhani mnahitaji kufanya kazi ya ziada kubadilisha chama chenu kipo kwenye hali mbaya. Mnachofanya sasa ni kama Magu anavyojifanya uchumi wa nchi unaendelea vizuri.ulitakiwa uniulize kwanini Mashinji alivuliwa ukatibu Mkuu ?
Njaa haina baunsa
Huyo ni wa Nyumbani atakula hata teuziYeye atagombea nafasi gani huko ccm? Maana mwenzie Mwambe kasema anataka ubunge
Sasa anaenda kuwa nani CCM
Ni kawaida ya bahari kutoa uchafu.Magugu uharibu mazao ili liwe safi ni lzm magugu yote yatoleweUtanisamehe lakini nadhani mnahitaji kufanya kazi ya ziada kubadilisha chama chenu kipo kwenye hali mbaya. Mnachofanya sasa ni kama Magu anavyojifanya uchumi wa nchi unaendelea vizuri.
Stay on tune, Kuna Wawili wanamkimbia MboweMadaktari njaa sana aiseeeh! Hawaoni aibuu!?
Actually huyu alishaunga juhudi toka akiwa Katibu Mkuu CHADEMA, anachofanya ni kuhitimisha tu!
Kama kuna mtu anajua Mashinji akiwa katibu mkuu alifanya kipi kuimarisha CHADEMA aniambie! Karibu kundini